Weekend story! BEN 10

Weekend story! BEN 10

Ohooo Lala 1..power bank hakuna jamani au tununue jenereta nini.🙂😀
 
Thanks for the tag Kubwa la Maadui
welcome back sweet mama.. mambo yananoga sasa
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Jamani msinichoshe, nisiwachosheee, nilipokuwa hamna mabaya sanaa wala memaa sanaa, na najua hamnijali sanaa kutaka kujua. Tupeane story.

Story iliopita sikuimalizia bila sababu za msingi kiukweli. Na sitoimalizia sababu isha expire.

Kilichonirudisha kuandika story si kingine ni njaa zangu tu, na my one and only sponsor of all times, MAN OF THE PEOPLE (MOTP) nimempiga kizinga sio cha kitoto, alivo firauni ananizungusha zungusha tu. Mpaka nakaribia kususa. Hamna hamna nimejiongeza mjini ya bure salamu tu, nimuandikie bonge moja ya story akiwa in mood nimchune mie.The hustle is real. Jamani wabeba box wote hamnioniii? Mnisambazie ma western union.

I promise hii story nitaimalizia. Kwanza fupi.

BEN 10 NI FIRE!

Compact
Ficus
juan moses
Samaritan
brenda18
womanhood
Cienfuegos
winner100
jonta
witnessj
aggyd
JembePoli
Atkins Mendel
Ficus
sohwa
mikwamba
Kyalow
Riwa
Namge
@Algator
Comrade Kip
MadamG
Ayanda85
Claret
babu na mjukuu
Snowwhite
Bonny
@rubuye1231
@prondo
dyuteromaikota
hazelyn
Donjama
Gogle
multiple
Afrah
Olivia Pope
carbamazepine
binti kiziwi
edgar Sr
ICHANA
hill and portion
red apple
KAHUSE
Qurie
espy
mahondaw
whitehorse
Code Breaker
Mbimbinho
ISO M.CodD
jay-millions
lazalaza
tya02
Alegria do povo
athuman zungu
@malaluko jr
Waseme
Prince Nadheem
Gwamahala
Mzigua90
Cauldron
angelita
topr
dawa yenu
strong gal
Shunie
@dst111
tejateja
subadesubking
jossiest
Rich Ze Best
255Gene
CHOKAMBOVU
Sonia G
Jack HD
kisengeli
TEAM hoarse
idaz
Heaven Sent
jonnie_vincy
singular
Michaelray22
kabanga
Mr Mikazo
Tarime one
sherberry
@Ipiyax
double R
Kadada
Cecilia Kessy
cesilia
subadesubking
it is me
moneytalk
Money Penny
@salma99
nchemime
Compact
Fake P
Word
griffin2
sammyluv
ABBYA
KIUNO CHANGU
-KANA-
CHOKAMBOVU
Queen Horse
m.agape
Maskini Jeuri
Miss ferrar
Horseshoe Arch
kassimneema
mjasiria
Omerta
kukumega
sajo
glory to yhwh
LOFA2030
ranyia
felinda
@montkafu
tozi25
Guasa Amboni
lafionaposh
lady v
dochivele
Masaki

JAMANI SI KWA MUALIKO HUU! Nimefanya tu sampling ya comments za readers wangu kwenye stpry 3. Kama nimekuruka bahati mbaya. Ila sitopenda mmiss hili vunja jungu
Hahahahaaa Lata1 huku kwa Walatino hayo ma-western Union na ma-DHL wanachapa documents zao kwa lugha geni. Utaweza kusoma namba ya siri kweli?
 
Ben 10!


Kiukweli ndugu msomaji mpaka sasa nahisi mnaniona dogo fala fala, ila hapo ndo mnapofeli. Hamjui natokea wapi katika hi story, wala naelekea wap ila mshaanza shobo za kuniona sio. Mimi nawapenda hivo hivo ndugu wasomaji. Mngekuwa watu makini mngejiuliza kwanini hii story ipewe jina langu la Ben 10. Wanangu wanaume wa Dar, mpaka nyie mnanikataaa?

Kutoka na Kyle, sio kwamba nina ushamba wa wanawake, au nina uhaba wa wanawake, hapana. Nimenyimwa vyote ila sio wanawake. Katika nilivobarikiwa ni wanawake kunipenda. Ndo maana hata mwanzo kyle alivoonza kunihonga honga sikuwa na shobo wala nini. Maana nahongwa sanaa mimi. Naweza hata nisitoe nyimbo wala nisifanye show niishi tu kwa kuhongwa. Kyle kila week laki na nakwambia hakuwa hata katika list ya wanao nihonga sanaa.Kuna jimama linampaga meneja $2000 na zaidi. Wako wengi mno.

Na kama umalaya nimefanya sanaaa, tena sanaa. Mpaka sasa nimekinai. Studio wanawake kama wote. Mtaani wanawake kama wote, Sisi tukienda show wanawake wanataka tuwapige mpaka mane, mtu na shoga ake. Ukitaka wanawake imba bongo fleva. Sema mimi mzee aliugua saanaaa. Aliteseka sana kisa starehe za mda mfupi. Hata wanamuzi wenzie hawakufika mbali kwa kuendekeza haya mambo. Na mimi mzee anaugua namuona mpaka mwisho. Nikajiwekea malengo sitofeli.

Napiga show kishkaji sababu mwanaume ila kwa umakini mkubwa. Sikosi mpira. Na hata nikiteleza namwambia Mungu leo nifanyie penalty, nisiishie kama baba. Umeona mja wako najitahidi na mipira ya mzungu hii. Juzi tu Kyle nilifanya kusudi kwa kuzamiria, nilipita kavuuu. Sijui kwanini .

Kyle kabla sijamuona nilichokiona tofauti kwake na watu wengine, hataki kitu in return. Ndo maana pesa zote za mwanzo nimezichunia. Nisikie kwanza sawa ananihonga je anataka nini. Hakuhitaji chochote. Wengine sound kibaooo. Akikuipa chake kosaaa. Anataka akupelekeshe nacho balaa. Nilivpona anatoa tu, hasemi kitu, ikabidi nitake kumjua. Maana alinitisha sio masihara. Nimechat nae hana nenoo. Hana zile shobooo, nipost sijui ni tag. Kwanza sio mtu wa mitandao. Nikaona huyu kidogo tunaweza kukaa chini tukafanya kitu.

Nikampigia simu asikilize wimbo wangu, sio kwa lengo la kumnyapia nyapia, no, i seriously value her opinion in my misic kwa comment zake za mwanzo. Ni mtu mwenye uelewa wa muziki sanaaa. Na nilienda serious kwa lengo hilo. Hata dukani ananiambia chukua staffs nilichukua sababu she wa polite, ingekiwa rude mtu anakupa vitu unakataaa. Ana roho ya kutoaa huyu dada ake jamani uongo pembeni.

Nimeenda nae kwake, sio kivileee, ukilinganisha na sehemu za watoto wa kishua nilioenda kuwapiga show kwenye nyumba za baba zao, kawaida sana. Nilichompendea she was comfortable, sio muongo muongo ajifanye wa juu sana hapana. Wa kawaida na anajijua wa kawaidaaa. She was not trying. Na fact kwamba ali maintain her cool, hashoboki kuniona star, kunitreat kama star, hataaa, naweza kusema alinichukulia poaaaa sanaaa. I should have been offended.

Nimeenda nae hotel, all thos time hajaomba snap wala kuingia insta live, walaa. Yuko kawaida kama na mtu wa kawaida, hakujaribu kuni exploit. Ingekuwa mwingine hata dukani anakwambia ji snap basi, au ingia live always watu wanataka kukunyonya na fan base yako. They are always trying to use you in one way or another. Nikaona huyu yuko tofauti. Nikavutiwa nae.

Hata anavofanya convo zake za biashara anaonekana yuko smart sanaa, na atanifaa in my future plans zangu za kibiashara. The more nilivokaa nae, the more alinivutia. Sikujua kama ana mtu au vipi. Nikakuta ana mtu wake na kwa utazamaji wa juu juu wako very serious. Serious serious. Nikawaza nafanyaje sasa. Mimi nina roho ngumu sana ndugu msomaji acha kabisaaa. Nikafosi kingi kama ile ulioiona. Siongei sanaa, ila mwenyewe uliona mambo yangu.

Japo nilitimuliwa na boxer, ngu mkononi, nimefika home hoiii, kwa kukoswa koswa, ndo kwanza tamaa ikazidi kuniwakaaa kama Daudi kwa mke wa Uria. Wanawake wote duniani namtaka yule yule. Ukiniuliza kwa nini sina sababu za msingi wala sekondari. Alivonipa simu nionhee na Sam, nilicheki namba yake ile nikaishika kichwani. Nampigia namba ya mauza uza, haipatikani. Nikawaza labda kasharudiana na bwana wake, niachane nae, nifanye maisha mengine. Kwanza mtu nimeondoka vile hata kuniuliza nimefika? Udhalimu sio mdogo ndugu msomajiii. Ila nikampigia hivo hivo.

Akastukaa Hans, ulifika salama? Nikamwambia hapana , niliangukia mtaroni nimeteguka mguu, najiuguza hapa getto. Akasema polee sanaa. Naruhusiwa kuja ghetto? Maana ma star nyie. Nikamwambia dada ake njoo, kwa wewe tu, najua huwezi ita reporters. Akaniambia nakuja sasa hivi. Kwani umeumia sana? Namwambia nachechemea. Akajilaumu sio kidogo. Akanitext nimuelekeze. Akaniambia nimefika.

Naenda nje namkuta na mwenize mdada. Nishajisahau kuchechemea. Uzuri nikakumbuka nikaanza kujivuta, walikuwa hawajastuka. Tumekaa, ananiambia huyu nesi akucheki. Nesi anasema ameumia sanaa. Nimeangalia motion. Huku na huku katoa dawa ya kuchua. Huku na huku anatoa billi 150,000. Kidogo nimwambie acha ungese siumwi. Design nesi alistukia chezo akaunga hapo hapo.

Nesi kanipaka dawa uongo akaondoka. Tukabaki wawili. Nikamuuliza vipi? Akasema nimeachika hapa unavoniona sina bwana. Nikamwambia wachaaaa kabisaa. Akasema ndiwooo. Nikamwambia afadhali, tuwe wote bila kujibana bana. Namna hii ilikiwa hatari sana. Akaanza its complicated. Nikamkatisha Its not, mbona huniamini date me for hata mwezi nikikufelisha ndo unikate. Nipe chance.

Anaanza ooh Sam humjuii. Nikamwambia Simba mkali na vyake vinaliwa vile vile. Achana na Sam, kaa na mimi tufanye maisha. Sama umekaa nae miaka 10. So kama kujua ushajua. Kaa na mimi mwezi tu naomba, chance hilo la mwezi tu na kama bado unataka kurudi kwa Sam nitakurudisha mimj. Nipe chance of fair competition, usifanye assumptions na generalizations.

Kyle mimi sina pesa kwa sasa, ila mipango na mikakati yangu, i guarantee you soon ill be wealthy sio rich. Plus i am popular, ill give you all. Nakupa chance , once in a life time chance linalotoka kwa future super star. Be my woman, and let be your man. Tunavikwazo vingi ila naamini tukiamua tunaweza.

Chukua leap of faith fanya kunijaribu sumu kwa kunilamba, uone. I am a star, naweza kumpata mwanamke yoyote, ila nataka kufanya maisha na wewe. Sitaki kujibana bana, sitaki kuwa side boy, i want to be your man, niji snap na wewe, niingie insta live na wewe, nikupost kila nikijisikia. Mimi nina mapenzi ya kihindi kujibana siweziii. And in return i guarantee you the same. Nitakukiri mbele za watu wote, and ill spend my life with you. Nataka nikuoe kabisaaa, serious.

Nikaona kama dishi linakaa vizuri, mara dishi linayumba. Ikabidi nimuue tu Sam sikuwa na jinsi. Nikamwambia sikia Sam hana maamuzi na maisha yako. Miaka 10 for what? Mi nimekujua jana nakutangazia ndoa leo, cause nimeiona dhamani yako. Trust me nataka mtoto na wewe. Sasa huoni mimi ndo niko tayari kabisaa.

Akabakia oooh Hans! You are so sweet. Mgonjwa nilijia discharge kwanza nikamfata kwenye kiti alichokaa. Nikaanza kumpa ma kiss. Afu wasomaji mnaosema show yangu hafifu tulizeni mishono hio. Mechi ya kwanza huwezi kutoa silaha kubwa kubwa utamtisha adui. Ile mechi ya kuusoma mchezo wa adui. Mtoto mwenywe wa chuga huyu. Kuleta kidomo domo kumewaponza sasa mechi hii ya ghetto nawafungua pazia. Shwaaainiiii.

Mtoto nililala nae ghetto. Nimuache akampigie simu Sam wasameheane, thubutuuuu. Asubuhi nikamsindikiza mpaka kwake. Akasema naenda dukani. Na mimi nikashinda dukani. Yaani nilikaba mpaka penalty, nahakikisha Sam hamjii kichwani. Kabisaa. Basi wateja wakija wananijua, wengine wananifananisha. Wakinijua wananunua hatari. Mda wote niko dukani, anajitahidi kaka wa dukani asijue, mbona alijuaaa. Mi kujibana siweziiii. Mahaba yangu kuchu kuchu hotaeeeee. Nikaa kidogo namkumbatia, kidogo namuomba matee mbele za kaka. Anakataa Hans acha masiharaaa, namla mateee hivo hivo. Anaona ona aibu kwa kaka.

Alivoenda chooni kaka ananiambia huyu sista kavuuuu, mwanangu umewezaje kujiweka hapo. Nikatabasamu. Akasema ustaa unakubeba. Ananiambia huo mgodiii. Nikamwambia mke wangu sio mgodii. Ananiambia ila ana basha ake anaitwa Sam mtata, ana bastola, kuwa makini. Nikamwambia najua.

Jioni nikamwambia twende kwenye show, akawa anasema sio mtu wa outing. Nikamkazia. Anasema nitavaa nini? Nikamwambia unachoona, ukiridhika hiko hiko. Akavaa tshirt na jeans. Nimefika kwenye show, basi watoto wakali wakali, hanss, hans, haaans. Shobo kama zote. Akanunaaa. Kazi zetu zina majaribu hizi. Nikawa back stage sasa, yupoeke yake. Namuona alivonunaa. Nikasema asipo mtext Sam sijui.

Ikabidi nilivopanda stejini, nikamuita na kumpandisha, mbele za watu wote na kumuimbia wimboo. Niliutunga hapo hapo stejini ndugu msomajii. Tunarudi ananiambia ni mara ya kwanza na ya mwisho kuja kwenye show. Nitakufa na pressure. Nikatabasamu. Tuko njiani naambiwa kuna big boss yuko Katavi ana hekari za kutoshaaa, kakodi chatter twende tukamfanyie show ya familia kwa 15m. Inatakiwa mda huo huo tukutane.

Nikamuaga Kyle design wivu umemjaa. Anauliza huyo tajiri wa kike wa kiume, nikamwambia wa kiume. Anauliza hana ma binti au dada zake. Nikamwambia niamini mimi, usimwamini tajiri. Nikamkiss pale na kichukua boda boda kuliamsha dude. Mda wote namuweka online kwa chat 24/7. Show zikaungana kama wiki 2 mfululizo sipo bongo. Ila mtoto nipo nae online 24/7. Uzuri nae alikiwa uturuki. Karudi mi bado.

Ndo nikaja kurudi. Namwambia kesho narudi haamini. Akaniambia nina surprise yako. Nikamwambia na mimi nina surprise yako. Nimerudi jioni saa 3 usiku. Nikakuta gari mbili zimepaki, moja imefunikwa. Nikasema Sam nini? Nikampigia kwanza niko hapa nje, akasema ingia. Ndo nikaingia. Kumuona kwanza kimdakaa juu juuu. Kilichomuokoa nilikuwa nimechoka seriously. Tumepiga piga story. Akaniambia njoo uone ile surprise. Kitu cha Subaru. Nilifurahi sababu tu nampenda afu yeye ndo ananipa kama mbuzi kafia kwa muuza supu. Kuna jimama lilinilazimishia Prado endapo tu nita li Amber rutty nikagoma.

Akanipa funguo na kadi za gari.Tukarudi ndani, Kapika chakula ni kitamuu balaa. Nikamwambia baby najua unanihamu ila leo nimechokaaa vibaya vibaya naomba nilale. Hakufurahi kabisaa. Kama machale yalimchezaa. Nikajitupa kama nimelala. Akaenda kuongea na simu sebleni, nikafungua mlango kidogonisikie, anasema kaja hapa anasema kachokaaa. Lazima amelal na wanawake huko. Sikuendela kusikiliza. Nikalala kweli.

Asubuhi nimeamka nasikia anabamiza sufuriaaa kama nini. Milango ya kabati sasa cha moto ilikiona. Nikasema hasira za jana. Wanawake na sisi tunachoka jamani. Mara kaangusha makopo. Nikasema hapa sitolala. Nikatoka uchi uchi. Boxer niliiacha chumbani. Maana kwa vyombo vinavobamizwa naitwa kwa vingoraaa. Nimefika, baby vipi. Anajibu kavuuu safii. Hageuki kuniangalia. Anachemsha ukwaju, sijui kashaona napungukiwa nguvu za kiume. Asubuhi yote hio.

Nikamkumbatia kwa nyuma, mda kwanza, sasa hasira ndo zikaanza kumshuka. Nusra nusra ningenyanganywa ufunguo wa gari mwenzenu. Wakati hata sijaenda test drive. Nilivoona zimepoa poa, nikaanza kumkiss. Namuuliza baby uli ni miss.Anajibu ndio, namuuliza sanaa, anaguna. Nikamgueza kwanza anione, ananiona kama nilivozaliwa. Ananiambia wewe huna akili ujue. Hapo hapo mateee. Nikampandisha kwanza juu ya kitchen counter. Usiulize ndugu msomaji show nilikuwa naimalizia hapa hapa. Nimeenza kutelezesha tu juu. Nasikia geti linafunguliwa. Mtu kaingia ndani. Akasema Sam!

Anataka kurukaa. Nikasema usinitaniee. Nikachomekaa yote na kumbanaa. Haendi kokote. Ananiambia baby Sam anakuja. Nikamwambia ndo atatukuta sasa hapa hapa. Anatete,eka baby pleasee usifanye hivooo. Nikamuonea huruma, Nikachomoa, akashusha night dress. Akaenda sebleni. Ananiambia jifiche, nimetuna pale pale. Wanawake wanakuwaga na umama, akawa anatetemeka please. Nikaingia stoo.

Nikasikia naomba funguo zangu. Nikasema hapo sawa. Mara Sam anatishia danu itamwagika, nikasema au nitoke uchi imwagike sahivi tujue moja nini? Nikajikaza kutokutoka. Mda wa kuondoka akatokea sebuleni. Akamsindikiza nje. Anarudi anajibebisha, si anajua ana makosa. Akakuta nishavaa. Ananipapasa baby unaondokaje? Nikamwambia sina stimuu tena. Ananiambia baby mi nishalowa unaniachajee. Hio kauli ilinitia nyege balaaa, ila nilitaka kwanza niweke sawa swala la Sam. Nikamkazia sina Steam, alafu chagua moja Umwambie Sam mmeachana tuwe wote officially au mi nijikatae.

Hizi mambo kama za leo, leo mwishooo. Sitaki tena. Amua moja.

ITAENDELEA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom