- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,088
- 10,558
Wangemkuta kitandani keshasaula hana habari.Ki
Kieleweke kwa hio aingie kwenye 3 Some!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ilibaki kidogo niwe team Sam, ila Sam akaendekeza ufala. Nasubiri episode ya mjeda, najua Sam ana karma yake inamsubiri.
Acha niwe team Hans japo nae utoto mwingi.
Kazi kwako kutukaanga!