Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,298
Hahaahaa aiseeeHahahaha we lara kimya hiki namna gani tenaaa??![]()
![]()
![]()
tunajua wiki ijayo sikukuu na vyuma vimekaza au ndo umekamatwa transit unalazimika kuliwa kiboga?? Kaza tako asee walau utukumbuke kwenye ufalme wako wa weekend story basi tushakua addicted hukuu
Cc Smart911

