Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
All the best kwenye hayo maombi...hii story kweli hadhi yake ilikuwa ya kufungia mwaka!
Hiyo aya ya mwisho umenifurahishaa!!! Kwamba afanye kukuunganisha Ghost hahahahaMungu akushushie mkono wake wa baraka na asikie maombi yako!!
Ila fanya kuniunganisha na Ghost nikamalizane naye nijue yaliyomo yamo kweli 😉 😉 😉
Kila la kheri katika maombi ni jambo jema sana nimekuelewa sanaKuradhi!
Kutokana na maombi niliyoyaanza sasa hivi nitashindwa kuendelea kuwaletea story hii! Naomba radhi sanaa! Story hii ku keep originality ina upuuzi wa hatari na hainakisi maombi haya crucial kwa maisha yangu!
Panapo majaliwa nitawaleeteni story zingine yenye utukufu!
Mtakao nitukana please feel free! I understand ! I am truly sorry imebidi tuishie hapa!
Nawapenda sana
Lara
HahaaHizi mbata Sam kazila za kutosha, pumb* zitakua zimebadilika hadi shape yake.View attachment 969595
Hahaa lara kweli mngese " ... daahh ndio nini kutudindisha kiasi hiki halafu unakatisha utamu " ..... Any way umeeleweka " Maisha yaendeleeKuradhi!
Kutokana na maombi niliyoyaanza sasa hivi nitashindwa kuendelea kuwaletea story hii! Naomba radhi sanaa! Story hii ku keep originality ina upuuzi wa hatari na hainakisi maombi haya crucial kwa maisha yangu!
Panapo majaliwa nitawaleeteni story zingine yenye utukufu!
Mtakao nitukana please feel free! I understand ! I am truly sorry imebidi tuishie hapa!
Nawapenda sana
Lara
Ndugu fanani haiwezekani..twende tukasali wote tuu hakuna namnaaKuradhi!
Kutokana na maombi niliyoyaanza sasa hivi nitashindwa kuendelea kuwaletea story hii! Naomba radhi sanaa! Story hii ku keep originality ina upuuzi wa hatari na hainakisi maombi haya crucial kwa maisha yangu!
Panapo majaliwa nitawaleeteni story zingine yenye utukufu!
Mtakao nitukana please feel free! I understand ! I am truly sorry imebidi tuishie hapa!
Nawapenda sana
Lara
Najua tu ni maombi ya colleKuradhi!

,maana mimi pia nimeshindwa kusoma story yako huku mwishoniWoyoooooooooooooooooo.... Piga keleleeeeeeeeeeePANAPO MAJALIWA KESHO TUNALIAMSHA DUDEEEEE! KAENI MKAO WA KULAAAAAA
Hee... Lete mambo mama mtumishiiiPANAPO MAJALIWA KESHO TUNALIAMSHA DUDEEEEE! KAENI MKAO WA KULAAAAAA
Huwezi amini Colle kaninyima maombi yake! Mi kumtetemekea mwanadamu kama Mungu msaidizi siwezagi! Nisha mu unfollow! We tangu lini maombi yakawa siri mpaka ujiandikishe na hapo aringe ringe weeee mpaka basi! Mi vilinishinda kiukweliNajua tu ni maombi ya colle,maana mimi pia nimeshindwa kusoma story yako huku mwishoni
Hahah dm me your email nifoward PM-1,pole mimi nilimuomba nikakaa miezi nikaona siku najibiwa na kutumiwa sala, sijajua ni yupo busy sana au niniHuwezi amini Colle kaninyima maombi yake! Mi kumtetemekea mwanadamu kama Mungu msaidizi siwezagi! Nisha mu unfollow! We tangu lini maombi yakawa siri mpaka ujiandikishe na hapo aringe ringe weeee mpaka basi! Mi vilinishinda kiukweli
Asante Lara, naomba utuendelezee hii hiiPANAPO MAJALIWA KESHO TUNALIAMSHA DUDEEEEE! KAENI MKAO WA KULAAAAAA
Ole wako, nipo naisubir hapa huku nashushia vitu konkStory inaendelea saa 7