Weekend story! BEN 10

Weekend story! BEN 10

Hahaha Aisee Sam kapatikana " tatizo lake anapenda Sana " chini
 
Lara shusha mzigo nakuahidi ntakupa iyo amarula samaki samaki chagua siku ijumaa mpaka jpili ila ela situmi
 
Hahahahhaaa.. tumuombee fanani asituache na utamu katikati. Inshallah ataimaliza.
Fanani mjanja mjanja, ratiba zake mpaka pepo liseme andika ndo anaandika. Juzi nilianza kusoma kuna story hakuimalizia, iliishia pazuri sana. Hii kuisha ni majaliwa pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom