The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,059
Sio kuniita ita bureee! Fanya mpango WA AMARULA! ndo maana humu jf sipatikani Bwana!
KLM ondoa shaka. Mambaaaa wameshatulia sasa.
Sio kuniita ita bureee! Fanya mpango WA AMARULA! ndo maana humu jf sipatikani Bwana!
Kumbe mambo ni huku thanx mama la mamaIgweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Jamani msinichoshe, nisiwachosheee, nilipokuwa hamna mabaya sanaa wala memaa sanaa, na najua hamnijali sanaa kutaka kujua. Tupeane story.
Story iliopita sikuimalizia bila sababu za msingi kiukweli. Na sitoimalizia sababu isha expire.
Kilichonirudisha kuandika story si kingine ni njaa zangu tu, na my one and only sponsor of all times, MAN OF THE PEOPLE (MOTP) nimempiga kizinga sio cha kitoto, alivo firauni ananizungusha zungusha tu. Mpaka nakaribia kususa. Hamna hamna nimejiongeza mjini ya bure salamu tu, nimuandikie bonge moja ya story akiwa in mood nimchune mie.The hustle is real. Jamani wabeba box wote hamnioniii? Mnisambazie ma western union.
I promise hii story nitaimalizia. Kwanza fupi.
BEN 10 NI FIRE!
JAMANI SI KWA MUALIKO HUU! Nimefanya tu sampling ya comments za readers wangu kwenye stpry 3. Kama nimekuruka bahati mbaya. Ila sitopenda mmiss hili vunja jungu
hee bi mkubwa una kelele ka vuvuzelaAH KULAAALECK WALLAHI!
Lindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Kaaama nakuona unavyokata tequila hongkong!
Mshenzi wewe kuniliza mimi kumbe umempaka paka mtu lipstick zako!
AHAHHHAHAHAHA AF KUNA MTU ANASEMA lara 1 alipwe na bongo movie!
weeeeeeeeeeeeeeeeeh!
HAKUNAAA, acha hizi hizi huruma anazotufanyia za amarula!
HAKUNA MTU WA KUNUNUA HII PLOT!
not HERE!

Pole sam sijui kwa nn nimeanza kukuonea huruma ghafla tu nakuwa upande wako sijui sababu ya Mary amenishawishi nimependa jina la Mary tuNyie mnajitia bahili wa Amarula! Sasa cha moto mtakiona! Mkisubiria Mkinga au lawyer wanunue Amarula hamna bahati! Yaani Hamnaa! Mkitaka story kwa wakati ni Amarula moja tu! Tena anatuma mmoja wenu 32,000 tu! Kwenda namba
BACK TO TOPIC!
Mnajua toka nimepata taarifa Linda kanywa sumu, roho yangu ilikataaa, katu katu! Mnaweza kukubali nyinyi ndugu wasomaji ila sio mimi ndugu msomaji! Linda namjuaaa sanaa! Tena mno mno! If she had anything was her will to live! Sio mtu wa kunywa sumu! Narudia sio mtu wa kunywa sumu tena sumu cheap! She had style in everything! Even if she wanted to kill herself she would have gone for the gun perharps! She loved guns! Aliwahi kuniambia siku nikitaka kujiua nitajipiga ya kichwa! Na hata kama kabadili mawazo kaamua sumu she would have purchased the most elegant expensive poison inayopatikana duniani! Kama bongo hamna angeagiza nje ya nchi!
She taking her life like that sikukubali! Mi namjua huyu ana roho ngumu mnoo mnoo! Naweza sema mi namjua kuliko watu wote! And her death smelled on thing FOUL PLAY! Nina uhakika Linda haja comitt suicide ila kauwawa! Linda hata angeshindwa maisha vipi willingness yake ya kuja kunikomoa isingemruhusu kurejesha jezi kireja reja vile kwa kocha! Mnaweza kudhani Linda kufanya hivo ningefurahi na kushukuru Mungu ila sio hata kidogo! Ndo kwanza woga umenizidi! Kama kampoteza Linda ki MAFIA hivo mtu wa caliber ile tena bila kuacha hata chembe ya ushahidi! And some how i had a feeling this mudder had a connection to me!
Baada tu ya lile tukio tu nikaajiri mpelelezi wa kujitegemea! Anipelelezee ilikiwaje na aunganishe dots! Ikaonekana ushahidi mkubwa upo kwa Kyle maana ndo alikuwa anaishi nae mpaka umauti kumkuta! na Kyle toka nimzingue siku ile na maswali ya Hans sikutegemea support yake! Ila nilimpigia!
Nilipiga namba yake mda sana ikawa haipatikani! Siku tu kama bahati nikaikuta hewani, Nikamwa!bia tu kwamba kuna possibility ya mudder hapa sio suicide! Akasema Sam ushaanza kuwa panaroid! Mudder ipi? Nani amchukie Linda? Hakuwa hata na shilingi 10 tulikiwa tunadanga wote 4040! Wewe guilty concious inakutafuna! Nikamwamvia hapana naangalia tu oddsnaona hazijakaa sawa! Akasema hamna Sam! Linda is gone! She is not comming back! Try to accept those facts. Ni maisha tu Sam mwenyewe niko few millimeters na kunywa sumu! Unaweza sikia na mie bye bye!
Sikuwa convised! Huku na huku mpelezi akaja kugundua Linda alikiwa anamuona psychatrist aka Shrink kwa siri sana! Alikuwa regency huyu bwana! Kumpata haikiwa rahisina kumfanya a devulge information za patient wake haikuwa rahisi kabisa! Ikabidi mimi nijisajili clinic yake kama mgonjwa wa akili! Nikampanga sanaa kwamba nauona mzimu wa Linda ambe ni x girlfriend wangu! Huku na huku akajikuta anachanganya madesa akaniambia hata yeye hafikirii Linda kajiua! Mpaka misho Linda was convised she was could get a new identity! She was certain about this! Aka ana hisi Linda faked her pwn deathto geta new identity and return to her old life!
Ndo nikazidikuamini ku a kitu kikubwa hapa kimejificha! Nikamwamvia shrink, Linda died bankrupt! Hana hata 100alikuwa ana danga 4040! Akasema siokweli! Kudanga ni uchizi wake huo wa kuamini anaweza kuacha maisha yakeya zamani na kupata mapya! Linda amefariki ameacha mali nyingi sanaa! Kama siamini nimuulize mwanasheria wake aliemtoa jela! Ndo mwanasheria wakempaka mwisho! Niloshangaaa sanaaa! Shrink alikuwa ananiambia haya ili kuniokoa nisjiue! Alishampenda Linda afu mambo yakawa ndio sio!
Bikamtafuta lawyer wake! Alithibitisha Li da kaacha mali nyingi sana! Na nyingi katiya hizokamuachoa baba yake mzazi na chachekamuachia mtu anaitwa Kyle! na mwanae Linda! Anawatafuta sanaa! Amemtafuta mnoo bila mafanikio! Nikamwambia namba yake ninayo! Sahivi in a patikana! Nikamuuliza mpaka mwishokama Linda alikuwa na mpango wa kujiua? Akasema hapana! Kama angepanga kujiuaangekuja kubadilisha wosia! Ila mara ya mwisho kubadilisha wosia ni alipokuwa jela kabla ya huku yake!
Nilimtafuta Kyle nikamuunganisha na mwanasheria wao, akapatiwa Appartment, shamba la heka 100 na frame kariakoo! Hivi marehemu alimua dikia Linda mtoto wa Kyle mpaka atapofikisha miaka 18! Hakuamini alilia mno mno! Akasema yani Linda ana nitunza hata baada ya kuondoka duniani!
Nikazidi kumuaminisha Kylekama Linda hajafeli maisha basi ile note sio yake! Akasema nimuandiko wake lakini! Naujua hata usingizini! Nikamwambia may e kalazimishwa aandike! Akasema pengine! Pengine tinakuza mambo haya! Mara nibadilikie Sam umemnyanyasa sana Linda akiwa hai, muache apumzike kwa amani!
Nikaja kugundia Linda was also abusing drugs kwa siri mnooo! Na supplier wake mkubwa alikuwa Hans! Nikamface Hans kwa mara ya kwanza toka waniambie na Kyle wanapendana! Hans alikuwa shakomaa sasa sio kitoto tena! Ana roho ngumi balaa! Akawa hataki kutoa ushirokiano kwangu, nikamwa!bia basi kama hivo namwambia Kyle kwamba ulikiwa unamuuzia Linda unga! Akaamua kutoa ushirokiano!
Kikubwa alochodai ni kwamba Linda mwishoni alidataa! Maana alikiwa anaagiza dozi nene na alikuwa anaivuta fasta fasta! Kama kuna kitu kilikiwa kinamsumbua sanaaa! Sikuweza kupata issue yoyote ya maana toka owa Hans!
Mpelezi wangu nae alifeli maana ile nyumba wa washa hama anakaa mtu mwingine, na kwenye file lake police washaandika suicide! Kyle nae hakiwa msaada wowote! Nikajua tu noshwekwa wanted! Mjini hapa! Nilikata tamaa kabisaa! Maana kweli kauwawa ila ushahidi hamna kabisaa!
Nili imarisha ulinzi kabisaaa! Nikaongeza ulinzi kwangu balaa! Mpaka bar niliongeza ulinzi! Ulipitamwezi wa utulivu na amani kabisaa! Mpaka nikanza kuamini nimekuwa panaroid kweli! Huku na huku siku hio narudi nakuta mbwa wote wamekufa! Nikajua tayari! Kuwapima wamepewa simu!
Sikutaka kungoja nikampigia mjeda! Kikibwa ni woga tu ulinikumba ndugu msomaji! Nilichanganyikiwa! Nikajua yule na ma combact skills yake ataniokoa! Nikamwambia tu I miss you! Hapo mda sanaa hatujawasiliana tangu kipindi cha kesi! Akasea mi nipo! Nikamwambia uje basi bar! Akasema poa!
Alivokuja kikubwa nilimwa!bia tu ukweli Linda kauwawa and my life is at risk! Akaniambia Sam unakuwa panaroid sababu ya guilty! Linda wanted to mudder you! Hutakiwi kuwa guilty! Hizp ni illusions, you are seeing things cause you made those things up! Mi niko kozi, ill protect you!
Nikamshukuru kwa wema wake! Ila i was still panaroid naota usiku! Mara namuona annitokea! Maisha yakawa magumu sanaaa! Mjeda akasema inabidi tutafute mtaalamu Sangoma afanye dawa asikutokee tena! Mimi sio mtu wa shirki ila ikabidi nikubali tu! Nifanyaje sasa ndugu msomaji!
Haikusaidia kitu kabisaa! Ikabidi nikimbilie kanisani! Sio kwamba naamini sana mambo ya kanisani ila i was desparate! Na kufika tu mchungaji wakati wa kutoa unabiii! Akaniita! Akaniambia naona roho ya umauti kubwa sanaaa inakuzunguka! Kama alijuaaa! Kidogo nimwambie tawireee baba tawireeee! Akanifanyia maombi mazito pale! Kidogo nikaanza kupata amani!
At this point i re evaluated my life, nikaona maisha nayp ishi sioo sioo! Nilihitajika kuoa, kutulia na kuwa na familia! Huku kuruka ruka nitakufa kweli ndugu msomaji! Nikawaza nitafanya nini nikakosa jibu! Maanake maosha yangu kidogo yalikuwa mtihani!
Ndugu msomaji pamoja na kukaa na Kyle miaka 10, hio miaka kumi nilizaa na wanawake wawilo tofauti! So nina watoto wa 2 tayari! Na kuzaa kwenyewe ni kama bahati mbaya ila kitanda hakizai haramu! Na wanawake wote nilikuwa nawapenda balaaa, mpaka kujiiba kwa Kyle kuzaa nao, the love was deep! Ila kama ilivokuwa wa kwanza hata wa pili wakisha zaa tu baaaaas! Siwataki tena! Kama pepo ndp limemtoka mtu! Najilaumuuu na sioni kwanini kuwa na mtu kama yule! Kama nimebugi step!
Ukute Kyle nilodumu nae cause hakunizalia! Or maybe ndo lifetime woman wangu! Cause pamoja na yote i always came back to her! Huu uha isi niliomfanyia Linda ni kawaida yangu! Kuchepuka ni asili yangu! Niko na Kyle nachuka na Linda! Ilimradi!
Kylenae sasa hivi file lake lilikuwa chafu sanaa! Afu mimi umalaya nifanye mimi akifanya mwanamke nashikwa na kinyaa kibaya sana! Hapo ashazaa na Hans, lile toto lipo na kama nikikuoa inabidi nililee mimi! Wanangu wanateseka huko kwa mama zao afu nikae nalea toto la mtu! Thubutuiuuuui! Pia ashakaa unyumba na Ghost kabla Linda hajamuachia urithi! Pia Lawyer wao yule nae siwaelewi elewi Afu kuna mwarabu wa shelli nishamuona nae mara kama 3 anadai wanafanya wote viashara ila uso wake sio wa kibiashara kabisaaa! Amekaa kimaluuni maluuni! Kiukweli huyu sio mke! Kabisaaa! Ni pressure na kisukari!
Pia nikawaza huenda mimi ndo bimesababisha awe hivo! Labda tungekuwa qote haya yote yasingetokea! Ila hapana yeye ndo aliniacha mimi, sasa hapo mi nakuwaje wa kulaumiwa ndu msomaji? Nikawaza labda nichague kati ya baby mamas wangu wa zamani, hamna hata mmoja biliekuwa na stimu nae kabisaa kabisaaa!
Nikawaza au mjeda, ila hapana! Ile nayo ni pressure na sukari part 2! Kwanza ni mbabe, pili simpendi tu bila sababu! Tatu sijamsamehe kutoa ushahidi upande wa Linda not that nilitaka Linda anyongwe ila nikajua ni mtu asie aminika kabisaa!
Nikakata shauri nitafute tu mwanamke mwingine mpya nimuoe! Kutafuta wanawake wa kuwafanya sio kazi kabisaa ila kutafuta mke ni kazi kweli kweli! Ndo maana mda mwingine mtu anawapa hii kazi wazazi wake tu ajue moja, watakaemleta ndo huyo huyo baaaas! Ila niliendelea kutafuta!
Huku na huku nikampata mwanamke kama Linda! Mpaka nikaanza kumuogopa kujua labda Linda karudi tena kuwa mzimu! Ka ma nisongekuwa nimempata kupitia rafiki yangu na hamjui toka kitambo ningejua ni mzimu wake!
Nae mzuriiii hivo hivo! Ana akili nyingi hivo hivo! Ana biashara zake kubwa kubwa! Kiukweli nilimpenda sanaaa! Nikamwambia mjeda nimepona sasa rudi kwako! Alisikitika sanaaa ila akaniambia Sam nakupenda ila wewe hunipendi! Sawa lakini!
Kikubwa huyu mwanamke nimewaambia ni smart, anataka kupajua kwangu, anataka kuwekwa DP, anakuja bar pale kuchunga mzigo! Akanitambulisha kwao na mimi nikamta!bulisha kwetu! Rukawa official! I was moving fast ndugu msomaji!
Ndugu msomaji amini usiamini nilishanunua hii sehemu ya bar, maana mwenye nyumba alifariki akaacha mtoto mmoja marekani! Akaniamvia hana mpango wa kurudi bongo so nimlipe hii nyumba kidogo kidogo! Na deni nikawa nimemaliza, mwezi huo huo!
Nikawa nimekaa na mtarajiwa wangu sasa ambae ni Mary akanishauri tujenge kwanza mnara! Huu mnara utakuwa kama stoo pia kuwekea brand yetu! Huo mnara ni kama ghorofa 3! Ila ukubwa wake ni kama upana wa chumba! Na ni ngazi kupandisha juu tu!
Nikatafuta contractor! Kampuni akaja mdada nyoko sanaaa kusimamia hio project! Mtoto mdogo tu nadhani fresh from school! Daaah! Nikajua ugonjwa wangu siponiiii! Nikaanza kumnyapia nyapia kama masihara! Ugumu Mary ana banaaa! Mda wote yuko hapo bar ila mzee baba sikushindwa!
Huyu Engineer Lona toto la kimbulu lilikuwa limekolea kwangu lenyewe tu! Ikawa kama kumsukuma mlevi! Tukaanza kimya kimya ghafla mara tume kiss site! Hivo yaani! Mechi za kimya kimya!
Mnara ulipo ni mbali kidogo na bar na hakuna umeme bado so usiku ni giza totoro! Siku hio Lona hakuondoka, na mimi kila nikpinga mipango ya shetani ya kumla nafeliii! Roho inanitoka! Nikiwaza namlaje Mary asistukee, nikaona ni mnara tu hamna namna nyingine! Nikampanga kabisaaa tukafanyane kwenye mnara akajaaa!
Style yangu ile ile mtu anainama fast fasta tunamaliza mchezooo! Ama nene! Toto la kimbulu zuri jamaniii! Jeupeee! Mpaka gizani naliona! Nipo kwenye round ya pili Mary huyu hapa! Daaaaah! Hasira zake akakimbilia juu! Ni kamwambia Lona kimbia hapa usigeuke nyuma yashakuwa makubwa! Akasahau mpaka chupi yake! Babahati nikaiweka mfukoni!
Nikamfata Mary juu! Nikakuta kasimama juu kabisaa anataka kujitupa chini! Ofcourse nilijua anatishia maana mda wote mpaka nimepanda ngazi baada ya kumtoa Lona bado tu hajajitupa anangoja nini sasa? Sipendagi ujinga! Ila nikamwomba msamaha! Anafoka Sam unataka kunidhalilisha! Vikao vimeanza kwetu! Unataka kunivua nguo? Namwambia hapa mi nimedokoa tu, uroho nothing serious! Sasa akawa kasimama pembezoni kabisaa mwa ukuta! Nikawaza huyu tukitoka hapa lazima nimchape makofiii!
Nikaendelea kumbembeleza yaisheee! Wapiii! Anakomaa bora tu nife nitaweka wapi sura yangu! Namuuliza mama yako umemuaga lakini! Bora kama kuruka mpigie simu kwanza! Analia kapaniki! Mara Paaaap kikatokea kishindo kikubwa sana kwa nyuma yetu! Kabla sijageuka kuangalia ni nini Mary kateguka baada ya mshtuko wa kile kishindo chini chaliii!Toka ghorofa ya tatu!
Nilijua nimekwishaaaa! NiIikaa pale lisaa lizima najishauri au niende Hongkong fastaa maana ni visa free wakiukuta huu msala nipo long gone! Ila nikasema kwani nimeua? Hapana! Ni ajali! Nikawapigia wafanyakazi wangu wakaja! Ilikuwa msiba mzitooo!
Wakaja polisi wakanibeba! Na kuondoka na mwili! Nilijua itakuwa issue kubwa ila sio sana! Weeeeeee! Kumbe wakwe zangu wana pesa ndefuuu! Wakakomaa nimemuua mtoto wao kwa pesa! Waka over rule posibility ya suicide na kutaka mudder investigation! Waka hire wapelezi wa kujitegemea! Nilikaa ndani ndugu msomaji! Nikafunguliwa kesi ya mauaji kwamba nilimsukuma!
Na kesi ilikaa vibaya sanaa sababu kumbe Mary ana life insurance kubwa mnoo mno! Akawa kama wiki mbili nyuma tulivoanza vikao akaniweka mimi kama benefactor akipatwa na chochote! Kosa! Hio ndo motive walionipa ya kumuua!
Nikiwa ndani alikuja mjeda kuniona, akasema nimekuja kukuaga! Sitaki tenaaa tujuane! Una gundu! Kila mwanamke wako ana kufa vifo vya kutatanisha ushaingia kwenye makafara ya biashara sitaki kabisaa! Na bar naichukua mimi, Linda alinipa 60% ya shares zake zote! Wewe huku hutoki leo wala kesho! Dunia duara! Niliumia sanaa nikaamini kisicho riziki hakiliki!
Nikiwa segerea alikuja Kyle na wengine wengi! Mpaka Mozah ambae hakunisemesha tangu msiba wa Linda na kunichamba wazi wazi msibani nimekosa haya nimemuua marehemu afu nahudhuria msiba! Akaniambia sasa roho yake imeridhika haki imetendeka! Na Linda atapumzika kwa amani!
Maisha yangu yapo hatarini ndugu msomaji! Nabambikwa kesi ya mauaji! Sioni pa kutokea! Bar nimezulumiwa! Ila Mungu wa ajabu sana! Huku jela nilikuwa napata treatment za VIP bila sababu! Mkuu wa magereza anasalimu mara kwa mara! Askari wenyewe wana niheshimu kama mfungwa wa kisiasa kumbe hamnaaa! Nimeokoka na kuwa mtu wa ibada sana! Nipo huku naoza tu, na kesi yangu ilipangwa ianze kusikilizwa mwezi ujao!
ITAENDELA USINGIZ IUMENIZIDI
Safiiii, goes around comes back around.... Mjeda na yeye atakomeshwa asidhani mambo yanaenda kirahisi tu jasho la watu hilo.Nyie mnajitia bahili wa Amarula! Sasa cha moto mtakiona! Mkisubiria Mkinga au lawyer wanunue Amarula hamna bahati! Yaani Hamnaa! Mkitaka story kwa wakati ni Amarula moja tu! Tena anatuma mmoja wenu 32,000 tu! Kwenda namba

AHAHAHAHAHHAHAHHAHHAH!hee bi mkubwa una kelele ka vuvuzela
Sipat picha ukiwepo home,unasikika wewe tu![]()
AH KULAAALECK WALLAHI!
Lindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Kaaama nakuona unavyokata tequila hongkong!
Mshenzi wewe kuniliza mimi kumbe umempaka paka mtu lipstick zako!
AHAHHHAHAHAHA AF KUNA MTU ANASEMA lara 1 alipwe na bongo movie!
weeeeeeeeeeeeeeeeeh!
HAKUNAAA, acha hizi hizi huruma anazotufanyia za amarula!
HAKUNA MTU WA KUNUNUA HII PLOT!
not HERE!
TEAM LINDA!Mary, Mnara, choice ya engineer, kishindo kile ni setup ya Linda.
Na anachukua bar yake.
manake we vuuup mnara!Mary, Mnara, choice ya engineer, kishindo kile ni setup ya Linda.
Na anachukua bar yake.
Kumbe na wewe mdau huku, niambie uko timu nani?
Kwamba Mary hajafa?
Hahaha hapo Sam ameingia cha kikeHajafa...
Hahaha hapo Sam ameingia cha kike
Amesema alimpa asilimia 60 za hisa sasa zinazobaki si zinakuwa zake Sam au sijaelewaKama umenote mwishoni hapo kuna mahali inaonyesha Sam kapoteza Bar, maana yake Linda kachukua mzigo.
Amesema alimpa asilimia 60 za hisa sasa zinazobaki si zinakuwa zake Sam au sijaelewa
Na mimi ndicho nilichosema boss bado sioni tofauti au nieleweshe labda"Nikiwa ndani alikuja mjeda kuniona, akasema nimekuja kukuaga! Sitaki tenaaa tujuane! Una gundu! Kila mwanamke wako ana kufa vifo vya kutatanisha ushaingia kwenye makafara ya biashara sitaki kabisaa! Na bar naichukua mimi, Linda alinipa 60% ya shares zake zote! Wewe huku hutoki leo wala kesho! Dunia duara! Niliumia sanaa nikaamini kisicho riziki hakiliki!"
Mjeda alipewa 60% na Linda, then most probably Linda kuna mahali kakaa na mjeda wamfanyie Sam.
All in all, Linda is claiming her territory.
Na mimi ndicho nilichosema boss bado sioni tofauti au nieleweshe labda