Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Ukija muamala mzuriii mbona naghairi trip ya kwenda kugawa sipendagi utanai kwenye kazi nashusha episode ya Leo na baridi hiliii ngoma inogileee
 
Jamani hamna aliebutua wala nini, mshukuru Mungu nina mijideni yangu saccos huko, vikoba, michezo pesa za watu nimekulaaa kurudisha nakunya kunya usiku singizi unakata ziiii mpaka saa 10 ndo napata usingizi. Kwa hio nimejigeuza geuza hapa bila bila ngoja tu niwapeni story penalty. Maana saa 10 itafika vipi mnadhani ila mkubali WASOMAJI SINAAA!
 
Ingia
Jamani hamna aliebutua wala nini, mshukuru Mungu nina mijideni yangu saccos huko, vikoba, michezo pesa za watu nimekulaaa kurudisha nakunya kunya usiku singizi unakata ziiii mpaka saa 10 ndo napata usingizi. Kwa hio nimejigeuza geuza hapa bila bila ngoja tu niwapeni story penalty. Maana saa 10 itafika vipi mnadhani ila mkubali WASOMAJI SINAAA!
Ingia jikoni KLM
 
Uzuri nawajua wasomaji wangu uchebeee! Tulaleni tu kesho mommy Shishi baby nawasambazia raha bureee
Tuko wasomaji wapya
Ukija muamala mzuriii mbona naghairi trip ya kwenda kugawa sipendagi utanai kwenye kazi nashusha episode ya Leo na baridi hiliii ngoma inogileee
Weka namba yako
Jamani hamna aliebutua wala nini, mshukuru Mungu nina mijideni yangu saccos huko, vikoba, michezo pesa za watu nimekulaaa kurudisha nakunya kunya usiku singizi unakata ziiii mpaka saa 10 ndo napata usingizi. Kwa hio nimejigeuza geuza hapa bila bila ngoja tu niwapeni story penalty. Maana saa 10 itafika vipi mnadhani ila mkubali WASOMAJI SINAAA!
We weka vitu, wasomaji na wabutuaji tupo
 
Jamani hamna aliebutua wala nini, mshukuru Mungu nina mijideni yangu saccos huko, vikoba, michezo pesa za watu nimekulaaa kurudisha nakunya kunya usiku singizi unakata ziiii mpaka saa 10 ndo napata usingizi. Kwa hio nimejigeuza geuza hapa bila bila ngoja tu niwapeni story penalty. Maana saa 10 itafika vipi mnadhani ila mkubali WASOMAJI SINAAA!

Hata sisi hatunaga usingizi kama kawaida tushushie mzigo mida yetu ileeeee .....
 
Mapenzi kizungu zungu!

Kwanza kabisaa niseme tu Dubai was among the best thing that happened to me! Nili enjoy sanaa kwa kweli. Kuliko ku enjoy. Ni katika nyakati ambazo reality ina surpass imaginations zako zoteee!

Kwa juu juu nilijua Nadya kansaaa hachomokiii kwangu. She bought me Rolex ndugu msomajiiii. Whopping $3000 cash from no where. Nit that i cant afford one its just i was a priest not so long ago, na kanisa haliendani n ufujaji na utapanyaji wa pesa. For the record my pops owns a collection of watches. Different designers, different series. So hata ningesema nichukue hata 10 he wouldnt mind. He even owns limited editions. He owns a Grisogono Instrumento Grande Automitic Dial Tan grossing a minimum of $8000. Na ni saa anaweza vua kuweka juu ya Sink.

His favourite watch is a Hublot (pronounced Hyublot )Big Bang King Power Oceanographic limited edition grossing at minimum $13000. So my point is a Rolex ya $3000 to me was not a big deal! I am about that life ya watch collections mambo madogo sanaa. I think ndugu msomaji huelewi how my pops is loaded.

The value this rolex had is SENTIMENTAL making it PRICELESS. Even a Ulysse Nardin Classico Hanibal Minute Repeater kwangu mimi na hii saaa ya Nadya sibadilishani. What made its value sentimental was that nimepewa na mtu naempendaa! Afu kapasuka msambaaa! Afu sio mtoajiii Nadyaaa! Oooohhh! Ndo maana hii saa ndo kila kwangu.

I met with pops nikiwa nimeivaaa trust me he had a millions suggestions of better choices. Nikamwambia hii mimi ndo kila kitu. He didnt understand why! Kikubwa ni kuongea kwamba naanza lini hio kazi? Time is running out. Nikaamua tu nikaanze kazi kwa mzee maana nilikuwa na stress za kutoshaaa.

Nimefika Dar the bich curved me like what the hell! Oohhh tuwe marafiki sijui nini. Ashukuru mimi Faza ila ningekuwa mtu wa fujo ningempiga vibao pale pale. Ila nikasema kwani kitu gani? Mapenzi hayalazimishwi bwanaa.

Japo moyoni niliumiaaa mnooo mnooo so kwa mechi ile ya mwisho afu tuachane vipi sasa. Maadamu kaamua basi sawa. Nikawa sijaamini najua labda atasema nakutania kama kwenye Rolex. Wapi mpaka kupanda tax moja kagomaaa. Mmmmmhhh!

Huku kwa Vivi moto unawakaaa! Mambo ni Fireeee! Mlijionea wenyewe. Mjeda anakunya kunya anawaza alipe 30M au akajisemee mwenyewe tu yaisheee. Tatizo ukishajisemea huwezi kuja kujikanushaaa. Unakuwa umethibitisha pasipo shaka lolote. Balaaaa hilo.

Nimetoka airport siku hio hapalalikiii. Nalalaje kwa mfanooo? Tanda naliona panaaa! Nikaamua tu kumtext hata nikishushuliwa poaaa! Nikamwandikia Baby what you doing? SMS haijajibiwa wala nini. Nikajitahidi kulala wapiii. Kama roho inatoka. Nikaamua kupiga.

Simu ikaitaaa haikupokelewa. Nikatamani hata nimpigie simu mwanaume mwenzangu nimsimulie tu ila naweza kueleweka vibaya. Nikashindwa kulala nikampigia mchizi wangu mmoja ambae ni padri. Khaaaa! Sijui nilitegemea anisaidie nini.

Nikawaza ningekuwa na pesa si ningeenda hata kumpa nimle hata hio ara moja basi. Nikamuandikia sms " Kulala na wewe usiku mmoja bei gani? " Ill pay cash! If its about money i have money! Akajibu which money? We bill za hospital si zimekushinda wewe? Hilo nalo kweliii. Ila nikamkazia Sh. Ngapi hata nijipange?

Akajibu its not about the money! Its about being honesty! Kama ningekuwa nakupenda Leo you wouldnt need to try this hard! Sasa sitaki kukupa false hopes mwishoe uje unifanyie mambo ya Ufoo Saro buree. Wewe una feelings, feelings ni mbayaaa! Unaweza fanya kitu hatutarajii wote. Ndo maana nakwambia tuwe tu marafiki.

Nikamjibu Siweziii baby! I just cant! Wosh ungenionaa huku karibia roho inatoka huku.Umeongelea honesty! Honestly mi nakupendaaa and i want to make you mine. You dont need to love me back but just let me love you. Niruhusu nikupende mimi.

Akajibu i am not selfish! Siweizii! Mimi sipendi kufanyiwa hivo ndo maana siweiz kukufanyia hivo. For what? Pesa zenyewe huna! What will be my motive? Leo you are a good person, you will find a person who loves you back the way you deserve. And that person is not me!

Nikakata tamaa kabisaa! Sikulala mpaka kesho yake. Nikawaza mambo mengi sanaaa! Au nirudi shirikani tu nikamtumikie Mungu. Nilikufuru sanaa siku hio. Mungu shirikani nimenyimwa nafasi kwa makosa ambayo sio yangu. Nimekuja uraiani nako Nadya hanipendi pia kwa makosa ambayo sio yangu. Mimi ni mgeni wa nani? Nikawaza ule ushauri nikaanze Jimbo.

At tjis point Alter was not my call anymore! All i wanted was Nadya on my side. Ila ndo hivooo. Kesho nikakutana na Jimmy kumsimulia kwamba nimependa nisipo pendwa. Jimmy akanichana live tu, oyaaa jombaa mi nakuchana live maana mi ndo ndugu yako nisipokwambia mimi akwambie nani? Nikabaki namkodolea macho.

Mwana una feliiii. We umri huo, huna nyumba unapoita kwako kutwa nyumbani kwa baba yako au kwa Rich au kwangu. Sasa mwanamke gani atakupenda kwa mfano? Mi Nadya simlaumuuu. Sasa akupendee nini? Get your shit together jombaaa! Utapata wanawake mpaka utawakimbia. Ila kwa style yako hio sikufichi mwanamke akikujua tu hatokutaka.

Nenda kafanye kazi kwa Uncle, panga apartment moja nyoko sanaaa! Vuta ndinga moja nyokolostiiii. Tupia madini shingoni, viatu designer, jisaa kama hilo. Vaa vizuriii. Mbona wanawake watakuja kama wana swagwaa!

Nikamwambia mi sitaki wanawake mbona hunielewiii? Mi namtaka Nadyaaa!akassma huyo Nadya nad pia mwanamke! Bila hivo msahauuu. We mwanamke gani anataka mwanaume asie na kazi, biashara wala asiefanya chochote. Hana pa kuishii, hana gariiii anatumia gari la uncle wake. Jombaa jipangeee! Tena usirudiii kwa Nadya ukiwa hivooo utakuwa unatwanga maji kwenye kinu. Jipange afu rudi uone kama hujapewa mapokezi ya kifalme!

Kiukweli Jimmy alinikata maini yote akangoa na figo zoteee! Nilitafakari ile ishu wiki nzimaaa! Nikaamua kurudi nyumbani mwana mpotevuuu! Nikamuomba kwanza mzee msamaha kwa yote, yote. Akanisamehe kwa roho safii. Kazi alionipa niwe meneja masoko.

Nikaanza kazi pale kwa mzee. Basi kuna wadada wa maana kila konaaa. Ila mimi moyo wangu uko sehemu zingine. Sikumpigia Nadya simu kama mwezi mzimaa! Nae hakupiga alivo nunda sasa. Najitahidi kupost insta at work labda ataonaa. Japo a like. Hamna kituuu.

Ikapita miezi mi 2 nipo kazini bored as shit! Nikaamua sasa labda nitafute mtu wa kunisahaulisha Nadya! Kunamdada pale ofisini nikamtongoza basi tu. Akakubali. Kuhakikisha simuachi nikajiwekea mazingira magumu kumtambulisha kwa mzee. Lengo hata mashetani yakinipanda nikataka kumuacha bila sababu nitamuogopa baba na kumuonea haya nitajitahidi, tudumuuu.

Alikuwa nae about that life, wa kiashua, decent mnoo! Nikaamua ku make it public kabisaaa. Nikampost Insta. Hamuwezi amini Nadya akaja ku like na ku comment mnanoga sanaaa! Khaaaaa! Jinsi nimepost vitu kibaooo kachunaa hii ndo kaona post ya ku like? Daaaah!

Nikawa nimehama nyumbani nimehamia nyumba yetu ingine kali sanaa! Alikiwa anakaa mzungu. Pool side na nini. Kila nikiiona ile pool, nakumbuka Dubai. Basi tenaaa! Yule dada akanipeleka kwa wazazi wake. Ila roho haipooo kabisaaa, kabisaaa! Nailazimisha furaha.

Siku sina hili wala lile, tulikuwa tumetangaza tenda ya agency, kuna watu wakawa wanatoka Dar kama kampuni 3. Wakaingia wa kwanza! Wa 2 mara paaaaaaap Nadya na wazungu wake. Nae akashangaa kunionaa pale. Na mimi ndo kabisaa! Kazidi kuwa mcharooo. Kavaa mini suit kimini haswaa! Stalkings na heels matata na miwani. Unaweza usimjue kama ndo yule anas twerk.

Inshort sikusikia hata neno moja alilosema! Akili zangu zilikuwa pengine kabisaa. Ubaya mzee nae alikuwepi kwenye tenda. Walivotoka tuka break! Nikawa nazungumza na mzee kuhusu hiO kampuni 2. Mara MzeeAkiinuka wale wa kwanza wazuriii, hawa wazungu sijawasikiliza sanaa maana daaah lile toto waliokuja nalo tamuuu mpaka balaaa! Toto limenishawishiii mpaka nawaza kama vipi niwape tenda liwe linakuja kufatilia kazi nalionaaa tuuu!

Nikastukaaa na kumwambia babaaaa! Akanidaka juuu juuu! Mtoto acha tamaaa umemchumbia mtu, mambo kama haya tuachie wenzio tusio na vipingamiziiiii. Mi mke wangu kapumzika zake kwa amani. Nimemuona na Koshuma analitolea machooo mbona tutamalizana wenyewe kwa wenyewe humu. Nyie vijana mna muonekano mi mzee nina pesa ndefuuu! Si unaona Mengi anatuwakilisha ma veteran.

Khaaaaaaaa! Nikamchana hiki kizeee, ajiangalie yule ashakuwa mwanamke wangu. Akasema muongooo! Lini? We si ulikiwa seminary like until today morning! Nistake kujipa ushindi wa mezani. Ikabidi nichimbue picha ya Dubai tena akiwa na bikiniii na mimi kwenye pool nimuonesheee.

Akasema weeeee mwana weee! Kumbe simba mwenda pole ila nyama unatafunaa kwa kwenda mbelee! Embu nionebtena hio picha? Nikamkaziaaa! Wazee wa mjini tabu tupuuuu. Akasema ila si mmeachanaa? Kaa hio chama la wana! Sawa uliwahi kuzinduaaa ila ndo hainaga makombo! Nikamwambia mzee jiheshimuuu yule kwanza show yake huiweziii! Utafia kifuaniii nakwambiaaa. Mzee anajitamba wewe mimi nimepita jandooo! Nimeua simbaaa! Pale mwanangu ubaba pembeniii labda anikatae yeye tu. Mmmmhhh!

Wakaja wa 3 ku present! Mi namkata jicho mzee nae anatabasamuuu tu! Mmmmmmhhh! Nikaamha kupambana nae the old way on the ring. Nikamtumia Nadya sms lets do dinner! Akajibu why not?. Jioni bae akapiga simu mama yake kaja so niende kwake ni muhimu. Nikamwambia nafanya kazi bwanaaa! Mpaka nikahisi au mzee anamtumia huyu binti kunihujumu?

Natoka kazini huyu hapa Bae kaniganda mguu kwa mguuu. Nikaamua niende kwa mama mkwe huko nitoke fastaaa! Kufika kule mama mkwe anataka kujua ndoa lini? Alinibananishaaa! Nikiwa kikaangioni naona Nadya katupia picha insta " With the CEO himself! Deal Done!" Mbona nilitoka bila kuagaaaa! Mbona Mzee anataka kunipanda kichwani na kujipa siti ya dirishaaa?

Nimefika wako bado bar! Nijivutia kiti. Na kuanza kutambulisha Nadya huyu Mzee ndo baba yangu mzaziii, afu nikatupia kijembe The CEO himself. Huku chini ya meza mzee akanikanyaga ile Kmamako. Akajibu mapigo mzee kwa kunivua nguo. " Uko hapa mda huu bwananharusi Celine bibi harusi umemdump wapi? Mama kijacho ana panic yule " huku ananiangalia usoniii mkavuuu. Ndugu msomajiii hili zee la nyeti hili Mungu analiona mjue.

Nadya akashangaaa! Akasema OMG! I am so happy for you Leo! I am so happy! Come here! Nikapewa hug la nguvu. Manina mara laki 5. Yaani mzee alinikomoaaa sio kidogo. Ikabidi sasa nikae kimyaa tu. Tukanywa mpaka saa 9 kizee kimoo tu. Veteran old school, anakunywa whisky! Basi ananichomekea shouldnt you be somewhere or with some one specific? Na mimi namuuliza does your Dr know where you are? Siendi chooni mpaka yeye aende. Uzuri umri bladder yenyewe kushney babu G. Kila dakika anainukaa.

Akiinuka mi namchombeza Nadya huku! Umefikia hotel gani? Ananiambia. Unaondoka lini? Akasema wanaenda four seasons kwanza kesho kutwa ndo warudi dar. Mzee akija tunaendelea maongezi Mwisho Nadya akaaga yeye.

Nikamwambia mzee wewe umekula chumvi nyingi na wanawake wengi, niachie basi huyuuu mwanao kibingwaaa! Akajibu hainaga ubaba hii Tunakulaga. Basi nampiga siasa. Akasema angekuwa official girl nisingethubutuuu ila yako tamaa una official girl, men code ni kwamba michepuko ni cha wote. If i have to beat him kumpata Nadya i should do it on the ring. He is making his moves so should i.

Kesho nimekaa ofisini moja haikai mbili haikaiiii. Mara paap simuoni mzee naambiwa katoka kaenda kusiko julikana. Nikasema asintanieee. Na mimi nikatokaa mbio mpaka hotel kwa Nadya. Sikumkuta mzee ila Nadya nilimkutaa!

Pressure niliokuwa nayo na jamba jamba bikaamua tu huyu mwabamke atakuja kuniuaaa kwa kupendaa! Moriii umenipanda juu juu. Namuona kajilaza na bikini yake anachezea simuuu.

Sikuongea mengiii wala nini, Nikajitoa tu akili, nikavua sarawili, nikavua shati, vest, boxer. Akawa anashangaaa! Bwana harusi vipi? Baba kija? Nikaona mda wa kujielezea sio huu. Nikamvamia ki Die hard! Wima wima na kumpa mateee! Akawa hatakiii! Nikamkaba hivo hivooo na kumpa mate mfululizooo mpakaa kaanza kulainikaaaa!

Bado anataka story nikamwambia shsssshhhh! Acha mioyo iongeee!

ITAENDELEA
 
Afadhalii jimmy kamchana ukwelii akilii zikamrudi.. Ila dingi yake Leo mkuda aloo
 
Back
Top Bottom