lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #521
Pamoja na sababu zooote za kutomtaka Leo ikiwmo having a whack Dik, and all the biggest reason,ambayo sijawahi kukwambia hata wewe ndugu msomaji, hata kukugusia ni kwamba I WAS INSECURE WITH RICH PEOPLE. Of course i wanted a rich husband, ila watu wenye pesa nawajua mimi, katili mnoooo! Katili zaidi ya Hitler. Ndo maana na mimi nikaamua kuwa katili zaidi yao. Kabla huwajanifanyia ukatili nachukua changu mapemaaa.
I wis i was lucky, Cinderella kind of lucky but i was bright enough to know fairy tales do not i reapeat DO NOT exists. All the guys i felt some how will be different were not. Watu wenye hela wagumu sanaaa, mnooo mnoo. The not only look at you as an individual watakupekua mpaka uchi wako, unatokea wapi, ndugu zako kina nani, wewe ni nani and it is not worth it.
Mimi ndugu msomaji I AM SELF MADE. Sina refaaa, sina God Father sina nini. Nimejitoa mwenyewe kwa jitihada zangu inawezekana zisizo halali but a siste had to eat. Sawa mimi nawamudu hawa wajinga wajinga hawanisumbui but my family are so inocent. Ni watu wazuriii, watu wapole, watu wenye utu. They can not survive the hostility.
Kama mama yangu ligi za wakwe haweziii, ataishia kuonewa tu, na mimi siwezi kukubali. Ukikuta mwaname ana hela afu self made ujue kama hana mke basi ana mitoto hata mi 5. Atleast wale wanakuwaga humble kidogo. Manake nao shuruba wanazijuaaa sio kidogo. Ila ndo hivo wanakuwa washawahiwa.
Leo nilikuwa simuamini amini sanaa, maana nao hawa waongooo hatariiii. Na swala lake hana kazi ya kueleweka, hana nyumba, hana mbele wala nyuma lilinikatisha tamaa sio kidogo. Though i must admit he was a little different. Labda na u ufaza ulimsaidia kidogo.
I could swear, matter of fact nilijiapiza mbele zenu ndugu wasomaji mi Leo simpendiii, na siawahi kumpendaa. Mlivo wabaya nyie hata kunistuaaa. Maajabu ya moyo sasa nimeudi Dubai nikawa namkumbuka ule ujinga ujinga wake. The funny things alizokuwa anafany kwa kukoseaaa. I missed him. Mpaka ananiambia niache mimi nikupenda namjibu vibaya bwana weesi lile deni la $10,000 tamaa nikaona ataniganda nishindwe kuchuna. Plus mume wa mtu had a special place in my heart. Basi tu hatukukutana mapemaaa.
Hamuwezi amini nakuja kukutana nae, ananambia how much he is committed in his marriage. Nitafute mtu wa kuwa nae. Mambo ya kijinga kabisaaa. Mambo ya kunifanya nijione shit tu kwake. Niliumia sanaaa. Sanaaa. Upweke ukarudi upyaaa. Nikikutana na watu naona wananiboa boa tu. Hata kijiweni nikawa siendi kabisaa, sina mood. I even missed his whack dik ndugu msomajiii.
So manytimes natamani hata nimuanze Mambo! Nashindwaa kabisaa. Yupo Arusha huko. Wished tungeenda tena Dubai wote ningekuwa mwema na mwenye akili zaidiii. Kuna siku nilishaandika sms kabisaa kumdai hela ya lense nipate tu pa kuanza kuongea nae. Maana nilishamwambia sikutakii sikutakii usinipigie simuuu. Niaifuta tu. Nishalala na mtu mtaalamu hatariii ndugu msomajiii, hatariiii nakwambieni ila cha ajabu sasa nikaona mechi haijanoga kama ya Leo n uzezeta wake wala nini. Kupenda kubaya sanaa. Nilishikwaaa.
Nikawaza hivi nilimkataa kwanini? Au nimerogwa kweli. Nikawa nawaza mambo ambayo ningetakiwa kufanya kumshikaaa kuliko uboya niliofanyaaa. Nilijilaumu mnooo. Ingewezekana kujiadhibu ningejitandika bakora 20 na kujiongezea 60. Lazima niingie insta yake kila siku. Siku hio hamad asimpost mwanamke.
Mbona nilianza kubleed sio kidogo. Nikajipa jipa moyo mimi ndo Nadya KLM aoe tu, wameoa wangapi na bado ambwana napataaa. Nikiwa ndo naanza kupona pona maumivu ya moyo japo moyo ulianza kupona nilishikwa na kifaduro cha akili. Manake i went to this date na a guy mtu safiii, nikaanza kumsimuliakuhusu Leo entire date. Sijui niliwaza nini. Mpaka baadae nikajichekaaa. Uzuri Lightness kesho namba imekosewa ni Nadya!
Ikaja trip ya A town. I know the copany, i have seen invoices, i have seen prtifoli najua wana hela mnooo. Na ni group of companes. Wana tours, wanamahotel, wana vitalu vya kuwindia. Wana car rentals, wana semitrela na logistics company, wana microfinance, ana plantations za ngan, mkonge, ufuta amazo wana export. Wako vizuriii vibaya mnoo. Nimefika namkuta Leo, nikajua tu my pops is loaded, my pops is loaded ndo hii sasa. Nikasema si utani. Yule mzee nilimjua sababu alijitabulisha ndo CEO.
Tulivotoka nikaanza kujungua na mfanyakazi wa pale chooni. Akanimbia ana mwanamke wake, wanaoana soon, kama kumbi kumbi. Mzee kashampitishaaa. Roho ikafanya paah! Nikauliza is she some body? Akasema ofcourse bba yake lawyer, wana mahotel nao hapa Arusha na Dar. Nikajua tu sina changuuu. Nina hela y mboga tu, sina pesa ya hotel mie. Kujua baba yak Leo ni nani,nilijuta sanaa, mnoo mnoo kuhangaika na yule mbwa kachoka mume wa mtu, level hizi hgusi miaka mia 8. Nimejila kiboga kweli kweli.
Mzee akanialika bar, nikasma niende nikajipige siasa, huenda wakawa tofauti kidogo Weeeeee! Mzee yupo cool sanaa. Vibay mnooo. Mpaka nikasema kwanini niliogopa kuwa na Leo? Tangu mwanzo sikutaka kuwekeza sanaa nikajua wazazi wake hawawezi kunikubali mimi hata kwa dawa, nitaishia kuaibishwa bureee. Nimekaa na yule mzee nikaon yuko cool, msomiii tu, alifanya kazi Nje sanaa.
Leo kuja na yule baba kusema bibi harusi, mama kijacho baaaaaaassss! Kukanimaliza mainiii yoteeeee. Hamu iliniisha ndug msomjii. Mzee kama yule hawezi kuzushaa. Kumbe hy were that serious. Bia niliziona zina shubiriii. Nikashindwa na kuaga zanguuu.
Usiku nikatafakari hivi Leo akioa nitaweza kweli kuishi bongo? Ndipo nilipojua Leo nilikuwa nampenda sanaa ila nilikuwa sijagunduaa. Hata kul kumlipia mcho nini wote upendo uleee baaasiii. Ila too lae. Fungu la kukosa lazima utakosa tuuu. Nikawazaaa, nikaon bwana Leo anakuja na mkewe kwenye mkusanyiko wa kjiweni pale. Daaaah, mbona its like my life is technically finished. Nikawaza siweziii. Kamavipi ngoja niache kazi nimwambie Vivi anichoree mchoro wa USA nikajipange upya kwanza. Il siweziii kukaa bongo.
Asubuhi nawaza savings ninazo za kutoshaaa. I did make up my mind kama vipi naenda USA kujaribu tu maisha na kulee. Nikiwa sina hili wala lilemtu akafungua mlango akaingia Leo. Nilikuwa lmost uchi ikabidi niendelee kukaa hivo hivo. Moyo unatokaaa.
Akanivamiaa, moyoni nawaza nilikuwa napigiwa magoti niwe main chick sahivi mimi nd mwizi. Nikakumbuka kauli yake, i want to respect you, nina mipango na wewe. Nataka uwe mke wangu. Nikaanza tu kuliaaa. Mktaa pema pabaya panamuitaaa. Akaniliza are you okay? Nikamwambia tu I miss you. Make love to me like the first time we met. Akauliza Dubai?Nikamwambia No! At my home. Akasema you said sijui kufanya, you like it rough, remember! Nikamjibu tu, I was wrong. Please make love to me the same way. Teach me how to make love to you Leo! Forget what i like, what do you like.Lets do it your way. Akawa anashangaaa sanaa, hata wewe msomaji sio kwa mishushu ile.
Akaniambia i love you, and i always wanted to treat you like a queen. Nikamwambia treat me like one. Akasema oooh Nadyaaa! Really! You want me to give you some whack dik? Nikamwambia i wnt you to love me your own way. Forget everything i ever said.
Hapo mpenzi mtazamaji usitake kujuaaa. Kweli engine ya sex ni moyo tu. Everything he did felt spectacuar and he was doing nothing extra ordinary. Nakwambia tumetianailikuwa sa 5 mpaka usikuuu. Mimi hiii, hakun ma twerk hakuna ma nini, death of periplaneta America mwanzo mwishoo. Usiku kazi ni hio hio mpaka asubuhi. Sasa asubuhi mi natakiwa kwenda four season na wale wazungu. Kadataa, na mimi nimedataaa.
Nikamuaga bwana Leo. Nikamwambia i am sorry i should have treated you better. You are the best thing that happened to me. I am sorry. I wish you all the best na mkeo na mtoto wenu. Mi naenda marekani soon i have made up my mind. Nikitoka tu huko naacha kazi naenda marekani nikishindwa narudi Malasia kama vipi.
Ananiambia acha kazi hapa hapa. Mi yule mwanamke simpendiii, i dont wanna loose you. I waited for this moment all my life. Acha kazi, mi yule mwanamke anajua simpendi, anajua nakupenda wewe. Ni kiasi tu cha kumwambia nimeudiana na wewe. Hana mimba wla hamna harusiii. Nikajua ananidanganyaaa tu. Akaniambia trust me. Akaomaa acha kazi sasa hivi. Nikawazaaa na kubet cips zote kwnye penzi langu na Leo, nika resign 24 hrs. Nikamkumbuka Vivi, anasema katoka kufiwa na mama, hivo hivo kamfata bwana marekani bwana hamsemesi yuko na mlatinoo hukoo balaa, sasa mi kazi tu. Nikadondosha email 24 hr resignation.
Tulishinda ndani siku 3 napewa tu my new addiction wack dik. Anaenda kazini, anarudi kazi ni mojaaa tu. Hamu haimuishi hainisshi. Kama kupendana ndo tulianza hapo. Akija nampokea kibegi. Namkanda mwili kwanza, namuogeshaa. Kama kunifaidi ndo alinifaidi sasa hivi. We talk usiku kuchaaa. Basi ananiambia i missed tweking, leo tufanye twering kidogo. Naona aibuuuu sasa nitafanyaje ndugu msomaji.
Siku ya nne nikahamia apartment yake, mama mwenye nyumba. Monica aaniulizaa vipi kakusameheee? Manake anajua mpango mzimaaa! Ananifundaa punguza kiburii, upikee, ufuee, hata kama mfanyakazi yupo ina ladha ukifanya wewe. Siku ya 5 kama sengery mwenzenu nieacha kazi hapooo kizembeee, akanipeleka kwao sasa kwa baba yake, kuna dinner sisi na baba yake. Nilienda kununua nguo ya adabu.
Tumefika tu mzee kabailikaaa, kama sio yuleeee. Hacheki, yuko seious. Nilikuw mdogo kama piriton namtegemea Leo. Akamtuma tubaki wawili. Akaniambia Nadya i like you as a person but not for my son. Nikajikuta namuuliza tu baba kwni mimi imefanya nini? Akasema its not personal ila believe me its for your own good. I ran a backgound check on you, huna kitu, ni mtu asie na kitu, na Leo is blassed unaweza dhani romance yenu ndo kila kitu ila sio. Soon leo atakuchoka by then it will be too late anaweza kuwa kakuzalisha watoto bora uondoke sahivi na usichana wako. Nikajitetea baba mimi nampenda Leo. Akadakia love is never enough. Leo is promised to another woman. Yule binti familia zetu we go way back when, Leo is naiveee,mambo ya seminary kidogo yame mfanyaawe slow, yule dada ndo namtegema mimi to run joint venture companies and take our wealth through geneations. Nadya you are not of noble birth na hili jukumu huliweziii.Eeeh Nadya. I know uko na Leo its about the money. Sema HOW MUCH unayotaka nakupa to breakup with him and get lost in our lives.
Aktokea Leo mwenyewe ukabadili topic. Usiku mzimaa nawaza, nichukue mpungaaaa nisepe, maanazee likiamua kunisepeshaa fastaa tu mbona, au niendelee kucheza kuchu kuchu hatai. Kwanza naweza fanya mradi kila siku naliambia toa pesa lasivo narudiii. Nikawazaa sanaaa, mbona design na bet vyote kwa Leo? utaka kula nyingi ndo mwanzo wa kuliwa kingi. Mungu nisaidie. Mimi nimekataa cheki hao figure naropokaaa mara paap Leo kaambiwa kama haniachi anakatwa kwenye urithi, ivi atanipigani kweli jamani ndugu wasomajiii? Design kama najichuuza kwa bei ya jumla!
Zee likawa inapiga, nawaza niropoke figure kubwa nisepe maana hio ndo akili au niusikilize moyo. Daaah! MaanaLeo saivi tunapendanaaa, tunfanyanaa mpaka roho inasuuzika kwamba nimetoshekaa. Tunaelewanaa, nawez kusihi nae hata milele. Nafanyajeee! Simu ikaitaa mpaka ikakaika. Akapiga tena. Nafanyaje ndugu msomaji?