Weekend story! BEN 10

Weekend story! BEN 10

Waache wakome, mmoja kaona mbunye za maana mwingine kaona unga wa maana
 
Jamani hii episode imewahi kujipost....kujisend mbio mbio hivi kutukatisha utamu kirejareja hivi vipi!?
 
Duh! Pastor, Yan kachepuka na demu mmoja tu kakamatwa[emoji23][emoji23][emoji23]ila siamini Kama ni moza ndo kamfanyizia, Atakuwa Ghost huyo
wala ata ucmsingizie ghost, moza alisema atafunga usiku na mchana( ruksa kunisuta hapo kwa ghost)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom