Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Dah mdingilili ninoma kweli anakwambia hainaga ubaba
 
Hahahahahaha jamniiiii nimecheka sana mjeda alivotimua mbio
 
Never Say Never.

Za mwizi arobaini ila design kama hii 40 yanguu imekaa ki hujumaa hujumaa! Kama nafitiniwaaa hivi. Sio ile 40 ya halali mpaka unaona bwana wee hii ndo ilikuwa 40 yangu. For a minute i was remorssful ila baada ya kile kinote it bacame war! Million 30 hivi hivi kamamndoa na ifeee. Hio pesa najua nikijiongeza nalala hata na black China one night stand!


Kilichonitibua vuziiii zoteee ni WHO COULD POSSIBLY DO THIS TO ME? Inamuuma nini na tafaidika nini nikiachana na mke wangu wakati nimeshamzalisha watoto wa 2. Nimemfuja fujaaa mpaka basi wa kuzeeka nae tu yule maana kumpa mwanamke mwenzangu aibu naona mimi.

Wazo likanijia au yule Reporter ana ni blackmakl na kunifanyia extortion? Kama ni hivo she backed a wrong tree. Kuonesha mimi comandoo T. Mjeda mwenye nyota zangu ungekuwa wewe ndugu msomaji pale usingechomoka. Manake kukwepa kuonekana sura nilipiga ABOUT TURN ya nguvu 360 degrees mguu unatua chini mgongo na uso vimebadilishana position maninaaa! Mbio sasa? Hata Vivi angesema anikimbize asingenipata.

I didnt run cause i am a coward! Hell No. I ran to buy time. Ile ilikiwa kama ambush! Hujui nani kakuvamia kwanini kamamingekuwa vitani kifo njenje. Pale sikuelewa yule dada wamekutana wapi, wamepanga nini, wanajuana hasajuani, au ndo wamekija kunisutaaa. Sikuelewaaa! Na hakukuwa na mda wa kufanya makosaa. Nikaona hapa dawa moja tu kutoka race kama Hussein Bolt, afu baadae sasa nitakuja nimejipangaa.

Ndo maana nasema kama yule dada au ni mtu ananivchezea mchezo arudi shule upyaaa! Sitoi hata 10. Kama vipi yeye anipe 20,000 picha namsaidia kupeleka mimi kwa wife jinsi nilivo comandooo. Picha zenyewe hazinaa kituuu. Nimekaa na mdada SO WHAT? So ukiwa mume wa mtu hutakiwi kucheka au? Hamna kesiii plae. Hilo la CCTV ndo jepesi kabisaaa. Nilikiwa nalimaliza in 0 seconds.

Nilichokiona ndugu msomaji mpaka mda huu hamna ushahidi wowote wa kunifunga popote. Hawajajipangaa kabisaaa. Wanakuna tu vuziii. Ila kwa akili zao fupi they think they can manipulate me, trick me to a CONFESSION? Never on this earth! Comandoo kama mimi Tyrone wa kikosi cha zamani cha JWTZ, kikosi cha umoja wa mataifa, ambae niko trained nikitekwa na maadui nikatwe sio kuminywa pumbu siongei chochoteee, niko tayari kufa kutunza siri za nchi, nchi lenyewe la kifisadiii ndo eti nijichuuze kuropoka vyangu ambavo nina interest navo? Wanachezaa visingeliii! They dont know who they are dealing with.

Asubi nikapiga Nguru doto na kuongea na legal department kwamba mbona natishiwa cctv usengery gani? Wakanihakikishia kwanza hakuna cctv corridor za vyumbani, na hata kama zipo hakuna wa kupata hio cctv labdaaa kwa amri ya mahakama. Nikasema maninaaa kumbe zipoo. Ina maana Vivi akisema aende mahakamni na kulamba mahakama makalio ikampa kibali wanatoa, Flabagastic kabisaaa. Bora kwenda guest za vichochoroni nawaambia tena zisizo na tiles itakuwa CCTV. Nikawaambia natishiwa maishaa na hizo CCTV zikivujaaa mniandalie 3 billion nita wa sueee mpaka kwenye Tigo zenu. Wakasema hamnaaa!

Nikaona hataaa! Nikamcheki brigedia mmoja. Nikamwambia mwanangu nina kimeo, kanifutie CCTV pic zangu kwenye kile ki hotel! Akaniambia mwanangu wewe kijukuu cha mtumeee! Kuna mwanetu wanaenda pale na mkuu next week, yule wa usalama wa taifa so cctv room watakiwa wana contro wao wiki nzimaaa. We tupe tarehe tu tunaondoka na tape na tunafutaa kwenye data base tuna full access. Hilo limekwishaaa! Maana wenyewe wanatangulia keshoo.

Nikatoka hapo nikatimba BBC. Nikamuulizia bibie nikaambiwa hapo sio kituo chake cha kazi. Wakanifanyia kavuuuu. Afu waandishi wagumuuu sio watu wa kuyumbishwa. Nikampigia brigedia madili wa asubuhi. Akasema nakuja hapo. Akaja full combat, minyotaaa, kajipanga. Ashanitumia sms hatujuani nikifika hapo. Akawaambia naitwa Brigedia John Kilumba, kikosi cha JWTZ, Brigade commandor, akamwaga micheoo. Akatoa na kitambulisho.Waandishi wagumuuuu hata hawatikisikiiii. Akasema naomba kumuona Fribessima reporter wa BBC Lagos. Akaambiwa hayupo wananyanyuka kabisaa.

Akajiongezaa kuna comnder mmoja wa Congo, Tshangawe, tulikuwa wote Congo DRC, UN, sasa yupo Bukavu upande wa waasi. Kaniambia ananstory kubwaa sana kuhusu Kabilaa, Josph. Nimtafutie reporter nae muamini mimi maana kabila sio jitu la mchezo mchezoo. Akaletewa chai hapoo, na vitafunwaa. Wanahaha kumpigia Fribessima. Wanamuhadaa kuna reporter wengi wanajikaanga mastory makubwa walio fanyaaa. Akawaambia akipatikana Fribessima mpeni namba yangu nitamwambia pa kunipata na kumpata huyo Tshangawe. Anaondoka anaombwa abakie Fribessima hata kama yuko Lagos ataletwa next flight. Hahahaaa!

Jioni reporter kamcheki mdau. Akamwambia tukutane new Africa. Akaniambia nishamuelekezea kibraa we nenda kachinje. Nikaibukaaa Comandoo Kipensi. Niliwaza mara 20 nimvalie combat huyu malaya au nimuacheee. Nikaamua ngoja nikamsikize kwanza. Nikamkuta anahaha kaja na diary aandike yote angejiaaa! Nikajifanya kama coincidence. Akajitia kuniuliza who are you again? Nikamjibu no body! Nikaka pale namtizama tu, nae ananitazama.

Shida niondoke aweze ku focus, mshkaji akamtumia text ill be 2 hrs late maybe. Akaona mda upo. Nilivokaa pale akajua nampenda sijui nimekuja kumuomba msamaha. Akaanza How could you do that to me? Nikamuuliza what? Umenipa namba haipatikani, uou disappeared in thin air. Niliumiii sanaa sanaa. Anajieleza michozi inamlenga na waandishi walivo na roho ngumu.

Nikamuuliza so you decided to befriend my wife, show up in my family ocassion, write me blackmail notes for 30 m. Akastukaaa woooo woooo wooooo! What are you talking about? What wife? God you are married? Jesus christ! How could i be so naiveee. Vikaanza vilio. Nikamkazia na kumsomea mashatala upya ila akawa ashavurugwa. Akasema i dont know what you are talking about, i didnt know you wre married how could i know your wife or family?

Nikamwambia focuuuuuss! Last weekend umeenda mikocheni, kwa dada mmoja ana 2 girls, thats my wife, kuna mkaka alikimbia thats me! Akabakia wooooooooo! Damn! Jesus Christ is lord! Whaaat? Jamaniii! Me i had no idea? Holly shit! Yule dada mimi aliniona game akajifanya kunifananisha. Then we met again saloon, she invited me kwenye barbecue.

Nikawa badoo nachuja. Kwamba walikutana game ilitiki kote kwa vivi na kwake. Nani alimfata mwenzie kwanza nikapata kigugumizi who is telling the truth? Could it be just coincidence and i am making a mountain from a mole heel? Nikamwambia bwana bwanaaa! Sorry i am married. Sorry i lied, sorry a 1000 times. Ila yule mke wangu, wale wanangu, pale kwangu. Please jikataeee. You are not welcome. Hata Vivi akikushikia bastola usije na mblock kabisaa.

Maybe kajua kilichotokea anataka kutuwekea sumj. Nakwambia kwa faida yako. Naondokaaa. Akili kichwani. Moyoni sikumuona kama threat sanaa maana hata kama yeye akisema kweli tumefanyana it will just be MY WORD AGAINST HERS. Tena from perspective yeye ndo ataeleweka vibaya katika jamiii. Unanganiniaje mume wa mtu kakufanya? Si uongo huooo. Kwa uchi gani? Unataka tu kuvunja ndoa! Hamna ushahidi wowote wa maana manake wanangu washafuta kila kituuu na wakanihakikishia dhambi yako hiii tushaifuta duniani kokote labda tulipofeli ni kuifuta mbinguniii tu kama vipi jiongeze kwa faza yoyote jirani yako ukaimalizee kabisaa na huko. Nikawaza only if Leo angekuwa faza, angengoja apewe ufazaa ndo arudi nae alaa, tungekuwa tunaungama kutwa mara 10.

Nikasema kweli mimi kijukuuu cha mtume. Mpaka hili nime save. Hapo nikawa na uhakika kabisaa Vivi found out kwamba nimechepuka na ndo yeye had all this planned. Alichokosea hakujua mumewe Comandoo akashindwa kuipatch plan yake vizuriii. The woman has balls thinking she can trick me to a confession. Hahahaaaa! Maybe i should give her one!

I could just let this slide, manake najua without my confession hana kesiii yoyote ila hapanaa! Nitachofanya ill trick her to a confession kwamba kwanza kanisingiziaaa sie eti msomaji? Kanisinhiziiia, kataka kunichafuaa. Kamchafua dada wa watu. Na why the hell would she have people in A town snapping , me for no reason? Nilipanga kumkaanga kama bisi aweweseke kwenye sufuria weee. And most all i needed to find out WHO THE FACK SNITCHED ON ME. Mpaka kunipiga picha jamaniii. Was it father? That psycho Rich? Or that mental Jimmy? Mheshimiwa asingeweza cause nae ningemchoma kama pasiii. Hawa hawa wa 3 kuna mmoja kauza CD. Na lazimaaa, nasemajee lazimaa takuwa anamtaka mke wangu si bureee.

Wa kwanza kumkaba alikuwa Jimmy! Jimmy mgumuuu sanaaa. Hashindwi kuwa anaitombeaa mke na kampa huo mchoro wa 30m. Sasa Jimmy is mental! Swala hili ningemuuliza juu angesema namuogopa mke wangu sijui nini. Nilikuwa na mpango nae kabambe. Kwanza kumpima kama kahusika au la, nikamuita porini Mbezi beach, hakujaaa afu hakuoa sababu ya msingi. There is no facking way jimmy atanikatalia mualiko.Siku ya siku nikambamba club, nilikuwa namsaka. Kaingia chooni hajafunga mlango. Ashalewa. Nikaingia na mimi nikabana mlango. Nikamuwekea mguu wa kuku anageuka anakutana nao. Pombe ilimuishaa! Bro Tyrone matani yako sio mazuri. Nikamuuliza nani anatania hapa! Data zako unanitombea mke, ninazooo zote. Wanawake wote ukaona mke wangu ndo anakufaa? Jimmy jasho linamtokaa, hapanaa mjedaa, mimi T, siweziii fanya hio kituu. Vivi dada yangu yule. Nyooooo! Nikaikoki kuonesha niko serious. Ushoga gani uliokufanya mpaka ukanipiga picha A town na kumtumia mke wangu, mnani black mail mimk? Comandoo T!

Analiaaa sio mimi bro, mwenyewe unajua nilikuwa nalewa tila lila simu yenyewe niliibiwaaa chuga sio mimi T. Nikamuwekea mtego wa mwisho. Jimmy haupo serious sali sala yako ya mwishoo kabisaa, nakuua nakupiga na muhuri wa usalama wa taifa kabisaa, polisi wakija hapa hawachunguzi chochote ndugu zako wanaenda kuzika huo mzogaa. Haya nyoosha mkono nikupige muhuri, nikampiga muhuri tu nilinunua online sio wa usalama wa taifa wala nnini , maandishi yanapotea in 5 seconds. Akajua hapa sijaja kucheza. Nikamwambia sasa Vivi ndo kaniambia kila kituuuu mpango wenuuu. A to Z. Usinifanye mjingaaa! Analia sio kweli muulize vizuri, nimewakosea nini. Hahahaaaa! Chezea bubuuuuu mlango wa chuma ukiugungua hauna huruma. Nikashoot! Haina risasiii. Alitoka kukojoa ila mkojo ulimpenya mwingii sijui kama nini kwenye suruali. Nikamwambia nafatilia hili swala kwa ukaribuuu. Ill be back kama unahusikaa.

Siku ya siku nikamzukia Rich mchanaa, najua anakuwa peke yake kwake. Akafurahi kuja kunionaa angejua lililonileta. Nikamuuliza Rich couldnt you just die in peace, ukaona kabla hujafa utusambaratishe na mke wangu? Akauliza whaaaat? Nikamuonesha picha kwanini umetuma hizi picha kwa mke wangu? Akaniuliza mimi? Nikatoa bastolaa! We si unataka kufa, today is your lucky day. Jichooo likamtokaaa! Kama mjusi kabanwa na mlango. Nimemkazia you have 10 seconds to explain kwangu why in the hell didi you do that to me? What was in it for you. Au sababu unamegewa unakomesha michepukoo yote? Huwaga ana kugugumizi Rich akabakia mi...... mi..... si... siiiii.... si..... huuuu...... sikungoja amalizie nikamwambia ILL BE BACK. Kama unahusikaaa.

Leo nikampigia haiitii. Nikatumia simu ingine nikajua kani block. Bahati yake. Nikawaza ngoja nimtekenye wife anipe mkanda mzimaa wa tukiooo. Nikafika ndani kwangu, maana alizidisha vibahasha nikawa namwambia pokea wewe soma kama una cha kujibu jibu kama hamna tia kiberiti. Alikiwa smart hakusema kama vina picha au vipi.

Nikamwambia i have a confession to make! Akafurahiiii! Akasema ngoja nipaki ma begi yanguuu kabisaaa kabla ya yoteee. Nikamwambia acha ujinga. Nikajielezeaaa i had an affir Arusha, im sorry, akawa anafumukaa kama kala gunia la hamiraaa. And most of all im sorry about kwamba nimekucheat na best yakooo kabisaa Nadya! Khaaaaaaa!

Akakaa kimya kidogo! Akasunyaaaaa! Kunicheat umecheat ila sio na Nadya we malizia tu confession yako vizuriii kumbuka. Nikasema sasa unanilisha maneno mi ndo nakwambia nadyaaaa! Akaanza kufokaa siooo usimsingizie Nadya wa watuuu, hili jitu bayaa hivi litakuwa Nadyaaa!??.? Kafungua whatsup yake ananionesha nikashika zile namba kwa kichwa!

Nikajichekesha hahaaaa! Mke wangu hutaniwiiii! Mi sija cheat chochote nilikiwa nataniaaa tu. Ila wife wewe huu mpicha na huyu dada umeutoa wapi? Ndo maana ulimualika barbercue?.... Haaaaa! Kapanic suinifanye mjingaaa, ume cheatttt sanaa. Mi unaingia ngurudoto taarifa zako ninazo, ulikaa chumba flani, siku flani mkaingia ukafanya yenu, siku flani ukamfata room kwake. Malayaaa sanaa wewe mbwa hufaii, afu eti nadyaa au ndo next kwenye list yako au mshatombana sanaa tu ukaona ukimtaja haina athariii? Soma convo hio uelewe kwamba najua nje ndani nakuchoraaa tu.

Nikakuta imendikwa Cousin, maninaaaaa kweli kweli kumbe binamuuu bwana ndo kauza CD afu mimi ndo nishatishia watu bastolaaa! Heheeeeeee, kimbembe. Nikamwambia tu kaa ukijua michezo yako ndo tusha committ SOCIAL SUICIDE. HATUNA MARAFIKI TENA. Akauliza what have you done? Nikamwambia NOTHING YOU CANT HANDLE. Anza kutafuta mashoga upyaaa. Anauliza what? Nikamjibu tu YOU WILL FIND OUT SOON.
 
Jamani mbarikiweee sanaa mnanimiminaje mapesaaa! Basi niliuwa nampango wa kuwalaza kavu kavu ila nguvu ya pesa naendelea kuandika hapaa!


Ukila vya watu vyako lazima viliwe
 
Jamani mbarikiweee sanaa mnanimiminaje mapesaaa! Basi niliuwa nampango wa kuwalaza kavu kavu ila nguvu ya pesa naendelea kuandika hapaa!


Ukila vya watu vyako lazima viliwe
Ndio andikaa
 
Jamani mbarikiweee sanaa mnanimiminaje mapesaaa! Basi niliuwa nampango wa kuwalaza kavu kavu ila nguvu ya pesa naendelea kuandika hapaa!


Ukila vya watu vyako lazima viliwe
Andika basi lara
 
Back
Top Bottom