Maybe i was born a girl, without balls but i grew my own balls over time! What i know for a fact is in this life we get few chances if you dont grab those chances by the balls you will end up wondering how you became second rated!
Kuzaliwa mwanamke kuna changamoto nyingi hususani katika hizi jamii zetu za mfumo dume! Mimi sikuzaliwa hivi! Hamna mtu anazaliwa hivi! Ni maisha tu na mifumo yanakufanya ujikute umekuwa mtu mwingine kabisaa kabisaaa!
Mi nimeanza kupata akili noshalala na wanaume kibao! Si mnajua maisha ya chini mara zingine unabakwa, zingine unalazimishwa, zingine unakubali mwenyewe, mpaka mwisho tendo linageuka sasa biashara! Inakuwa likitakiwa kama maslahi yako yanafikiwa unatoa mambooo! Sehemu zinakuwa sugu sasa hamna hisia! Maana kwa siku unalalwa hata mara 3 au 4 na mijitu usioipenda!
Mimi mama yangu alikuwa anamiliki kilabu cha pombe za kie yeji alichorithi kwa bibi! Kwetu katuzaa zaa ilimradi! Tuko wa 5 kila mtu na baba yake! Na watoto qa kulelewa kilabuni wote fusezimeungua! Mmoja ndo mkubwa ana miaka arobaini hana mke wala mtoto! Sio shoga sio nini! Maybe hanithi! Alisomeaga upadre hakupata so yupokama fuse zimeungua!
Mimi ndo nauza unga na kaka yangu niliemfata, wa pili kazaa zaa tu nyumbani pale karithi kazi ya mama ake ya umalaya na kuuza papa kwa beiya reja reja ndoanaendesha kilabu! Ana watoto wa 5 nimejaribu kusomesha somesha wa kiume hapo atleast! Wa mwisho hakuwa riziki alitangulia mbele za haki!
Baada ya kufanywa fanywa sanaa kwa ajili ya njaa, nikajua tu na mimi nitakuja kurithi kazi ya mama kuuza papa, nikawa nishaikubali najiongeza kwa wateja! Mama ananibabuaaa ana wa chenjia wateja kama tamaa nileni kuku huyo bado mdogo, kifaranga kabisaa huyoooo! Akifikia makamo mtamlaaa kwa raha zenu! Nishajua maisha ni kuuza papa basi! Ukiuza sana unawwza fika mbali!
Baadae nikiwa na miaka 11 nikaanza kuvusha bangi na mirungi toka Naiii mpaka Arusha! Siku nikakamatwa boda! Nikapelekwa jela ya watoto! Nikiwa jela ni mbabee hatari ila nikakutana na wababe zaidi yangu! Maisha yakawa magumu mnooo nikataka kukimbia! Nikatoroka kabisaa usiku! Kuna dada mkubwa mkubwa tu akanikimbiza akanipata! Akaniambia rudi! Utaharibu kabisaa kuhamishiwa jela ye ye ulinzi mkali zaidi! Bora hapa tunaishi kama nyumbani! Mi nitakuwa dada yako!
Nikarudi! Akawa dada yangu! Napata chakula, maana yeye alikuwa kiongozi! Napata sabuni! Sionewiii! Akanishawishi mpaka nikarudi shule! Akaniambia kupambana na mzungu lazima umsome unamsoma vipi darasani! Hata ukitoka rudishule! Niliacha darasa la 4 nilifeli! Nikarudi darasa la nne!
Alikuwa mwema sanaaa! Sanaaa! Nikaanza kumpenda kama dada! Roho yangu imeridhia! Si ananifanyia mema! Watu wakaanza kuongea ndo mkewe mpya yule! Nikawa sielewi! Nikajiongeza nikajua tu kumbe anapenda wasichana wenzie! Nikawa namngoja siku aniletee huo ujinga ndo atanijua!
Zikapita siku wala hakunichomekea! Sasa ule wema wema wake nikawaza hata kam kweliakiniambia sitomkatalia! Kwani atanifanya kipi cha ajabu ambacho sijawahi kufanywa? Kama kupenywa na mishedede nishapenywa na midude minene balaaa! Na nilihimili! Kama kunichezea chezea anichezee tu! Kwanza mi mwenyewe napata starehe vilw vile!
Siku moja ilikuwa birthday yake, akanianzia mbali sanaa! Nikikwa!boa kitu utakubali sijui ila usinielewe vibaya! Nikamwambia niambie! Akaniambia au basi! Akajikusanya kitu akaniandikia kibarua! Niliwaza sanaa! Nirudi kuonewaa au nikubali! Mi sipe di shida nikamjibu nimekubali! Kuanza mchezo huo mchafu ukaninogeaa! Ila nikajua nikitoka jela nitaacha!
Akaja akatoka yeye kwanza! Nilifungwa miaka 2! Nikaendelea na mtu mwingine hapo hapo jela! Nishakuwa konki sasa! Mimi ndo natongoza! Nikaja kutoka! Nikarudi nyumbani! Nikarudi shule kumalizia la 7! Nikawa nimebadilika naenda kanisani! Mama akasema washakuharibu! Unasoma unasali tushakosa pesa!
Nimetoka jela nikaanza kulala na wanaume holaaa holaaa! Stimu hamnaa hamnaaa! Kuna shoga angu wa mda! Nikamhadaaa nimfundishe mambo ya jela! Akakubali! Ndo ikawa zetu sasa! Nikamaliza la saba! Ndo kaka sasa kukimbia na unga wa Ghost!
Ghost alichoma kilabu na nyumba ya urithi! Nikamwambia mama acha niende kulipa deni! Na kikubwa mimi sahivi mkubwa tutapata pesaya kufungua kilabu na kuje ga upya nyumba! Bibi ashazeeka huyu atakufa mapema! Akakubali! Nikaja Dar kwa ghost! Mdogo chuchu zimenisimama!
Nishavusha sana bangi mirungiso hii kaziikawa ndogo sanaa! Sababu mdogo nikawekwa pusha mjini! Nasukuma mzigo niaje! Na kuza papa juju! Mteja akinielewa namuuzia vyote! Nikajiandikisha QT! Mchana naingia pindi jioni na push! Ghosthakujali cause target nafika!
Nikamaliza form fournika pasi! Nikaanza form 5 na 6 lengonikimaliza niache kazi niende chuo! Nikapasi! Nishamjengea mama nyumba kubwa na nimefungua bar! Akaniambia achana na chuo fanya wewe umteke huyo Ghost uwe mkewe! Kunapesa hapo! Mijitu imesoma mpaka masters hapa mtaani haijafanya robounayofanya wewe!
Nikaamua kusoma jioni! Nikawa najipendekeza kwa ghost kikazi sababu nishaanza kuwakiume kabisaa! Sio siri tena! Ghost mwenyewe anajua napenda wanawake! Na nilivopata pesa ndo wanaume waka nikosa wakanikosaa!
Nikapanda kwa Ghost mpaka kufika right hand wa Ghost! Left hio nafasi ya Cos milele! Na mimi Cos alikuwa ananipenda sanaa! Vile alivooo na nilivooo! Nikaanza kutembea na Cos kibiashara! Navotaka lazima vifanyike! Maana bro alinichekiakanipainstructiona nijue kila kitu! Na Cos ndo kila kitu!
Kutembea na Cos sio rahisi! Mngese ana wivu balaaa! Anataka anifanye mke kweli! Wakati mda huo mimi na mke! Mtoto mdogo! Yule mtoto mimi sikupanga kumfundisha haya mambo! Nilimkuta club nikamuonea huruma ni mdogo, afu manzi wa Arusha! Akawa anataka kuchukuliwa na vijana wa 4 nikajua wataenda kumpiga mtungo!
Nikataka kupuuzia nikashindwa alitia huruma! Nikaingilia! Nikarudi nae kwangu! Hapo naishi na mwanamke mwingine ana nidanga balaa! Mimi kwangu money is not an issue! Yeye nikamwambia kaa hapa utapata kila kitu yale sio maishaaa! Nikajua atatoroka kesho yake! Hakutoroka!
Akaaa mwezi mzima! Nikawa namshauri aende shule sababu bado mdogo! Akasema shule sitaki! Demu wangu teja! Miminikawa sishi di pale kabisaa. Sijui walitongozana saa ngapi akamfundisha mambo yetu na uteja juu! Kwangu unga pale wakutoshaaa! Kumbe kazi yao moja! Kufanyana na kubwiaa!
Sikuya siku demu wangu aka over dose, akarelapse! Nikapigiwa simu! Nikampeleka hospitaliikawa kimojaaa! NiIwapigia kwao wakaja kumzika na mazishi tulienda! Kumbe mtoto wa kishua balaaa! Mi nilimuomotaga club sikuwahi kudhania!
Sabau yule kafa ikabidi niwe nakaa sasa na huyu dogo maana ilimuathiri sanaa! Nikaanza kujia ana bwia! Nikampeleka rehab! Akafukuzwa anataka kuwalala watoto wenzie! Nikajua baaaaas! Nikaja kumshawishi aende tena shule akagoma! Nikawa nagombana nae wewe umeona mwenzio alivoishiaaa lakini? Kwanini unangangania maisha haya! Tukawa hatuivi!
Nikawa na demumwingine tena! Akaanza visa! Ananitumia sms! Sijapenda ulivomleta huyu mwanamke humu ndani! Kwani mimi sikutoshi! She is bold! Kakorofiiii balaa! Nikawa simjibu! Akamchokonoa yule mwanamke mpaka akaondoka! Nikakafukiza nenda popote! Akaniambia labda unie sina pa kwenda! Kama kukupenda dhambi nihukumu kifo!
Mmmmmh! Hakanijui! I just cpuldnt date her, take advantage of her! She was under age! And it wasnt right! Nikakafukuza seriousna kukatupia vitu vyake nje! Sikurudi mwezi mzima! Nikakuta kameondoka! Nikaja kupigiwa simu na mmama! Akaniomba sanaa nije! Love anaumwa sanaa! Nije please! Nikaenda hospitali ndo nikajua! Kumbe katoto ka kishua! Tena baba yake polisi wale wakubwa wenye nyota zao kama zote! Nikajua nimekwishaa!
Nikawa nambembeleza akubali kunywa dawa na kuchoma sindano! Mi nilijua anaumwa arostooo! Ukiacha unga utaumwa kila gonjwa! Nikamchoma dozi kidogo! Akawa fresh! Nikamwambia kwanini hukunisema kwa bab yako mkaja na jeshi lenu kunikamata? Akasema mimi nakupenda siwezi kufanya hivo! Nikamwambia wewe bado mdogo! You still have a chance familia yako wanakupenda sanaa! Get you a life! Nilimuasa pale zaidi ya mzazi!
Kesho kutwa namkuta mlangoni! Katoroka tena kwao! Nikamuacha akae! Bado nawanawake wengine naokota okota huko! Sema ndo sio waaminifu! Mara waibe! Mara wana mabwana wengi! Dogo nae ndo ananitegaa balaa! Siku kama shetani nokateleza mara moja! Ikawa tabia! Akawa ndo mtu wangu official! Mdogo ila whatever ahe lacks in age ana compensate in character!
Akanikataza kuwa na wanawake wengi! Tukawa wawili tu! Akaubali kwenda rehab! Na shule! Nikamwambia soma hata Qt! We were happy! Ana kaba balaaa! Na mimi nilimpenda! Tulipe dana sanaaa! Na yeye alinikubali nilivo! Kuonekana mke wangu kwanza ananona fahari! And she had class basi tu sikuelewawhat went wrong kwenye maisha yake!
Akaja Cos! Hans alivoumwa! I really really liked Hans! Mpaka Love akawa anaona wivu! Nikamwambia kila kitu onabisi nitembee na Cos! Akanikubalia since its for a good course! Then it became for greed! Bro ashatupanga! Love do kila kwangu anajua kila kitu! Akanikubalia tena!
Sasa Cos akawa anataka niachane na wanawake wooote! Nikambembeleza Love nampenda kumuacha sio issue but atajiua afu mimi nitashindwa kuishi! Tupendane wotewa 3 mbona nafasi ipo! Mimi nipo capable kumpenda yeye na Love! Akakubali kishingo upande! Love anajua tunamtumia Cos!
Nikamtuma kwa Hans kumseduce maana naondoka kwa Ghost we needed a connect! Akakataaal nikambembeleza for us! Mimi mbona nalala na Cos kikazi akakubali kishingo upande! Nikamwamvia keep it going! Ananungunika ila akakubali!
Nilivoondoka Cos tukaendelea kisiri! Na Love anaendelea na Hans! Kazi kwa kaka yangu nilifanya kwa moyo sanaa sanaa! Nilijituma mnoo! Only to learn mimi na kaka yangu ni puppets tu wa boss mmoja huko China! Biaahara sio ya browala chochote! My bro was afull addict sio reliable tena!
Nikawaza sanaa! Nikaendelea nae hivo hivo damu nzito ila nikafanya maamuzi magumu! Unga ushamla kaka na sasa kaka sina! Nikisema nirudi kwa ghost watamuua damu yakeitakuwa mikononi mwangu! Nilipanga kuiua hii biashara kisilencer!
Kwa ghost nilijifunza sanaa! Ghost hampi Cos nafasi kabisaa! Ila Cos ndo maestroooo! Cos akawa analamika Ghost anakosea hapa nanakosea hapa hashauriki! Haendi na wakati! Mi na take note! Vision ya Cos yooote niliiba! Nilivoona huku ungese ungese sikuitoa! Nikawa nimeiwela tu!
Love nilimsihi sanaa akarudisha mawasiliano na mama yake! Ila kamwambia ukwelinimeolewa na mwanamke mwenzangu! Mama ake ni wale watu wapoleee kupitiliza! Tukawa tunaenda kwao! Alinikubali! Tena ananiambia asante huyu ashaacha shule! Ashakuwa chokoraa umenisaidia sanaa! Sasa anajielewa! Mimi siwezi kuwahukumu!
Katika kwenda kwenda kwao baba yake akawa anajua mimi rafiki tu wa Love! Akawa anasimulia wamemkamata mtu huyo ana connection ya uturuki! Yupo segerea! Nikamtuma Love apeleleze! Nikamzukia segerea! Akanipa namba! Sharti nimtunzie familia yake! Nikawasiliana nao! Wakafurahi maana huku walikuwa na zigo kama lote lipo stuck! Nikaliuza fasta fastaaa! Nikapeleka pesa yao yote! Yule nikamtunzia familia yake!
Nikaitwa kuongea nao mezani sasa! Mimi ndo nasikilizwa nataka nini! Nikawachana tu nipo in a wrong connect! So siwezi kuwa fron ku lainch operation! Ila future ipo! Nikawapa vision ya Cos wakajaa wakanipa baraka zote! Plan langu ndo nikamchagua Hans awe partner! Na nilishajua anmla yule mjeda! Mambo yakaenda fresh!
Automatically connect ya huku biashara ikawa mbaya mbayaaa! Ikafa natural death! Bro akabakia china anauza unga huko huko mdogo mdogo! Nikaenda kwa Hans kumuomba riziki! Asistuke tu! Akaninyimaa mchongo! Akawa ananipa unga wangu kwa mkopo! Wanaume wote wangese tu! Bora navopenda wanawake!
Hans akaanza choko choko kwa waturuki! Kazi yote anafanya yeye kwanini agawane 50% Mngese sanaa yule ! Mimi ndo master mind! Kwa ujuzi gani wa unga aliokuwa nao wa kumtoa Ghost in business? Shwainiiii! Nikaa na waturuki mezani nikawaambia sikilizeni i want to change partner! Wakangaka! Connection ya jeshi vipi? Nikawaambia nitatafuta ingine! Wakawa wana mashaka! Sanaaa!
Hans nae anakichocheaa na yeye hanitaki mimi kama partner wake! Huku Ghost anafungua kanisa arudi na speed ya 4G! Palikuwa patamu!
ITAENDELEA