Weekend story! BEN 10

Weekend story! BEN 10

Tumeenda kwa sonara nikajua tu kende zangu halali yake! Nikamshauri twende sonara tule wa jirani na nyumbani! Akasema hapana! Huyu sonara ndo mzuri! Nikawaza sijui nikimbie tu! Nikasema anyway kama kuniua aniue tu ni haki yangu this time ila nawaomba mizimu ya umasaini mniokoe mjuku wenuuu! Mizimu ya Ole Saitoti, Ole Saigoe, Ole sururu! Ole wote jamani mniokoeee!

Tukaingia ndani, hacheki na mtu! Mi nikawa natizama chini hata sonara sikumtizama usoni! Akampa ampimie! Akapima pima akasema kitu Very Original and expensive! Do you wanna sell it madama? Jane akasema no dear! Basi anamwa!bia incase you are interested in selling please call me first!

Nikajisemea JESUS! Sonara simjui wala hanijui! Nikashukuru mizimu ya kimasai! Tukarudi nyumbani! Njiani nasema sitaki tenaaa! Nitamwambia tu ukweli na kumuomba msamaha kwani kitu gani! Nitambembelezaaa weee mpaka akubali! Bora nijishtakie mwenyewe nitapunguziwa adhabu! Tena kizuri ni kwamba nitamwambia tu ukweli sojafanyia anasa, nime invest for us! Nikapanga kabisa tukifika tu home cha kwanza kumwambia ndo hiko!

Tumefika home, akapokea simu! Akabadilika kabisaaa kabisaa! Nikasema hapaaa sipo pa kuanza maswala yangu! Nikamdodosa baby whats wrong? Akaniambia hayakuhusu! Sio ajabu kushushuliwa hivi! Nikamwamvia lets talk ujue mimi ni mme wako wa ndoa, sasa nisipojua mimi ajue nani? Naweza kuwa kweli sina pesa ya kukusaidia ila hata mawazo mda mwingine ni msaada tosha! Unaweza kuamua tuongeee hio ishu na kucheki tuna solve vipi au ukaendelea kuwa stressed!

Akaniambia there is this drug deal! Life changing deal, that changed our lives me and you sasa haiendi poa! Hans mume mwenzio has gotten too greedy and is pushing the limits to the max! If he looses i lose and you loose! Sielewi kwanini? We were all getting rich happily until he got too greedy!

Nikamwambia tutaishi bila hata kuuza drugs! Alinizabua hatrick za fasta fastaa na kunipa za chembe! Ndo maana siongeagi na wewe jinga kabisaa! Tutaishi vipi? Kwa kamshahara ka jeshi! Fool! Toka mbele yangu! Nikaenda zangu kuangalia Tv! Nikaona leo siosiki ya kumwambia kumwambia!

Nikawaza kama Hans ndo anafanya ma deal na Hans, Kyle siwezi kufanya nae issue yoyote! Hapa nilipo nina almost one B! I have options bila hata Kyle! Naweza nunua mgodi, nikawa nachimba chimba tu madini! Au nikanunua hata ranch Australia ndogo nikafuga! Kama shetani likapita tangazo la kamari!

Nikaanza kucheza! Nakula na kuliwa! Nakula na kuliwa! Nikanogewa! Nikaanza kuingia biggest online casinos ambazo kubwa kabisa ni za Lasvegas, Millan, na Macau China! Nikaona One B ni pesa ndogo kabisaa! Kwa trend niliokuwa nakula kwenye hizi online ndogo ndogo naweza kupata gate away kubwa kizembe!

Nikacheza One B ikakataaa Paap! Roho inaniambia ili ule lazima uliwe! Usikate tamaa! Endelea kucheza! Nikazama kwenye sefu letu la almasi! Nikachukua kimoja na kuibuka kwa sonara wangu! Akatabasamu! Akasema sikutegemea kukuona tena! My couson told me you were almost busted in london! He saved your ass! And lied point blank to your wife! You are lucky that fake was his own creation , he recognized it and saved your ass!

Ndp nikaelewa! Nikamwambia piga copila ya hii kitu! Nikamlipa! Nikaiingiza sokoni! Nikaamua kupiga zingine kama 20 na kuziuza! Lengo sasa niwe serious gambler! Bikifanya na mambo yangu ya kimasai! Sio kesi kubwa! Wala nini! Nikapururwa zoteeeee!

Nikawaza ukiona u akaribia kufa ujue ushindi uko jirani! Nisikate tamaa! Niendeele ku gamble tu ipo siku! Nikaanza kusoma historia ya gambling! Gamblers waliofanikiwa walipita wapi na wapi! Nikaona kuliwa ni part and parcel ya mchezo! Mimi tu najipanikisha! Nikagu dua pia kuwa naweka bet ndogo! Odds zinakuwa ndogo sana kwa mimi kushinda! Bora ni punguze mara nazobet niwe naweka odds kubwa!

Nishafika safe la 5! Bado sijaona mwanga kabisaa! Nikaamua kuweka bet ya million 500! Napenda kucheza kamari ya wanyama! Nikaamua kwa hili na mbet ngombe! Sisi wamasai na ngombe ni kama ndugu wa damu! Sisi unaweza kutangulia na ngombe akakufata mwenyewe! Nikajua of allanimalas ngombe hawezi kuniangusha! Nikapiga jadi zangu paleza kumuomba ngombe anifanyie wema! Nikaingia online na kutaka ku bet! Roho ikasita nikaacha kwanza! Nikasema nit bet kesho!

Nikaangalia ile session tu live! Mnyama king akaibuka NGOMBE hamuwezi kuamini kwa siku hio! Daaaaaah! Na hamna alie bet ngombe kabisaa! Nikajilaumu sanaa! Sanaaaa! Nilijilamuuu! Mpaka biashikwa homa kali sanaa! Imagine ningeweka bet million 500! Odds zilikuwa unashinda mara 20! Ningevuna 20billion! Mimi ni jinga kabisaa!

Nikapona na kujiandaa kabisaa kwamba siku hio na bet na mnyama wangu yule yule ngombe! Nimejaza kila kitu click send tu wakate pesa nikasita tena! Nikajiambia leosasa ndo unaliwa 500m ! Acha ujinga wewe! Bora hio 500m ukimbilie hata Somalia ukatafute maisha kuliko kuishi hapa kama mbwa! Siku bet!

Nikaangalia live session! Akashinda tena ngombe! This time billionarewa Maccau ndo alibet ngombe na aliweka 20 billion! Anasimulia kwa wachona this is the chinese year of the cow! Ndo maana kabet ngombe! So hapo akala 200 billion! Daaah! Nikaamini kweli mimi sina bahati kabisaaa! This time nikaugua dege dege kabisaa mpaka kulazwa hospitali! Yaani yaaani nilijichukia kabisaa kabisaa!

Jane akaniambia anatafuta mradi wa kufanya kujiandaa just incase deal liki collapse! Huo mradi uwe huku huku UK! Hapo hapo akawa ana apply ka,i interpol sasa vyeti vya chini vikawa vinagongana! Akakosa! Akaamua kwenda ku apply kuwa Assasin akaambiwa kashapita umri wa kujiunga! Inshort ni mbuzo mzeee! Alikuwa frustrated sanaa!

Akaja kunipa taarifa kwamba waturuki wame sizi operarion bongo kwa mda usiojulikana! Kutokana na na mgogoro wa partners till further notice! The pipe line was closed officially! Nilitetemeka ndigu msomaji! Maana mimi ndo mkimbizi! Mwenznagu akishindwa anarudi bongo kiulaini! Kuna mortage na nyumba aliichukua kibabe above market price!

Nikamshauri tuhamie cheaper accomodation kama condos! Akasema siwezi ishi kwenye Condos! Akili ilinipata moto ndugu msomaji! Nikapata wazo kwa kutumia vyeti vya Janet nikaanzisha website ya security consultancy! Nika apply vibali vya UK nikapata! Kama Janet! Nikalipia online! Kwa yeye sisi ni diplomatic citizen ni fastaaa!

Kimbembe kupata wateja! Nikaaza kutuma proposal wizara za ulinzi za nchi ndogo ndogo Africa! Naomba kuwa consaltant wao wa ununuzi wa vifaa vya jeshi! Sasa wakiona UK company iko regiatred na nini wana jaa! Wanasema wata get back! Hamad siku moja Rwanda wakanicheki!

Kimbembe mimi silaha sizijuii sizijuiiii! Ikabidi nikae na Janet chini nimsomeshe hata kama hajui atatafuta mtu bongo anaejua tutapiga hii deal! Akafurahi mwanzoni! Baadae kuja kujua ina hela mbuzi kwa mtazamo wake akasema sifanyi! Na hakufanya ndugu msomaji! Rwanda walinisumbua mpaka nika ifunga ile website!

Akaanza kuumwa, akaenda hospitali akaambiwa ana mimba! Nilitegemea angefurahi ila akawa analalamika hizi sio nyakati za kuzaa kabisaa! Kwanza ana mpango wa kutoa ile mimba! For once nilikubaliana nae! Janet is not a mother! Mtotoangeteseka sanaa sanaaa mimi baba yake sioni ndani! She is just a monster! Nikajifanya kusikitika ila moyoni nasema afadhali atoe tu!

Ikafika siku ya appointment akaghairi! Akasema kaamua tu azae! Na akapata kazi ya kuwa security advicer kwenye kampuni ya warusi! Pesa nzuri sanaaa! Kuliko ya madawa! Na mkataba umesema kabisa kazi haina maternity leave! Nikamwambia tukatoe! Mi sikutaka kabisaa kuzaa na hili shetani! Kabisaa! Namsisitiza utaharibu hii kazi! Akasema Sam ndo maana nakupenda ukiacha ungese wako wa mara kwa mara hamna mwanaume nitaempata atanipenda na kunikubali jinsi nilivo kama wewe Sam! Namwambia hutompata asilani!

Akaghairi tena kutoa! Akasema watajuaje na mimba! Sichukui maternity! Naenda kufanya kazi yao hivi hivi na mimba! Nitazaa kwa siri sanaa! Naweza nisipate tena mimba! Hii mimba nimepata kibahati! Kazi yenyewe online! Wamenituma mission ya kwenda kumlinda raisi wa Cote D vour! Navaa combat hizi! Tumbo halionekani! Akaenda na mimba yake! Kazi siku 14!

Siku ya 7 nikaingia tu kwenye pc yake, ilikuwa mezani! Nikakuta hio contract waliompa! Kumbe sio security advisor sio chochote kaajiriwa kama contract killer! Na sio warusini wamarekani! Na pesa nzurinzuri kweli! Na hio kazi aliopewa ni ya kumuua kiongozi wa wa asi huko Cote D vour! Nilikufa ganzi! Hata kama tamaa ya pesa hii ni too much!

Bora assasin unakuwa unaua watu wabaya kuna principles! Ushahidi upo! U aokoa mamia! Contract killer hutakiwi kujua nani ni nani anauawa kwa nini! Unaua tu kama kuku wajameni! Mradi bei yako ya contract imefikiwa! Alinitoka jumla jumla huyu mwanamke!

Niaamua i must go now! Lazima nitoroke! Nikaingia online na kubet ile million 500! Nika bet ngombe! Ngombe IKALIWA! Simba ikaibuka kidedea! Nikacboka mwili na roho! Nikajiona kweli ni good for nothing kabisaa! Daaah! Ila nikazama kwenye safe yetu na kuchakachua kama kawaida!

Nimetoka kwenda kwa sonara! Narudi tu nakuta kaniwahi kasharudi! Cctv iko sebleni naikuta imewekwa nimezama kwenye safe! Imekuwa posed! Ina maana kaniona! Nikamchungulia yeye yuko angle gani? Nikamkuta chumbani kafungua safe zote! Yuko na mtu ambe kwa haraka haraka nikajua ni sonara! Kasha tenga fekero zangu na OG! Anamuelezea! Uzuri sina gari! Wala driving license! So niliingia kwa miguu hakunisikia! Nikatoka mkuku kimya kimya! Nikapanda basi sijui linenda wapi potelea poteee!

ITAENDELEA!
 
Mimi ni Ulfat mke halali kabisaa wa Ghost! Sio kwamba najigamba ama vipi, la hashaaaa! Ghost ashaniomba kunioa mara kadhaa nimekataaa! Sio kwamba nimekataa aje, tunashindwana kwenye dini tu! Anataka mimi niwe kafiri! Na mimi siwezi kuwa kafiri asilani! Nitafanya dhambi zooote ila sio kumkana Maulana! Hiositokufanya kwa ghara yoyote!

Mimi mtoto wa kiislamu! Nimelewa madrasat, nimehiji mara kadhaa so ni official Hajat, nimesoma dini vyuo kadhaa na kihalali kabisa ni Shekhat! Naanza vipi kuukana uislamu na kuwa kafiri? Bora niwe mpagani!

Mimi nishaolewa na mume wa kwanza mzungu! Alikuwa na mapesa balaaa! Mpaka baba yangu akakubali niolewe na mzungu hakikuwa rahisi! Walimtia maji mzungu na kumslimisha kwetu huko Oman, wakamfundisha Coran akawa muislamu safi ndowakamuoza mke kabisa mimi!

Nilikuwa mdogo sana miaka 18! Mzungu alikuwa mtu mzuri sanaa! Akanipeleka shule! Ila kafiri kafiri tu haachi asili yake! Contract yake ya Oman ikaisha tukarudi kwao marekani! Nikazaa nae mtoto mmoja, huyu wa kike Sultana! Tumefika kwao pesa tena haikuwa nyingi kama aliokuwa nayo Oman!

Sasa Ammy zangu nikawaambia ukweli huyu mzungu kafilisika, wakamsaidia kumuunganisha na warabu wengine wa US hapa wakawa wanampa mpa kazi! Mimi nikawa very bright nikafanya mpaka masyers huku USA nikabakishwa nifundishe chuo!

Mzungu ashazoea pesa ya warabu pesa ndefu isio na kipimo! Stress za nchini kwao USA zikawa kubwa sanaa! Akaanza kuwa levi la kutupwa! Namkumbusha wewe ume slim lakini! Ananipigaaa! Haambiliki! Namfumania na vijana! Ananilazimisha nimpe pesa akalewe! It became too toxic!

Nikaomba talaka yangu! Akaniandikia! Sema sheria za huku akawa anaruhusiwa kuja kumuona mwanae! Mpaka kesho mwanae anampenda kama kitu gani! Baada ya divorce sasa nikawa nimekuja bongo Holiday na marafiki zangu tu! Waarabu! Wengine wako na wake zao! Mie peke yangu ndo nipo single!

Tukiwa Arusha ndo nikakutana na ghost club! Nilijua ni drug dealer maana alikuwa anawauzia hawa warabu mirungi! Akanitongoza! Sasa aliniboaaa sana kiukweli manake hana adabu kabisaa! Ananitongoza kama malaya wa barabarani! Nilimshushua!

Ikatokea soo wale Amy zangu wakakamatwa na mirungi Ghost akaja kuwatoa na kuizima ile kesi! Tukawa tumenyanganywa peaa zote na polisi wakagoma kurudisha! Akatukopesha pesa za ticket business class! Tulivofika marekani tukamlipa!

Akawa anaendeleza mawasiliano! Nikaja kumzoea! Upweke na nini single mother! Akaniambia anataka kuja USA nikamfanyia mchongo! Akafikia kwangu! He was so sweet kwa mwanangu! Mpaka nikatamani sasa asiondoke tena! Maana anacheza nae! Alimfundisha soccer! Basket ball! Mwanangu alikosa father figure! Si namlea mwenywe! Nafasi ya baba ikawa void!

Na niko over protective na mwanangu simwachii mtu hata baba yake! Na haendi kokote labda mimi niwepo hapo anapo kwenda! Akawa mjinga mjinga! Muoga muoga very anti social! Ghost akamsaidia kujenga comfidence yake! Kujiamini! Kuona she was missing out nothing! Mpaka kesho Ghost ni zaidi ya baba yake! Anamuita baba!

Sasa ghost vile anavokaa na mwanangu nikamkubalia ombi lake! Tukawa tuna date! Akawa mume tuseme maana tunaishi nyumba moja! Alikaa marekani 2 years ! Akaanza maneno anataka kurudi bongo! Nikambeba mimba design kama kumtrap tu! Ashindwe kuondoka!

Kipindi hiko hana kitu, alikuwa mtu mzuri sanaaa! Sanaaa! Pesa mwana haramu! Kumzalia kulimchelewesha tu ila akaja kurudi bongo! Sasa ndo kuwa drug king pin! Akataka kunioa kabisaa mimi ndo nilikataa! Nawajua warabu wa Oman wasingekubali mtwana anioe! Afu kafiri! I didnt want to break his heart! He was sucha nice person!

Nilikuja bongo kuangalia posibility ya kuishi huku, nikashindwa! Wanangu wasingepata good education! Hata culture ya huku sikuipenda! Kabisaa! Nikamwambia tu mimi naomba niqe nakuja from time to time ila niwe based in USA! Akakubali!

Pesa ndo zikalwta makarateka yoote! Nashukuru sahivi wanae anawajali ma brithday Ibiza, holiday wanaamua wao wanataka kwenda wapi! Kama maisha tu anawapa! About that i cant complaon kabisaa! Afi habagui huyu wa kwake huyu wa mzungu! Hata kidogo!

Mwanangu akiwa 2 years ndo akaja kuniambia ana mtoto mwingine UK lakini! Kilichomuokoa nimkubwa! Like 5 years alimpata kabla hatujazaa huyu, wala kuanza kudate! Nikamtafuta yule mzungu na ku mbefriend mpaka akakubali ndugu wajuane! So wakati wa likizo ananipaga mwanae! Na mimi nampelekeaga mwanangu! Mwanae wa kike! Anaelewana sanaa na Sultana sijui sababu wote wana damu za kizungu!

Matatizo ya Ghost unfaithfulness ni ya mda ndugu msomaji! Mda sana! Mimi nimemruhusu kuhave flings! Sababu ni long distance relationship! Afu mimi mtu mzima, nishaolewaga kabla sosina mcheche wa ndoa kihivooo! I jist want him as my man! Baaasi!

Na mimi ndo official mwanamke wa ghost! Maana ndo namlelea watoto wote wawili! Sawa huyu wa kike ana mama yake! Ila mama mtu ashaolewa tenana kuzaa watoto wengine so analelewa na uncle wake! Na mimi ndo najazia nafasi ya umama! Akiwa na issues hawezi kumwambia baba yake ananiambia mimi! And Ghost respects me for that!

Beforeumalaya wa ghost haukunistua sanaa maana nikawa najua ni sehemu ya kaziyake hio ya kuuza madawa! Nikawa muelewa sanaa! Naweza kupiga simu ananiambia kuna mtu namfanya matusi hapa nipigie badae kidogo! Namwambia sawa! Nampigia badae fresh kabisaa!

Uchafuuuu wake wooote naujua nje ndani! Na nampenda hivo hivo! Nikasikia wanasema huenda shoga, nikasema kama kawa shoga haina shida nitanunua kifanyio nitakuwa namfanya mwenyewe! I just love him the way he is na hamna cha kubadilisha hapo!

Mimi kabla ya ghost sikuwahi kufanya umalaya wowote! nimeolewa na mzungu bikra! Mzungu ndo mwanaume pekee niliokuwa namjua! Alikuwa hanifanyi viziri ila naona sawa tu maana sijafanyana na wengine kujua sivo inavotakiwa! Mpaka nimekuja kifanyana na ghost ndo kujua utamu wa haya mambo!

Ghost kanifundisha zinaaa! Ulevi, miziki na starehe zote za dunia! Na nimefanyana na watu wa kutosha ila ghost kiboko yao! Nikaamua hapa kwa ghost mimi nimefika bei! Sioni mwanaume mwengine wa kuwa mwanaume wangu kasoro huyu ghost! Sibandukindugu msomaji nasemajeeee! Sibandukiii!

Ofcourse Kyle alinitia shaka sanaa tangianamuona siku ya kwanza! Macho ya ghost yaliongea kila kitu kwamba ana uspecial ndani yake! Ikatokeaga vile! Baadae nikaja kifahamu waliachana wenyeweeee! Akaja kunambia anamuoa! Ila tone ikawa kama sehemu ya kazi! Nikaja kumbana akasema anafungua kanisa and weneed her! Sikupatiliza!

Nikaja kusikia they were dating! Ghost udhaifu wake familia yake! Ndo kuamua kuja sasa huku full full nione how strong is their love! Ni ekuja na tema nzima! Niliwapanga wanangu baba yenu akiwauliza holiday wapi semeni Tanzania! Akawa hana pa kutokea! Tukaja team nzima!

Tumetua nikakuta surprise birthday! Nikajivika uhusika! Birthdayilikuwa pambe snaaa! Tumepiga picha kama zote! Na Kyle nilimuona nikajifanya simjui! Na yeye hakushoboka alijikataa! Na nilijua ndo kaanda issue nzima!

Nikamtuma Sultana aweke picha ya familia yetu status ya ghost na profile pic! Ghost kwa watoto zake wa kike hachomoi kabisaa! Wakampanga akapangika! Usiku kwenye chakula cha wakubwa nikamuona kabisaa hayuko nilivomzoea! Kama akili yake iko mbali sanaa! Na mimi nikajifanya sijagundua tofauti yoyote!


Navowaambia ndugu wasomaji sibanduki hapa naomba mnielewe sibandukiii kweli!

ITAENDELEA
 
Hehhehehe kashesheee ghost dawa yake na we uwe na kipoozeo vinginevyo utakufa na presha bure burreee...mhhh kitu konkii kabisaa Kylee daah...kweli maisha safari
 
Ila ghost nilichogundua akiwa anawatia Hawa mademu huwa anawatia kihuni yaani anaisambaza K yote alafu anaanza kuipanga upya ndiomana madem wanamkubali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom