Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Lara wewe ni nyoko nilikuwa nakuchukulia poa na story zako ila kwa hii umenishika pabaya. You deserve big up.
 
kama namuona mjeda pumbu zilivyoloa. Kasahau km Vivi FBI mixer Interpol yan lara1 ushanipa mbinu za kufumania mtu hapa naandaa account ya bank mapema nipate pesa... ushukuriwe kubwa la maadui
 
Msakzie mbwa nyama ya sumuu hahahaaa ila sikutegemea ili picha la vv na t lingefika hapa. Nilijua romeo n juliet
 
Mjeda kujitia shababi hahaaaa kakutana na vivi FBI ..noma sanaa
 
Mjeda chaliiii, nasubiri hilo comeback!

Maana mjeda haahindwi kutokea kwapani. Sio kwa mbio zile!

Hahahahaha na ujeda wake kawa mdogoooo
Hahahahaha! Wazir kiboko, eti mh.Rais nakuja sahz, na hizo mbio za mjeda vipiiiii
Wanaume pumb nusura ziing'inie chini khakhakhaaaaaaa



Cc Smart911
 
Usio
Hahahahaha na ujeda wake kawa mdogoooo

Wanaume pumb nusura ziing'inie chini khakhakhaaaa

Usiombe kwenye ndoa Mke wako atambue kwamba unachepuka halafu awe ni MTU mwelewa kama alivyo mama mjeda atakuharass kisaikolojia mpaka Italia ni bora mjeda pumbu zilibana akaona ajifanye anamfuata Waziri lasivyo hapo angepiga salute kwa kruta
 
Lara1 nitumie pm namba yako nisipo tuma njoo nitangaze,mi nimefurahi sana kwa stori hii please please
 
Haya jamani tumeni humo

Naomba namba ya kufanya muamala PM tafadhali...
0675297368 jina litakuja Adriana! Namba sio yangu hio msimtongoze dada wa watu
 
Back
Top Bottom