Never Say Never.
Wazungu wanasema never say never! Na mimi Linda nakubaliana na hio kauli asilimia 100. Before just like you ndugu msomaji nilikuwa nakubaliana na usemi wa you can not have it all! No matter how hard you work, how much you sacrifise. All is never guaranteed. Hapo ndo Mungu sasa anapoingia.
Akikupa uzuri, hakupi bwana wa kueleweka. Akikupa ubaya mabwana utapata mpaka utachoka wewe. I had almost everything. Almost! Except Sam was missing. Nishaanza kukata ta!aa kwamba huenda kuwa na Sam was not written in heavens. Basi tu haijaandikwa mbinguni.
Just as i was about tu kukata tamaa, the heavens opened! Kyle na Sam walikuwa wanaachana kwa sababu za kiboyaaa kabisa. Ingekuwa nilienda kwa mganga hio wiki of which naenda sanaa tena sanaa tu, ningemuongezea pesa haki nawaapia wasomaji. Alikolezeee. Kama jini mfarakano ndo kalituma litakuwa sio dogo dogo ila makata wa makata.
Nikajua Sam kuachana na Kyle no fraction ndogo sana ya equation yangu ya kumpata Sam. Duniani kuna wanawake asikwa!bie mtu. Kumuacha Kylehaiguarantee mimi ndo nitakuwa next in order. Naweza kupigwa kanzu matata sanaa nikashangaaa. Ila nipo gadooo.
Kyle alivoanza na Kiben ten, Sam akawa mtu wa mitungiii, kuachwa kunaumaaa mnooo,na maumivu ya moyo hayapoi kwa ganziii. Na mpaka mda huu haamini kama Kyle kamuacha for Kiben 10. Alikuwa na theories kibaooo.
Hapo sasa ndonilipoingia mimi kubwa la maadui. Waswahili mnasema penye uzia penyeza rupia, mimi nikapenyeza noti. Nina hasara gani. Moyo ndo ushapendaa. Jioni namuuliza wapi hio, naibuka tunakunywa woote mpaka basi. Kila mtu anaondoka kwake. Sio kwamba nashindwa kuondoka nae,no nilitaka yeye ndo aone thamani yangu na kama mahusiano aanzishe yeye.
Sam nilishapiga nae mechi kadhaaa za wizi wizi. Nishapiga mechinae kwenye garikama mara 2. Noshapoga mecho nae chooni, na Kyle alikuwa ukumbini. Nishapiga nae mechi site. Mechi zote za kihunihuni. So najua kama mwanaume alisha nidharau, nikawa nahangaika sasa anipende na aniheshimu upyaa. Ndo maana sokutaka kuondoka nae nikampozeee.
Mwanzo wa kuhang out hata mtuakinitongoza hajalii hajaliii kabisaa. Nilikuwa naumia roho kishenziii. Ananichukulia kama mlevi mwenzie. Anasema mbona huyo mzuriii, afu anaonekana ana cash. Namshushua nenda nae wewe basi. Akili zinamkaa sawa. In short maendeleo hayakuwa mazuri kabisaa.
Utamu kunoga ulikuja pale walipo mpa OFFICIAL NOTICE! Kama mpangaji vile anaambiwa HAMA! Hakuamini. For me, i thought it was a decent thing to do. Walimuita wakiwa wote, wakamwambia. Ilikuwa bar. Palichimbika. Meza ilivunjwa, chupa zikarushwa za kutoshaaa. Sam aliwekwa ndani na mwenye pub yake. Nikaenda kumtoa, nikamlipia hasara kwa mwenye bar akafuta kesi.
Ametokaana hasiraaaa, anajiapiza kulipa kisasi. Nikamwambia Sam haina maana. Ndo keshaamua. After 10 years kweli mtu kaamua vile haina maana uende jela kingese. Wewe waache hawafiki popote. Kaa kwangu hapa, get busy, get a hobby tufanye maisha mengine. Channel that anger kwenye kitu productive. Njoo na idea mi nita invest.
Alikaa kwangu mwezi,anakunywa tu pombe zangu na chakulachangu bure. Nikawa namtega tega. Na uchi aliutaka. Nikamwambia mimi nimebadilika sahivi ndo maana sitoki usiku, nataka nizae niwe mama. Umri umeenda. Najirekebisha nyendo zangu. Hakuwa mbishi aliheshimu makubaliano yetu.
Nikajitahidi kusuggest idea za biasharahamna anayotaka. Ni kunywa pombeee tu na umalaya wa online. Jf ndo chimbo lake. Mpaka akalala na shoga angu kabisaa. Nikakata shauri kama vipi nimtimue akafe mbele huko. Nikaingiwa huruma, hana kitu, atajiua.
Kyle nae akaanza kupostiwa na kile kitoto. Akakik insta nzimaa. Anahojiwa hojiwa. Anajiona yeye ndo yeye. Mi na yeye tukawa sio kivile sababu Sam sianakaa kwangu akaniona adui. Moza ndo anamtia upepo mkubwa. Walikuwa wanautaka u star kwa nguvuuu na wakaupata sasa. Patamu hapoo.
Siku hio nimekaa Sam ananiambia nataka kufungua bar, kiota flani kama lounge. Nikamwambia lounge ziko nyingi. Do you know how to run a lounge au hospitality services. Akasema Linda ushaanza ku complicate. Nikamuuliza investment ya bei gani. Anasema million 20. Nikamwambiafanya mwenyewe.
Tukabishana nikamchana tu huwezi kuweka milioni 20 ukatoa 100. Tuweke million 100 tutoe 200. Anasita sita. Nikamwambia kama ni bar hatufanyi ushenzi! Unaenda bangkok kusoma course ya mwezi mzima ya bar and hotel management na kozi ya financial management mwezi. Ukimaliza chuo kitakitafutia field kwenye bar kubwa kubwa za bangkok na ujifunze kwelii.
Ukitoka hapo nenda China, nunua equipment zoteeee ulizoona kwa hio bar, latest na furniture. Mi niachie location na jengo. Na menu uje nazptoka huko. Cocktail nazo uje na menu zake. Kila kitu. Ujehata na wa tailand wawili tuanze nao. Hapo tukaelewana. Nikatafuta chuo. Akalipia kwa pesa yake na kwenda.
Huo mwezi nikala vichwa vyangu viwili vya maana. Watu wakimuulizia nasema sijamzaa mimi sijui alipo. Siku tukabambana na Kyle, katika story nikamchomokea hivi kwa mfano nikitoka na Sam utachukia? Akasema walaaaa! Mimi tu kama tukiamua yeye yupo peace tu. Akauliza are you dating nikasema hamnaaa ni mfano tu. Tukaayachia hapo.
Nikatafuta nyumba masaki nikailipia kodi,nikatafuta vibali na kuanza sasa renovations. Maana Sam alinitumia picha za bar moja kule tukawa tuna imitate hio bar. Akaja na vifaaa vyote na ni ghali maana pesa ilikata nikamtumia ingine. Tukawa set. Kimbembe grand opening.
Nikaongea na Hans kuhusu celebrity kuirusha rusha akawa poa akakubali kuja kupiga siku hiyo ya ufunguzi. Akawambia wenzie wakaanza kupost post. Huku na huku Sam akasema kama Hans anaimba katika hio grand opening yeye hatokuja na hii bar haitaki tena anenda Arusha. Nikamwambia acha umama kama mwamake ushamkosaaa. This is purely business. Nimeweka million 80. Hans ataimba vizuri na wewe utakuwepo tuone kama utababukaa. Usipobabuka utakuwa umeponaa jumlaa.
Haikuwa rahisi ila kiubishi ikaku aliwa Hans atakuja ku perform. Akasema tumlete msanii mwingine. Nikasema pesa hamnaa. Sam ana perform buree si shemeji yangu. Weeeee kidogo niyatibueee. Nikambembeleza bembelezaa akakubali kimashaka mashaka. After all Sam was being helpfull sema hapo kwa Hans hapoo.
Tukafungua. Nikajua Hans atakuja na Kyle hakuja nae. Nadhani alimuheshimu mwanaume mwenzie. Na alisaidia sanaaa! Ikakikiii sana. Investment haikuwa ya kitoto Mandhariii kiboko kabisaa. Bongonzima hamna bar kama hili. Service AA maana ikabidi tuwe na wa Thai wa 4. Wadada na wakaka wa 2. Pombe tulifaya South,nyingine tuliagiza USA na Moscow. Kitoa cha hatariiii afu bei za pombe zimevunjwa.
Burudani sasa ndo balaa. Huku dats, huku pool table,dancing floorya hatari, machineza kamarikama zoteee. WFI kama yote, menu ya msosihatari hatari nyama tunachoma kiThai. We brought Bangkok ina dar. It was a sucess. Hans alipiga live band.
Siku ya ufunguzi tu cash ilipngia million 20 kwa usikummoja. Sam alifurahiii hatariii. Ananiambia Linda you are genius. Biashara ikawa nzuri sanaa. Week days tunauza million 8, weekends tushafika mpaka million 40. Masaki wengi wazungu. Na watu wa nje ndo wanaspend sanaa. Nna tunawajulia vitu vyao ambavo wabongo bado hawajastukia.
Pesa shetani, akaanza kumsahahu Kyle kabisaaa. Akaanza wivu. Tukiwa bar sasa ile midanga yangu siweiz kukutana nayo pengine naileta pale pale niikamue pesa iingie kwenye mauzo na ili kuwavutia wajaribu huduma yetu wanase kabisaa. Maana nilitaka kutengeneza VIP Booth ambayo inahudumiwa na malaya tu, tena wanahudumia na bikini. Huko pombe naropoka bei mimi. Lengo kuleta utofauti na kuwapa watu vitu ambavo hawapati kwingine.
Sasa Sam akaanza wivu. Asione nimekaa na danga atahangaika kama kukuanataka kutaga. Ataniita mara 10. Ili mradi basi. Sema nilijiongeza. Nilikuwa napita bar za watu nikiona msichana anakiki nampandia dau ajekwenye bar yetu. Kuna malaya malaya wali strip sana China huko na Malasia they are about this life, nimewapa ruhusa kudanga kwenye bar yetu 24\7! Yaani sio kila malayaanakuja kudanga hapa. Kudanga hapa uwe na vyeti na uko certified kwa umalaya international na una class. I took 0 chances. Sehemu ikavumaaa. Mpaka jtatu pakukaa ni shidaa.
Siku hio ilikuwa Idi kubwa, tukauza million 70 per night. Nilifurahi sanaaa! Sanaaa! Na Sam alifurahiii sanaaa. Furaha ikizidi inakuwa balaaa. Na balaa kweli likatokea. Maana nimerudi nyumbani namkuta Sam na taulo,ananiwekea shots. Nikasema huku kusherekea tu.
He was direct,Linda nimefikiria sanaa swala la wewe kuzaa na nimekubaliana nalo nimeonaaa niwe baba wa mtoto. Nilitegemea kuzidiwa furaha pengine kupigwa strokefura inapozidi ila hamuweziamini nilitilia shaka. Nikamuuliza kwanini? Why now? Akasema amejitafakari sanaa kaona kwa ajili ya bar it will be more comfortable tukiwa na mtoto akituunga isha atarithi bar.
Nikamwambia Sam mimi bar hiinaipenda ila sio kiasi hiko. Hata ikitokeautofauti nitakuachia tu. Hatuwezi kuleta mtoto duniani kisa bar. Tutakuwa tumefeli. Sio sababu sahihi za kuzaa wote,na mtoto nilifetime commitment. Bar leotunavuma sie keshowatakuja watuna mitaji yao tutabaki historia kama Silent Inn.
Akaniambia Linda ni!ewaza sanaa nimeona wewe ndo mwanamke sahihi wa maisha yangu. I just want to spend the rest of my life with you. Hayo sasa ndo maneno ndugu msomajii. Nilihisi nina usharika na Mwenye Enzi zake Mola, Yehova, Elshadai, Yehova Sharma, Yehova Jire. Maneno hayakunitoka mdomoni.
Anajimaliza nimekaa na Kyle miaka 10 sikuwa na uhakika wa kumtamkia hivi hata siku moja. Nimekaa na wewe miezi nina uhakika wote. Msitegemee ndugu wasomaji kama nilijaa kiulaini! Aaah wapi. Nikamwambia mpigie Kyle mbele yangu mwambie now you are dating me ndo nitakubali. Alivopiga fasta with all smiles kama sio yeye nikaona kweli Mbingu zimenifungulia mlango.
Akanipa simu akasema mpigie tajiri flani na flani na flani, waambie unataka kuolewa mahusiano basi. Damn Kyle yaani alimkabidhi A list yangu yote. Nikapiga pale, wananiambia akikuzingua sisi tupoutatupata namba hii hii. Nilikamatika ndugu msomaji. Kwa aimu hii automatically papa yangu itakuwa imeshuka bei kwa robo tatu by the time nikirudi sokoni.
For the first time tukapiga mechi official mimi na Sam. Sikuwana papara, wala sikutaka ku try hard. Sam nae akataka pupaa nikamtulizaa twende taratibuuu hamna kubiaaa leo kwa raha zetu. I could swear i was happy.
Huyu bwana nilimtolea jasho, sio kwa photo shoot mapicha ya pamoja sebleni. Kumbi kumbi ndo sisi. Nilimtambulisha mpaka kwetu, na kwao nikaenda kutambulisha. We were official official.
Until one day, nilimqambia sijiskii vizuri siji bar, akasema sawa. Nimekaa home kama Mungu tu nikaamua kwenda bar basi tu. Ofisiya manage!ent iko juu. Namtafuta Sam simuoni, nikasema nipande juu. Nikataka kuita ila sikuita nikapanda kimya kimya. Nasikia migunooo
Aaaaaahhhh,baby! Saaam! Nikasogea, nikakuta mlango uko wazi, kamuinamisha mdada anamla kwa raha zake kasimamia ukucha. Kmamaeee. Sauti naijuaaa kabisaaa. Ila akili inashindwa ku load ni nani. Nikasema Sam! Akastukaaa.
Nikamwambia Mungu napmba ujasiri nisiharibu bar yangu. Nikakimbiana kuwagi nyumbani. Nikachukua bastola yangu. Sina haraka nikaioha kuhakikisha haijam. Nikasema huyu leona RIP afu kwa UMAFIA namtengenezea mazingira ya SUICIDE. Na mwenyewe Lawyer kama wote hana bahati.
Niliumiaaa! Nikasikia kitu kimenikabaaa shingoniii. Bado akili haiload yule dada ni nani. Kama ime Jam hiviii. Nikasikia anakuja, akapaki. Nikaiweka chini ya mto bastola. Akajana utetezi mavi mavitu sisi wanaume ni wadhaifuu, it was not serious.
Nikamtolea bastolaaa! Hakuamini akapiga yoweee mama ananiuaaa. Nikmuoneshea shssss! Nikafunga kioo. Ile bastolani silencer. Nikamwambia haya andika hapo pen hio na karatasi hilo,
Anabisha Linda usifanye hivo! Nikaachia moja ya ukutani kuonesha nipo serious. Akaanza kuandika, anajisemesha Linda kweliu anidhulumu bar. Nikamwambia sikudhulumu wewe si unajiua. Ananiuliza najiua? Mimi? Nikamwambia ndio. Ndo akaanza kupata picha anatetemeka. Anasema Linda nakuachia bar, namwambia sitaki bar.
Andika hapo short and clear "Mimi Sam najiua kwa sababu zangu binafsi naomba Linda asihusishwe kwa namna yoyote ile" Anaomba msamaha Linda i am sorry. I am really! Nikamwambia sali sala yako ya mwishoo!
Sijui nini kilitokea ila design kulikuwa na mtu mwingine kwenye chumba akanipiga usogo nika blank, kabla sija blank nilifyatua risasi ikalia paaaah! Nadondoka chini naona dimbwi la damu afu fahamu zikanikata.
Nastuka nimezungukwa na polisi, damu zimejaaa. Nikasema nishauaaaa. Napanga namna ya kujitetea kabisaa. Bastola iko pembeni yangu. Nikapigwa pingu, na kupelekwa Oysterbay. Nikafunguliwa kesi ya mauaji. Nikawekwa ndani bila dhamana.
Nimekaa siku 2, sitaki kutoa maelezo wala nini. Mpaka nijue wanajua nini na nianzie wapi pa kugeuzaa. Pia sikuwa vizuri bado kichwa likuwa kinagonga sanaaa. Kila nikiomba kwenda hospitali si sikilizwi.
Nikaomba simu nikanyimwa. Naambiwa kosa lako kubwa sanaaa. Siku ya 3 usiku kama saa 9 nikasikia mtu kaletwa kwa zengwe kubwa sanaaaa. Waandishi kama wote, flash za camera kama zoteee. Naona ule mwanga kwa kidirisha. Afu vuruguuu kubwa nalisikia. Mtuhumiwa kaletwa kafunikwa uso, afu design analetwa express. Mzobe zobe kama anakimbizwa kwa waandiahi wa habari. Nikajua tu ni star.
Kaletwa kaingizwaaa najiuliza star gani huyu tena. Wakamfunia kanga nguo imeloa damuuu. Afande anasema huyu ndo kamchoma kisu yule handsome wa Iokote. Nikasrukaa kwanza they mean Hans or? Nikauliza Hans? Wakaniambia Kaa kimya wewe si umetoka kumpiga bwana wako risasi. Akageuka yule dada mtuhumiwa tukakutana macho kwa macho. KYLE! Sikuamini macho yangu ni yeye kabisa KYLE!
ITAENDELEA.