Weekend story! BEN 10

Weekend story! BEN 10

Beggining of the end!

Kiukweli kabisa mwanamke wako akiwa anachepuka lazima utajuaaa. Lazima 3rd sense itakwambia tu. Mimi Kyle ana hanga out na watu kibaoo, naweza nisistuke kabisaa. Anaendaga nje na machalii zangu wanakaa mwezi na namuamini hawezi fanyi kitu ya jingaaa. Naweza sema yuko trust worthy 200%. Ila jana kitendo ya kuniambia yuko na Hans kwanza hilo jina lilinishtua sanaaa. Basi tu. Sio vile siwajui kina Hans.

Na jinsi anavo convoo na mimi bwana ake ikawa some how different like she cares what this Hans thinks. Na vile nimeongea nikaona ananiletea compeeeeee, nikaona hapana hawa ndo wale machaliii anakuangaIia usoni na kukubea ngachuriii wako. Nilikuwa home kuna msba namalizia nikaona hapana aisee nikawasha motocar usiku kucha nakanyagia oil mpaka asubuhi ikanikuta Dar.

Kilichoniuma zaidiii sikumkuta Hans, wala ushahidi wa simu haukuwepo ila Kyle alikuwa kachokaa kabisaa kama ametoka kulala na mwanaume. Sio mtu alie relax usiku kucha. Nikamwambia nipe mechi, kumpima tu saikolojia yake. Akakataaa. Nikamkomalia. For the first time in our realation ya 10 years akaniletea kibesiiii. Akaniambia "Mapenzi sikupi fanya unachowezaaa, wewe sio baba yangu mzazi useme utanisumbua kichwa. Liwalo na liwe."

She was certain, decesive, na hajaliii kabisaa. Kitu ambacho sio kawaida yake. Kawaida yake ni kuwa muoga muoga fala fala, anayeendesheka na ananijali mimi kuliko yeye. Baada ya kujibu vile. Sikubisha nae, nikaona labda ameteleza. Nikaondoka kimya kimya. Nikimchuniaga ndani ya masaa lazima yaani ni lazimaa aniombe msamaha yeye. Nikapanga akiniomba msamaha nauchuna kama wiki 5. Nikija kumsamehe tunaheshimiana.

Nimetoka nikaenda bar kucheza pool table, na kunywa, mpaka jioni kimyaa. Nikaenda club kimyaa, azubuhi kimyaaa. Nikajua tu huyo Hans sio mtu mzuri kwangu kabisaa. Mabadiliko anayoleta kwenye mahusiano yangu mbona yana kasi ya 4G. Nikajikazaaa. Ilipita wiki ndugu msomaji. For the first time tangu nianze kudate nae alidinda kuniomba msamaha.

Kinachoniuma sanaa ndugu msomaji sio kwamba nampenda sanaa huyu ngachuri ila kitendo cha yeye kufanya makosa, mimi kumfuma na kunikata like im nothing, sio kitu kabisaa. Kama MAFIA, MAFIA haswaaa. She is questioning my entire manhoodship. Niliumia sanaa. After 10 years kweli namfumania afu yeye ndo anajitia mbabe na kusepa huyo bwana akiniacha mimi kende zinanininginia.

Sawa nakubali our relation was already toxic, kupigana kama kote, matusi ndo usiseme, but in the end we had each other. Najua mimi ni wake na yeye ni wangu. Sio kwa style hii. Kwanza hakuwa demu bombaaa hata kidogo. Hakuwa na pesa yoyote ya kunitikisa mimi hata dakika. Yaani alichonacho ni moyo wangu tu kivutiwa nae ndo jeuri yake.

Na kinachoniumasanaa sanaa ni kwamba mimi ndo nimemuweka kwenye ramani ya pesa. Alikutana na Moza akataka mtaji wa kwenda China, million 20 nilitoa. Sawa tunasaidiana, yeye alikuwa kaajiriwa, so anatulea on daily basisi, ila mimi ni dalali wa magari, viwanja na nyumba, nikipata pesa na take care ya bills kubwa kubwa kama kodi, anapoishi kodi nimempa mimi, huo mtaji umeyumba mara kibao naweka pesa, million 10, 15, 20. Nimenunua plot 2 moja jina langu, moja jina lake. Vaccations zote nalipia mimi. Ana tabia kila baada ya mda anabadilisha furniture nyumba nzima, kwa pesa yangu. When i say i own her i mean she is my personal property.

Acha sacrifices nilizoacha, kama Linda mpaka kesho ananitaka, nakataa sababu yake. Nilipata mchongo wa USA sijaenda ili niwe nae. Leo hii anajibu fanya unachowezaaa. Baada ya siku nne nikaona kapost yuko uturuki. Nikazuka nyumbani kwake, funguo ninazo. Kutafuta ushahidi. Holaaa.

Nikamtafuta linda na kumwambia tumegombana na Kyle, hajanizungumzia. Akasema hapana. Ila lastlyalitaka kununua Subaru yangu. Maana nasafisha yard yangu ku a gari nyingi sitembelei. Nikashangaa sana. Since when Kyle mtu wa subaruuu hizi? Nikamuuliza kwani subaru unauza bei gani? Ni model ipi? Akasema we njoo uione, mi nilipewagwa zawadi. But i know its expensive, nimemwambia nitamuuzia million 28, kalalamika lalamika sanaa nimeshushia mpaka 18. Kasema anajipanga aje achukue.

Kyle sio mtu wa subaruu, wala sio wa mashauzi, lazimaa mtu anahongwa hio gari. Mamaeeee. Gari anayoendesha nimenunua mimi. Nikamuuliza Linda unamjua Hans? Akasema Hans yupi? Rafiki wa kyle mpya. Akauliza kale katoto? Nikakaa mkao wa kusikiliza. Katoto kivipi. Anajimaliza, si kale kasaniii cha bongo fleva. Nikamwambia msaani as msaniii ? Akasema ndio. Nikaingia ggogle nikakaona hata kwenye kiganja hakijai.

If Kyle was cheating on me sio na hiki kitoto. Maybe anakitumia kama kanya boya tu. Ila babzazi OG lipooo. Ukute hata mme wa mtu huyo bazazi. Wananichezea mchezo wa kijinga hawanijuii. Nikaamua kwanza huyu dogo lazima nimuweke sawaaa. Kupata sehemu zenye show sio kazi sanaa. Nikasoma tu ratiba yake insta, nikaibukaa. Kumkuta Nilienda mimi na mshkaji wangu Ngosha. Ni mtu wa gym, mwenye mtu wa gym.

Tumetinga pale, tukasubiri show iishe. Lengo ni tumshikie bastola ajinyee nyeee aache shobo na wake za watu. Tukamuita akaja vizuri, si ajatujua. Tukajitambulisha, wala hastukiii. Kabla ngosha hajatoa kitu dogo design akasema code red. Huku na huku tumezungukwa na maselaa kama woteee. Nikamwambia ngosha achaa. Tukajikataa kimya kimya. Ila ndo alizidi kunikeraaa balaaa.

Akarudi uturuki, nikaibuka kwake. Akaniambia naomba funguo zangu. Nikamgea. Akasema ukiwa unakuja uwe unatoa taarifa. Nikasema haina haja, maana nitakuwa siji. Akasema ni vizuri zaidi. Nikamuuliza hivi Kyle mimi nimekosa nini kikubwa mpaka kunifanyia haya? Akasema sio lazima kuwe na makosa ni uamuzi tu kama maamuzi mengine.

Nikamwambia dont get it twisted, im just giving you space uone umuhimu wangu, na kutambua makosa yako. Ila kaa ukijua mimi ni bwana wako tena sanaaa. Usije ukafanya jambo la kingese mbele yangu. Damu itamwagika. Mi nakuwa mstaarabu kwa mda tu. Hatujaachana na kuachana hakupo. Nikaondoka zangu.

Nikaona si mbaya na mimi nijipe break fupi, i wanted something short, casual but yet iwe ya civilized. Nikajiunga Jf. Ngosha yupo Jf na anakula sanaa toto za Jf. Nikaanza kufatilia. Ubaya huku huoni suraa, ila ngosha nishmfuma na totoz 4 zote kali sanaa. Nikaanza ku post najitia maprosooo.

Wakaanza kujaa wenyewe Pm. La kwanza nitumie picha, ikiwa haina ubora na ku block Pm. Nikapata ngachuri kama 3 hivi za uhakika kabisaa. Nikawaza nizile vipi hizi. Wa kwanza nilimuingiza kingi niko USA. Akaanza kushoboka hatariii. Akaniomba picha, nikamwambia siwezi kukupa picha. Nakuja unione tufanyane. Nime chat nae wiki tu, akaanza kodi imeisha. Mngese kweli. Nikamwambia utapata Mola atakusaidia. Anataka kuniingiza kingi mimi, aaaaaa subutuuuu. Ikafika nimetolewa vitu nje, nikaona sasa this is bogus, nikamla block.

Wa pili nikambadilishia strategy, nikamuwahi yeye kumtangazia njaaa. Wiki tu nikaanza kujisemesha mambo yangu hayaendi vizuriii. Basi nae anajitia kavuuu. Nilichompendea ananipa sanaa ubuyu wa Jf. Akaniambia kuna mdada anampenda bwana wake. Nikamwambia nipe jina, akanipa nika search. Nikamuuliza mbona kama wanapendana sanaa. Akasema aaaaaa subutuuuuu. Bwana yule malaya mbwa. Mmmmmmh nikawa moyoni kumbe tuko wengi. Nikamuuliza kwanini? Alikutongoza? Akasema asinitongoze hio vipi? Kanitongoza ndio. Nikamuuliza ukamkubalia?

Akasema mwanzo alikuja na matashtiti ya kujitia cash money, ana ma dollari. Nikamuomba tu dola 100 tuuuu. Mavi ya kuku, mpaka kesho hakutumaaa. Mavi yake. Na kawatongoza mashoga zangu woteee. Sio nani kamtongoza swala ni nani hajamtongoza?

Nikasema mbona msimwambie mwenzenu mbona anajichoresha? Akasema acha ajichoreshee hivo hivo, si anajitia kungangania bwana. Ndo faida zake. Nikasikitika sanaa sababu niIjua huyu dada hanifaiii atanisababishia usumbufu wa kubadili badili ID kila mara, sio kwa umbea huoo. Hapo pengine na mimi kashanisambazaaa kwa mashoga zake.

Watatu nikakata shauri nikimchunguza sana bata sitomla. Huyu anajitia ni smartest woman jf, nikaenda nae direct. Mimi nimeoa na watoto wa 4, ila nahudumia hatarii, nipe mchezo huo. Akakubali. Sikutaka kufanya uzembe nikamwambia tukutane Morogoro anapokaa. Basi nikamega mzigo, na kulekeza ID kwani nina hasara gani. Sijui alinitafuta, sijui hakunitafuta sijuiii. Toka nimle sijainhia tena kwenye ile ID. Na namba sikumpa ukawa mwendo wa Pm tu.

Huku na huku Linda ananijia kasi. Sio kwamba simpendi, nishambanjua mara kibao, tagizo Linda jeuriii. Siku hio kama tumegongana tu elements, akaniambia kuna rafiki yake ana mngoja katoka mzumbe, yupo heart broken , ali date na mwanaume Jf kaenda morogoro wamebanjukaa, kamkoleaa kila sehemu ya mwili afu mwanaume kamkacha. Haingii online. Nikamsaidia kusikitika kidogo. Nilivopotea hilo eneo kwenye mazingira ya kutatanisha msomaji acha kabisaaa.

Nikawaza nimle mwanamke online afu huyo huyo awe shoga ake Linda mbona dunia hainipendi mie. Sababu sikumtumia picha nimepona hilooo. Hata kama ananijua nitamrukaaa. Ulipita kama mwezi sijaenda kwa Kyle wala hatusalimiani, siku hio nikaamua kuzuka ghafla. Nafika mchana yeye hayupo namkuta Hans anaangalia movies, kavaa pense, kifua wazi.

Sikutaka ligi. Nikamsalimia, nikamuuliza hii game if thrones season ngapi? Akasema 5, Nikaa wote tunatazama. Badae akaenda kupakua msosi, na mimi nikaenda kupakua. Kimya tunacheki Tv. Chombo kamaliza kakiacha pale pale. Mimi ndo bigger man, nikatoa changu na chake, akastukaa. Akasema broo nitakipeleka mwenywe. Nikamwambia acha tu nikutolee. Nikaenda kuviosha.

Saa 11, akaenda kuoga, akaniaga bro nina show, ukitaka kuondoka kama dada hajaa funguo weka chini ya ua. Nikamwambia poa haina noma mwanangu. Mtoto mkavuuu yuleee.

ITAENDELEA KESHO.
Dah, umenikumbusha mbali kweli....asante lara 1
 
Wanaume wa kiarusha sijui kwanini hawako romantic.
Forbidden Love!

Dogo akawa anakomaa anaisikilizishe huo wimbo wake mpya, mimi nikakubali. Sasa yule msaani nikawaza kwenda kukutana nae baa au popote anaweza kunitibua mavuzi mtu mzima nikaaibika. Nikamwambia njoo dukani kwangu unisikilizishe. Kaja kapagawa kweli kweli mara ashike shati, mara tshirt, mara viatu. Nikamwambia we kama umevipenda chukua. Alizoaaa. Utadhani jasho la mtu linaliwa.

Kaka wa dukani anashoboka kuwaona mastaa balaaa. Basi habanduki. Sio kuji snap mda wote na msaniii. Mpaka akamwambia imetoshaaa. Nikamtuma kwanza mbali posta huko, akadai deni kwa mdaiwa sugu. Namjua yule atamsubirisha ni balaa. Tukabaki wawili, sasa wateja kama wametumwa kila saa wanaingia. Nikawa nishafeli. Nikamwambia kaka rudi uuze duka lako. Nikamwambia Hans twende zetu.

Tukaenda nyumbani, mda huu nauhakika Sama hayupo alienda msibani Chugga. Hatukai wote ila kwa kuzoom ni kama anaishi tu pale. Tumefika nikamkaribisha. Naona aibu mie siwezi kumuangalia usoni. Utuuzima dawa. Nikataka mpaka kughairi. Akakumbuka zile nguo akasema afu sijapima, ngoja nijaribishe. Nikamwambia chumbani kule, akasema hapa hapa tu.

Akavua akabakia na boxer tu. Mmmmmmmmmhhhh! Macho yamenitokaaa! Fahari ya macho haifilisi duka. Dogo akitupia anapendeza ni balaaa. Ananogaaaa. Akijiangalia kwenye kioo cha console anapagawa. Na mimi low key napagawajeee. Mawazo yanenda mbaliii sana huenda nikawa na bahati na kuolewa na dogo kama Lola wa Peter P Square. Ila nikajikatisha tamaa bahati kubwa sana hio. Nikibatika kufanya nae tu nayo bahati tosha, vikubwa vya balabuuu.

Akamaliza, nikamkazia nisikilizishe huo wimbo maana nina ratiba zingine. Akatoa simu yake, aina ya Android hizi. Akanikaribia kunisikilisha kiukweli sikuusikiliza maana tumekaa hapa na hapa, dishi limeyumba kama loteeee. Nikabakia kusema wimbo mzuriii, nikaona shetani anaanza kunishinda nguvu. Nikamkurupushaaa twende tukale, wewe unataka kula wapi? Akasema chagua wewe.

Tukaenda girraffe hotel. Tukala pale. Dogo anajitia ujasiri wa kunizoe fasta fasta. Mara aniita dada mara, aniulize jina langu, nikamwambia mimi dada yako, niite dada. Anakomaa jina jina, nikamwambia ukiniita dada nafarijika mnoo mnoo. Anajikaza hivo hivo. Baada ya kula nikamwambia mi naogelea kidogo. Joto kali sanaa. Nikaenda kuchukua swim suit yangu kwa gari, nikazama pool, Naogelea kwa raha zangu. Nae akazama na boxer.

Sasa mimi ni champion swimmer. Nimejifunzia mtoni, maji yana mkondo wa kufa mtu, full chunusi. Na yeye champion kajifunzia bahari ya hindi. Tukawa upo ndani ya maji tunapiga story tu za maisha. Mpaka saa 12. Nikamwambia uende basi, maana mimi nalala hapa hapa leo. Kesho kutwa naenda uturuki. Inabidi niende nimetuliza akili na mwili. So nataka kujirelax. Nataka nikalipie chumba. Hakusema kitu. Tukaenda nikalipia room single $120 siku kwa siku siku 2 maana nilitaka executive room.

Nikahamia chumbani, akanifata na boxer, mimi nina costume na mtandio. Hapo nishachukua pc yangu kwenye gari na kibegi cha nguo. Yeye mifuko ya nguo zake kaiacha kwenye gari. Nikamwambia kachukue nguo za kubadilisha. Alivotoka tu,nikaoga fastaa, fastaa maana dalili hazikuwa nzurii kasingeshindwa kunizamia bafuni. Karudi nipo kwenye pense na vest, na kanga juu full AC. Nishawasha pc, nimejilaza naangalia muvi. Akaja kujilaza nae anaangalia.

Meneja anampigia simu, kuna issue ya fastaa. Anamwambia niko busy nitafute kesho. Anamsisitiza kakomaa keshooo. Leo yupo busy.. Movie nikaweka ya horror makusudi aka break ya nyege. Kitu cha No country for old men. Huku na huku Sam akapiga simu,nikapokeaaa. Akauliza uko wapi manzi wangu? Nakuhamuuuu! Nikamwambia niko Giraffe! Unafanya nini? Niko na hans tunapiga story. Sikujibu hivi kwa kupenda ndugu msomaji, ni kujihami tu, huenda mtu kaniona kamwambia. Sasa nikipindisha pindisha kengele za tahadhari zitamlia.

Akauliza Hans ndo nani mbona simjui? Nikamwambia humjui kweli , ni dogo mmoja tu. He is my new friend. Sam sio mtu wa details akabadilisha habariii na kuongea mambo tulio zoea kuyaongea. Mambo yenyewe ya kimahaba. Nimemiss mechi. Chugga ni baridiii mazeeeee. Ujinga ujinga, nikamwambia usiku mwema. Akakata. Akapiga tena, Kyle mbona kama unanikataaa kidesign usiku mwema ya fasta fasta siisomi. Afu manzi unanikazi bwana wako sauti utasema sijui ni nini. Hamna cha babe ulale viziuri, bae nakupenda sanaa, ni mwendo wa kavu kavu tu usiku mwema kama unamuaga chali yako na sio bwana wako. Huyo Hans ni ni nani mpaka unakuwa kiranga namna hiii?

Nikamwambia Hans ni Hans, wala sio kihivo. Haya goodnight baby wangu, bae wanguuu mwenyewe peke yangu, kipenzi cha roho yangu. Akaguna Mmmmmmmh! Nikamwambia basi ongea na Hans uridhike wewe sasa. Nikampa simu Hans na kumwambia shemela huyooo. Akapokea na kusema shikamoo kaka! Nasikia Sama anamwambia mimi sio kaka yako, na ukinitombea manzi wangu nakukata kichwaaa, mimi mtoto wa sanawariii sio mwanaume wa dar. Umenisoma chalii wangu? Akasema sio kihivo kaka, mimi niko na sista hapa ananipa ushauri kama mdogo wake. Sam namjua mtataaaa, yaani mtataaa afu design kama chale zishamchezaaa. Nikachukia simu na kuikata.

Akatuma sms sitaki ukae hapo na hans nenda nyumbani sasa hivi naku video call mda si mrefuu. Tatizo la Sam amri sanaaa! Ni kuamrisha tuuu. Mda wote. Nikaamua sasa ungese sitaki, nikazima simu.Sam ni mnyanyasaji na ni control freak. Analotaka yeye ndo hilohilo. Alishajaribu mchezo wa kuanza kunipigaaaa, sema akanikuta mwenyewe Manzi wa Mianziini, tulizichapa, man to man na yeye ndo alikimbia maana nilikuwa namkunguta, japo anasema aliniachia nishinde, jeuri ya kumchapa sina. Alinihurumia. Sema akajua huyu si wakupiga ni mwendo wa kupigana.

Hans akasema shemeji mkaliii sana? Nikamwambia wewe si umemsikia.Akasema kwani amekuoa? Nikamwambia bado, imagine amri zote hizo. Akafikiria, akasema nitakuoa mimi, nitakuwa nakubembeleza, sikunynyasi, wala sikuendeshi. Mi pesa tu ndo sina ila mapenzi ya kweli utapata. Nikachekaaa nikamwambia mkeo atafaidi maishaaa. Akauliza kwani mimi nikikupenda wewe kuna ubaya dada. Nikamwambia hamna ubaya kabisaa, ila ndo ujiandae tutakatwa vichwa wote. Nikacheka yeye hakucheka. Akasema Nipo tayari. Nikamuuliza tayari kufanya nini? Akasema kukatwa kichwa. Mmmmmmmh! Niliguna tu. Nikamwambia hans kaoge uende bwana mda umeenda.

Akaenda kuoga kweli, katoka kajifunga taulo, sikuwaza sana nikajua atavaa tu mbele yangu ki design. Bwana bwana asije na taulo kitandani. Akachukua shuka kajifunika. Mmmmmmmhhh! Na uhakika boxer aliogelea nayo kaianika bafuni. Nikasema haka katoto hakawezi kunishinda mimi maarifa. Nitakitisha kitatoka mkuku. Nikaanza kumwambia unajua Sam sio kwamba nakutisha ila ana roho ngumu sanaa, mno mno sijui nikwambiaje. Sio mtu mzuriii kabisaa. Na hashindwiii kutufanya kitu mbaya mdogo wangu.

Nikaona taulo analirushia kwa kochi. Tobaaaaaaaa! Nikamuuliza hivi unanisikiliza lakini? Akasema nakusikia, hapo anaanza kunikanyaga kanyaga na miguuu. Nikasema wewe unanisikia ila hunielewi. Kama ndo nilimpa go ahead! Akanifunika na lile shuka na kunikumbatia kabisaa. Nikamwambia Hans unacheza na kifo. Mu Arusha yule ni kifo. Hapo ananipapasa kwa raha zake, na kujidindishaa. Anasema Mi siogopi kufa by the way, kama ataniua poaaa tu, basi iwe kwa sababu za msingi hata mahakama ikizisikia iumonee hurumaaa na kumpunguzia adhabuuu. Na mimi niwe nimekufa kishujaaa.


Nikamwambia unamaanisha nini? Akasema mi nimekupendaa, and there is no way naweza nisilale na wewe mda huu. Kama ujuavyo sina boxer humu, hapa uchague unipe mwenyewe au nikubake ila mimi mwanaume rijali, nakutakaa dada, tena nakutaka sasa hivi. Hapo naona mikono inakaza kwa nguvu. Nikamwambia Hans mi si dada ako, kwanza mkubwa kwako kwa miaka 8, so mimi sio rika lako, nipe heshima yangu mdogo wangu, vaa nguo uondoke. Akasema haiwezekani kabisaa. Nikahamia plan B, Hans mi si nakupaga pesa kila wiki, sasa utazikosaa, jifanye mjuaji. Akasema bora nizikoseee.

Akauliza kwani mimi nina kasoro gani unifanye kama mngese, sababu udogo? Nipe nikuoneshe kama mdogo, au sababu pesa sina? Hamna aliezaliwa nazo. Wewe pia mpaka umenihonga honga utakuwa na hisia na umenipenda pia. Sasa kwanini kuzungushanaa. Unanitaka na kutaka tabu iko wapi? Please baby usifanye hivooo. Akanipaa mateee. Nikalainikaaa, nikalegea kama mlenda. Nikakosa dira ndugu msomajiii. Mtoto mtamuuu kuliko nilivomzoea, aafu anabembeleza sasa.

Mtoto anachukua mda, kunipa rahaaa, na anahakikisha napata rahaaa. Kilichonipagawisha ananiita dada mwenzenu. Nakupenda sanaa dada. Dada kama zote.Dada ndo nalala na mdogo wangu hivo. Afu mtoto anajua kudeka ni balaa. Mara anipe verse kati kati ya mambo. Na alivo na sauti tamu sasa. Jamaniii. Mpaka raha. Anabembelezaa, anadekaaa huyu kwa dada ake. Mbona dada! Heheheheeeee! Jamani namna hii unaweza jikuta umehonga mtaji wote. Ndo maana mama lakeee hii michezo alisema mibayaa mnoo, ukianza huachiii. Sio kwa deko lile.

Alinirudisha miaka 13 mwenzenu, yaan lazima uenjoy unaachaje sasa. Hamna pressure ya future wala itakuwaje baadae, mnawaza hapo hapo tu kufaidi to the maximum basi. Show haina haraka wala papara ni kudekeana mwanzo mwisho. Mtoto hana haraka ya kutiaaa. Kabisaa. Kanifanyia na massage kabisaa ya mgongo. Nilirudishwa utotoni mwenzenu. Ananitumbua chunusi. Mmmhhhhh!

Naulizwa unataka mimi nikae juu au wewe dada ake ndo ukae juu ujipimie mwenyewe. Nikamwambia wewe tu mdogo ake unavoona. Akaniangalia akatabasamu na kusema basi mimi nitaanza kukaa juu afu baadae wewe. Mshenzi anabembelezaaa mpaka unaweza kukuta umekubali vitu hujapanga kukubali. Bado nikawa siamini nalala na mtoto niliemzidi miaka 8.

Tukapiga round ya kwanza balaaa hatariii kabisaa. Anajua mambo ni balaa. Round ya pili ananibembeleza panda juu, nikagoma. Sio kwamba sitaki, ila nauhakika, siwezi kuendena na kasi ya yule mtoto, nitajiaibisha, nitajivua nguona kujitahiri. Kila nikifanya na Sam hatufikagi mwisho lazima anibinue pozi lingine, na hapo nakuwa nimeumia nimevumilia mpaka basi , maanake nini si kwamba nishafeli. Hatujawahi kukaa hilo pozi mpaka akakojoa. Sasa leo niko uwanja wa ugenini siwezi kuthubutu. Ananibembeleza baby si tulishakubaliana lakini. Please baby for me, au sikufanyi vizuriii baby wangu. Nagomaa. Ananibembelezaaa weee. Ikabidi nimwambie, mdogo ake mi hilo pozi siliwezi niwe tu muwaziii. Akasema nitakufundisha mimi, mpaka utaanza kulipenda na ku enjoy. Mmmmh! Msomaji balaa hili unaliona lakini.

Akaniambia ukijisikia uncomfortbale tu niambie. Tukaanza tuition. Chukua peni msomaji uandike notsi. Aaaaa subutuuuu. In short nilianza kiwasi wasi najua nitaumia tu, pozi gumu sana hili. Linda mwenyewe anakwambia atakuja kuli perfect kwa mumewe tu. Sio kireja reja. Nimekaa, akaniambia sio hivo unakosea. Uzito unatakiwa uubalance mkononi na mguuni. Shika hapa. Hapo haujawa more comfortable. Kiukweli nilikuwa more comfortable. Akaniambia sasa nakushika na kiuno kukuongezea balance. Haya twende sasa. Romance lainiiii. Huku mambo yanaenda. Yaani yale maumivu sikusikia, na raha zakee ni balaa, sijawahi kusikia. Kuna angle hazikunwagi ila siku hio zilifikiwa.. Nilidataa, nikalegea na kujiachia kabisaa. Dogo yuko sharp akanidaka kuni balance na kuendelea kunigonga nyundo za hajaaa. Nilichanganyikiwaaa. Hata cocaine wala heroine haina raha hiziii.

Navoona tayari ndo tuhamaia new height, nae design akawa kastukia kashanizidi maarifa basi ananifanyia kusudiii. Nikashindwa kuvumilia. Nikamwambia mdogo akeeee, mayoweee kabisaa, akasema ndio dada ake, nikamuuliza unapenda gari design gani? Akasema Altezza! Nikamuuliza Subaruuu hupendiii? Hapo nishavurugikaaa vururuuuuuu. Akasema wewe tu dada unavoona. Nikamwambia nitakununulia. Akasema weee, ndo akazidisha sifaaa balaaa. Msitake kujua hali yangu.

Tukamaliza hoiii, na kiukweli nilipata kitu roho inapenda, nikawa tu nawaza hio subaru nilioahidi nainyea wapiii. Mbona kirangaaaa. Sijui nimshawishi vitz upyaa. Nikasema bwana ee kufaidi nimefaidiii wanaume pia wana tupaga fake promise sio mbaya na mimi nikitoa fake promise mara moja moja kwa niaba ya chama letu la mijimama. Katoto kakanikumbatia na kulala kifuani kwa dada yake. Nawaza WHAT NEXT. Kuacha huu mchezo siweziii. Tukapitiwa saa 2 simu ikaita ya mezani.

Tukashtuka wote, aliiwahi Hans, kama Mungu nikaipokea mimi, namskia Sam, Niko hapa receptionnjoo fasataa unifate nimechoka nime drive usiku kucha toka chugga, njoo upesi. Nikakata simu. Nikamkurupusha Hans, sam yuko reception please nenda, nitakupigia simu. Akavaa nguo fasta fasta, akachukua vitu vyake akasepa. Nikakagua room iko shwari, simu ikaita tena, Kyle nikija huko nitakutwanga. Nikakata, nikapiga reception mwacheni aje. Simu yangu ya magumashi nikaitia kwenye nailon na kuiweka kwenye dude la flash nimeizima kabisaa.

Kufika cha kwanza kuikagua kagua simu holaaa.Akasema mwisho nakukagua wewe. Nipe mechi! Nikasema sikupiii. Akasema kyle nimesema nipe mechiii. Mmmmmmmmmh! Msomajiii umenitoa chambo ujue.

ITAENDELEA KESHO.
 
Daaah kweli sam ni chalii ya chugamaican

Mwana hana makeke sana

Lara 1 stori malizia aisee ukiiacha njiani nakusema kwa anko " koroshow"
 
Sikutaka ligi. Nikamsalimia, nikamuuliza hii game if thrones season ngapi? Akasema 5, Nikaa wote tunatazama. Badae akaenda kupakua msosi, na mimi nikaenda kupakua. Kimya tunacheki Tv. Chombo kamaliza kakiacha pale pale. Mimi ndo bigger man, nikatoa changu na chake, akastukaa. Akasema broo nitakipeleka mwenywe. Nikamwambia acha tu nikutolee. Nikaenda kuviosha.

Saa 11, akaenda kuoga, akaniaga bro nina show, ukitaka kuondoka kama dada hajaa funguo weka chini ya ua. Nikamwambia poa haina noma mwanangu. Mtoto mkavuuu yuleee...

Huu ukauzu wa kujitoa mhanga kabisa...
 
Dada Mkubwa!

Mimi Kama Moza all I want is for Kyle to be happy. Kama dada WA hiari nakapenda Sana. Ni mtu Safiii Sana'a. Hana makuu KABISAA.

Historia yangu haini qualify kutoa ushauri kwa Kyle WALA mtu YOYOTE kuhusu mahusiano. MAANA Nilifeli na huo NDO ukweli. Mara ya KWANZA nikasema bahati mbaya na ya pili je nitasingizia nini.?

Nimeishi na wanaume WA 2, nimezaa watoto wa 2, mmoja kaachwa na marehemu mdogo WANGU na kote nimeambulia nyuzi za Leba TU.

Kikubwa nilikosea mahesabu. KWANZA niloshobokea Ndoa baada TU ya kummaliza chuo. Ile kwenda na wakati ule. Nikamkokota mwanafunzi mwenzangu tukazaa fastaaaa na Kuanza kuishi wote kazi Hakuna. Kupendana TU tulipendana Sana.

Baadae mwenzangu kupata kazi, ananiona mzigo. Anarudi saa 5, mtu na mtoto wa mwaka anaacha matumizi elfu 3. Nikamfuma ANA mtongoza mdada ofisini anamwambia Sijao. Anataka kumpelekea MA shopping malls. Nilienda mpaka mall kuuliza nguo BEI GANI? Nilivunjika moyo nikaapa lazima niwe na Duka Mall.

Mwanaume akazidi kuhama kiakili nyumbani, hata mtoto hamashiki tena, Mimi NDO hanigusi hanigusiii kabisaaa. Hali, anaanza wiki harudiii. Nikaamua binafsi TU hapa DEAL DONE. Wala sikumuaga nikachukua VITU nilirudi nyumbani.

Ukaanza Midomo Kiko wapi, si huyo karudishwa. Mume mchezooo. Nilitafuta kazi, nalala na maboss HR si CHINI ya Watano bank mpaka nikaajiriwa teller TU. Sasa Hapo na mtoto akili ishanikaa SAWA dirisha lilinikoma. Ni kujiseksisha kwa wateja matajiri mpaka BASI. Wakinielewa Naenda kutumika Ila KWA akili zangu.

Yule Bwana anaanza kunisumbua Anataka mtoto wake. Aaahhh subutuuuu! Nikamwambia vifanyio mnavo zaeni mwingine. Huyu Huna maisha ya kumpa boys wewe.

Nitachukua mkopo na kurenovate KWANZA NYUMBA yako urithi ikawa standard. Mwanangu miaka MI 3, Nitaanza kumsakia shule, nikaipenda DIS Ada Kama M 7. Niagara LAKI 8. Nikaona nishafeli. Kujiuza uza kote nilipata ya term moja, nikamuanzisha KWANZA. Elimu Bora Ilikuwa moja wapo, Ila Kumkomesha mzazi mwenzangu ikawa part 2. Na alikoma sio kitoto. Kila akiuliza Ada ANA RIP.

kuisaka Ada Nikaanza kuuza nguo nyumbani, mapochi Nakopesha, perfume, vikawa SI haba. Na Mshahara Mwanangu ana damshiii Kama kawaida.

Branch manager akajichanganya ANA mkewe KABISAA. Ila nikaipenda nae SAWA sawia akanipandisha Nikaingia kwenye mikopo Mshahara ukapanda, na bonus juu, nilikopeshaa vyote msinitanie. Tukazaa kushindwana Anataka nimzalie.

Nikamwambia baba Ada million 7 Sizai tenaaa. Alinibembelza Sana nikagoma. Anaanza kutoka na mtu mwingine. Nikashukuru sikutaka Kala kwa KWELI.

Kwenye mikopo Huku na Huku nikakutana na mkaka wa makamo. Nikajua ANA mke. Kumbe Hana. Basi tukaelewana Nikamwambia na mtoto mmoja akasema kwako sio tatizo. Tukawa tuna date juu juu. Akaniambia nataka kuja nyumbani kwako nikutane na mwanao.

MI nikamkaribisha nyumbani, so nakuamini he is an average Joe TU. KWANZA home nilipatengeneza kibongo bongo dirisha za kuslide, gypsum, tiles, Vegae nje, msouth Aaahhh msomaji Mbona standard kabisaaa.

Alivokuja akawa anaangalia Sana'a Kama sijui yupo wapi, Moyoni Najipa big up kwamba Alikuwa ananichukulia POA. Basi NYUMBA za urithi ndugu Kama wote. Hakukaa Sana.

Namsindikiza akasema sijapenda unapoishi. Nikamwambia Mwenyewe sijapenda Ila Maisha. Akaniuliza Sasa unaishije na mwanao na watu wote wale.Nikamwambia wanetu SISI maskini wanalindwa na Mungu TU peke yake. We Unasema ndugu zake wale, shule kwenyewe anapelekwa na MZEE Ally Bajaji na kufatwa. Mungu yupooo.

Hatukuongea SANAAA. Kaondoka zake. KESHO kanifata ofisini akanikaribisha kwake. Akaniuliza njiani Mbona wewe hushoboki na Ndoa. Tuna date Mwezi huniulizi Kama nakuoa au vipi? Nikamwambia Bwana weeee Nina mtoto mwenzio NDO baba NDO mama. Nishajifelisha Kimaisha Siwezi kumfelisha Mwanangu.

Tukafika HUKO Masaki kwenye apartments babu kubwa. Ulinzi Kama wote. Wenzenu wanaishi SISI tuna survive. Kama hotelini.Nikasema Leo Moza mwisho WA umalaya nanyonywa damu. Maskini Ella WANGU.

Nikawa nimekaa mood Sina. Ananiita ananielekeza house tour. Nikawaza wanawake wenzangu wanabahati kuolewa na mabwana Kama Hawa, MI naishia kutumika TU. Daah!

Baadae akanikaribisha pombe, nikammiminia na yeye, akasema MI sinywiii. Khaa! Uko kwenye dose au? Akasema MI Muislamu situmii KABISAA. Nikamwambia unajua Muislamu, Abdallah lazima UWE Muislamu Ila vyombo vipi hutumii Unaweka kwako kiaje? Akasema NI. Nimekuwekea wewe. Kama situmii haimaanishi wewe usitumie. Nikitaka kusema situmii Ila nikasema hutaamini sio kwamba Jack Daniels blue label alioificha Mwenyewe MZEE baba Jack awe anajinywea peke yake. Nikajimiminia Nikaanza kunywa.

Akaenda uwani, nikamtilia kwenye soda yake. Sio kwamba simwamini no, KWANZA siogopi kufa, kwangu kufatilia kwenda kupumzika, naujua Sirudi tenaaa. Nilimuwekea twende SAWA, hawezi kunilewesha peke yangu kingese ngese. Anataka kunifanya nini?

Akarudi Akastuka soda imefloat. Kabadilika Unaweka nini humu. Nikachukua nikainywa Mwenyewe. Kuonesha TU sijaweka sumu. Akapoa kidogo.

Akauliza pombe sio? Nikamwambia Ndio Kuumwa kidogo na wewe. Twende SAWA. Akagoma haramu. Mtume kakataza. Nikamuuliza kulala na wanawake sio haramu? Aka smile!

Akanitega kwani we Moza hutaki kulala na Mimi? Be honest. Nikamwambia ningekua Sitaki nisingekuja hapa. Nimemuacha Mwanangu kalala bila Mimi. Lakini Kama hunywi silali na wewe.

Akasogea kwanini? Nikamwambia sababu mechi Itakuwa hafifu. We tunywe tufanyane moto ukatuhusu kikamilifu au sio kafiri mwenzangu. We uwake na Mimi niwake mambo yawe Mpoko Mpoko.

Anajisemesha kimahaba MI Sitaki Kunywa Ila nataka TULALE wote baby pombe sio mambo yangu. Nikakomaa MI mtu aisekunywa silali nae. Ikiisha chupa HII nasepaaa.

Akachukua glass, akamimina shots moja Anajisemesha Moza unanirudisha kwenye ulevi, it's been five years sijanywa ujue. Glass IPO mezani anatoa risala za mgeni RASMIIII. Nikachukua na kumnyweshaaa. Alifumba macho. Akainywa nusu.

Naaaam Nikamwambia Hapo Sasa SAWA baba. Nikatanua Miguu na skirt kimini tight nyeupeee. Ikaonekana. Akasema Kama tukaenda Motoni sio mbaya twende kwa style.
Akauliza Moza umelala na wanaume wangapi mpaka Leo? Nikamwambia ningekua sijazaa ningesema bikra, Ila sababu nimezaa sio mbaya nikasema mmoja.
Akatabasamu Hio inamaanisha WENGI. Nikasema Sijasema WENGI. Unanilisha maneno? Kwani Unaogopa na UKIMWI? akajibu maybe! Nikamwambia Kama uliniandalia via BASI condoms PIA utakuwa umeendaa.
Nimeenda KWELI, Ila sijui pombe, sijui wewe habibty nataka nipite kavu kavu. Sio kawaida yangu Ila nafsi NDO Inatamani hivo.
Nikabana Miguu KWANZA, Dullah, mwenzio na mtoto, baba ake mngese mmoja TU. Inamtosha mazuriii, mkarimu n all Ila njia ya kujipatisha mimba in order to keep a man ishakuwa kwangu. Vaa condom TU. Sina Kijiti, sondano WALA kidonge. Na calendar Sahivi Sina Bwana sifatilii.Ada million 7. Vaa baby nitakuvalisha Mimi Mwenyewe uta enjoy. Akawa ananiangalia machoni mdada. Akaniuliza Mbona huniulizi melala na wanawake wangapi? Nikamjibu ukimchunguza bata hutomla. LA msingi na secondary Leo unalala na Mimi. Akasema I like you girl.

Nikaona Leo nacheza na beki ya Kati aka defense MAANA hashambulii KABISAA anangoja kuletewa Mpira. Kulala na mabwana Mingi kujua mengi.

Itabidi Mimi niwe striker kwenda sambamba na beki WANGU. Nikamfata mzima mzima mpasuo nateseka non stop. Mabeki wako vizuri kwenye kupokea mipira. Akanidaka juu juu.

Nikavua KWANZA jezi za bank nisitie Najisi kitendea kazi changu.Nikataka kivyako tight akasema Kuanzia Hapo navua mwenyeweeee. Mmmmmmh!

Mwanaume anajua kuvua KWA ustadi huyu balaaa. Nilishaona Dullah kina kirefuuu. Kwa uvuaji uleee. Mmmmhhhhh! Ananitekenya Miguu. KWANZA mikono inavopapasa Kama mpiga gitaaa. Vibration zinanikumba TU.

Nilishindwa kuvumilia nikamuuliza Dullah we kabila GANI? Akaniuliza kwanini? Ushaona mechi utapoteza Eeeh? Mie mtu WA Tanga, WAJA Leo waondoka Leo Leo. Nikavuta Pumzi, Tanga kiboko.

Haifaiii KABISAA Namna HII unaweza kuwa inekuha kudanga ukajikuta unapitisha msamaha WA PESA JUMLA. Nikailaumu pombeee asilimia zote. Hapa napoteza mzimaaa.

Nikawaza how about I cheat. Itabidi niingie formation ya konki KONKI mastaaa. Nikaanza kumsifia Ili kumlegezaaa. Akaniwahi na kiss akanifanyia shsssshhh napenda ku concentrate Nikiwaacha KATIKA HII Tasnia.

Ndugu msomaji you should understand my frustrations I had nothing and absolutely nothing to offer kwenye HII relation apart from my body and expertise. Sasa na hivo PIA nipotezwe SI NDO nishafeli BASI.

Kwa Hali ilivokuwa nikakubali matokeo nishafeli. Nikaamua sio mbaya nikijienjoy. Kama nikionekana goi goi under standard potelea pote.

Nikaanza kumpa USHIRIKIANO anaotaka yeye Maestro. Yeye NDO naodha na Mie chombo anipeleke anvotaka.

Dullah NI hatariii, anafanya Yale Yale Ila KWA ustadi mkubwa. Roho YOTE IPO pale. Kiukweli sehemu zingine Naenda kapiga kazi Kama kazi zingine Ila pale MI NDO nikageuzwa kazi sio mfanya kazi.

Miananume mingine inakutumia KWELI kweliii. Nikune hapa, Shika huku, Shika kule, ninyonye Huku hata mfanyakazi wa nyumbani afadhali.shubhamitiiii! Unaweza hata kulinasa makofiii.

Sio Dullah! Yeye NDO Akaniuliza baby nikushike wapi, mine ugonjwa WANGU kiuno. Akanitomasaaa kiuno, anakiminya minya na kukimassgae kazingua zetu za bank hizi viuno tunaacha kwenye KITi. Mwanaume vidole virefuu, vigumu vya Kiume Kiukweliii na anajua kuvitumia. Mpaka unaweza vidole hivi vikienda sehemu zingine nitaviweza KWELI.

Sikujua Miguuu ugonjwa WANGU mpaka SIKU Hio. Yaani nililegea hoii kabisaaa. Nguvu ya kujigeuza sina. Ataenda kuzifata Sasa condom, Akaniambia nivalishe Sasa. Nguvu sina nawaambia wasomaji.

Hapo ashawaka, jicho jekunduuu, yaaani yaani angesema suuu aniulize nipite kavu ningemwambia pita TU baba kwani Kuna mlango?
Tukajitahidi tukavalishana analamika SIKU ingine nijiandae kavu kavu hatosikiliza lolote. Million 7 KITU GANI Bwana.

Mwanaume mstaarabu anakwambia baby niingize, sikujibu sio kusudi nguvu Sina, akiuliza tena kwa kubembeleza zaidi. Nikamwambia Mmmmhhhhh!

Hapo NDO nilipofeliiii nikajua na ndani atakua mkarimu hivo hivo. Weeee! Alinifirigisaaaa kisawa SAWA ile mpoko mpoko. Bandika bandua kanikunja kisses SAWA. Nilikojoa Mara kibaooo. Mpaka network ikakatika kwa Mda. Kuja karudishwa Huyu hapa nae NDO anamaliziaa. Nilijinyanyua kunogaaaa KWA TABU SANAAAAA. Yeye kulala fofooo.

Saa 10 nikamuaga Naenda, anangangania Naondoka vipi bilateral CHA asubuhi. Nikamwambia mtoto nawahi kumuandaa wengine watampeleka rough shule. Nikaapa. HATA 100 hakunipa mechi YOTE ile. Hata kuuliza gari INA mafuta. Nikasepa zangu, anyway nimefaidi hata alitaka tena nakuja na mafuta yangu Mwenyewe. Sio kwamba mechi ile.

Nimejiandaa, nikamuandaa dogo anapelekwa na babu yake WA Bajaji. Nikaenda bank, moja haikai mbili haisimami. Dullah ananiumiza kichwa.

ITAENDELEA JIONI
kudaaaaadeck!SIPENDI KUQOUTE STORY !ILA HII ACHA TU NIKERE WATU!
lara 1 kmanina zako!
umefanya nimpigie mtu simu sa hiz!
na nilishanuna misiku kibao!
AHSANTE KWA KURUDI ILA SHWAAAIN ZAKO!
 
Kuna watu wangese kweli... sa ku-qoute story nzima kutujazia server ndo nini ?! Ungese tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom