Kiukweli kabisaa kabisaa nilienda kwa Ghost sio kwa kutaka! Hapana ni kwa kujua maisha ni mafupi mnoo! Bora kama nakufa nife kishujaa! Kuliko kufa kama Linda! Amelala pale kitandani haijui jumapili wala jumatatu! Hajui jua linakuchwa saa ngapi wala linazama saa ngapi! Hajua lolote! Duniani hayupo akhera anatafutwa!
Mi nilienda kwa Ghost kutafuta maisha, kutafuta kazi! Nilikiwa kwenye angle ya maisha ambayo inabidi kushirikiana na adui kujiokoa! Na ndio siku nilimsamehe Hans toka moyoni kwa kujua sio wauza unga wote ni tamaa! Wengine ni njaa tu! Naahidi nikimtia machoni nita shake hands nae kabisaa! Naweza hata kumpa Hug!
Nilitafakari sanaa, nikidanga nitakufa na UKIMWI, nikibeba Unga nitafunwa! Bora kufungwa kuliko kufa! Ndugu msomaji UKIMWI ni kifo! And i was notjust cut in that way! Kukaa kokea onsultsza mwanaume ndo anipe pesa ya kula! Aaaah thubutuuuu! Nikasema No sweat naingia front!
Kwa Ghost navomjua mimi nilijua hawezi kukubali kirahisi rahisi! Ila na mimi sikupanga kukubali kirahisirahisi! Aligoma kabisaaa kabisaa kunipokea! Nikamwambia sasa mi namwanangu hatuna pa kwenda! Linda kajiua kule, walau alikuwa jasiri to take her own life! Ila mimi sina ujasiri Ghost! Naomba niuekama vipi afu nilele mwanangu, hata ukija kumfanya punda sio kesi kashaonja onja maisha! Do me a favor kill me now, mimi nakuomba kazi hii cause najua kazi ya kifo, kwa hio naomba nafasi ya kufia front! Ukininyima basi we nitwange risasi just one to the head! Mimi binadamu mwenzio nakupigia magoti yamenifika!
Weee msizanie mwepesi yule! Akagoma! Ila akaona watu machozi yanawatoka wananihurumia na mwanangu! Akaona aibu kukataa pale, wati washakuwa emotional ndo akaamua kunipeleka kwake ! Mi sikujali sana anataka kunifanya nini maana at this point it didnt matter! Anile kibogaa, anile kwapa! Anile K! Mi nishajikatia tamaa! Nishajiandaa kisaikolojia Ghost ni MAFIA! Nikawaza asingeshindwa kuniweka kwenye banda la mbwa na mwanangu! Nilikiwa bishakata tamaa kabisaa! Mibishajipanga kujishusha mpaka basi ila nikawaza mtoto asije nifelisha maana hawa malaika hawajuagi nafasi zao wala za mama zao!
Nimefika kwake ikawa tofautiii! Ananiita mezani kwake, nile meza moja chakula anachokula yeye! Anambeba mwanangu! Ananisemesha kama mtu vile! Unajua wenye nyumba wengine hakusemeshi, haagi, ila akitoka ananiaga mama natoka! Akirudi mama nimerudi!
Mda mwingi nilikuwa nakaa na Tina! Nafanya kazi kama yeye! Ananikataza, sasa nishakuwa panaroid, najiona siwezi, namuona kila mtu ana haki kuliko mimi! Akaanza Da Tina chokochoko!
Hivi wewe humtamani Ghost ananiuliza! Nikasema hapana! Akauliza kwanini? Nikasema mimi maisha yashanila kibogaaa! Kupata riziki tu ya kula ni jambo kubwa sanaa! Sipo kwenye Neema hizo za kutamani vikubwa! Akaniambia kibinadamu kuna ndoto, huna ndoto za kuwa nae? Nikasema hapana, nitajiumiza tu moyo! Mi nishazaa na kijakazi wake mchafu! Nishafungwa jela, Nishadanga sanaa! Sina kitu, Ghost hawezi kutaka kuwa na mimi! Ghost mzuriii, ana pesa zake,neema kama zote! Atataka mtu wa caliber yake! Maybe boss mwenzie, au mtoto wa mwanasiasa au mtu mwenye manufaa! Mi hapo kina kirefu! Nitazama!
Akaniambia hapana! Nyie hamumjui Ghost! Ghost is a very simple man! Mtu wa kawaida na anavovipenda vya kawaida! Kama ukimpenda kwa mali kama wanawake wengine atajua tu! Ila ukimpenda genuine toka moyoni utampata! Niamini mimi! Nikamwambia Da Tina mimi kwa sasa moyo wangu ushakuwa jiwe tena jabali! Simpendi mtu yoyote, hata nafsi yangu sijipendihata mwanangu simpendi juzi nilikuwa namkabidhisha kwa Ghost! Nitakuwa muongo!
Akaniulizakuwa punda wa ghost au mwanamke wa Ghost kipi kwako kirahisi? Fikiria kwa makini, Ghost anakutia tu madole,in return atakutunza vizuri na mwanao, na Ghost wanawake zake hawapelekagi front hata aiku moja! Mi nakupa mbinu kama unamjali mwanao kupalikupigwa madole, uishi kwa raha na umlee mwanao! Ukikaa vizuri Ghost ana mu adopt dogo huyu! Kosa ai kujosea! Kosa ni kushindwa kirekebisha makosa! Tafakari!
Nikawaza sanaaa! Nikaona kama Da Tina ana mantiki hivi! Kama picha inakujaa kuja! Nikasema najaribu kwani nikoshindwa so basi! Kwanza simpendi so sio kwamba akinishushua nitakuwa naumia roho au vipi! Itakuwa tu game of lies! Na kweli madole yanavumilika! Nijiongeze sieti ndugu msomaji! Kwanza shoga, sidhani hata kwenye list ya wanaume wako shoga unatakiwa kumhesabu! Ile kama goal kick tu!
Huku na huku nimepiga nae mechi,mechi hafifu tu! Sikuwa na stimu nayo kabisaa! Kiukweliii! Nilishangaa tu kwamba ni rijali mngese huyu! Mechi kwa kiasi kikubwa nilikuwa kwenye mstukoo! Bado Hans kiboko yao woteee nakumegea tu ndugu msomaji! Siri yako lakini!
Alikaa wiki mbili haji! Nikawa najitanua pale! Akaja kurudi! Akawa busybusy afu ananipotezea kama hatujawahi ku do! Na mimi nika mute! Mi mtu mzimaa! Afu simfeel kabisaa! Maybe because he killed my cousin! Maybe! Ndio mzuri ana peaa ana kila kitu ila mimi walaaa! Hanas alikuwa hana hata kumi ila nikimuona nalowa chupi! Maybe na mimi sip mpenda wanaume wwnye kitu!
Karudi akabiambia inabidi twende hospital! Nikauliza kuna nini? Nilisikia panga limekata tumboni paaah! Akasema kumuona mgonjwa! Nikamwamvia Ghost kamamkafa niambie? Akaniambia hajafa! Nikawa naenda komshaka mashaka! Mtoto alimuacha! Maybe alidhani nitatoroka! Angejua siku nikitaka kutoroka namuachia mtoto vizuri! Mchawi mpe mtoto akulele!
Tumefika, nikawakuta ndugu zake Linda! Nikaanza kutetemeka! Ghost akaniambia yupo twende ukamuone! Naenda kwa kusita sita! Linda was alive but still helpless! Bado yupo kwenye mashine! Haja imrove hata nukta! Nikashusha pumzi!
Akaja baba yake akaniambia Kyle muage mwenzio vya mwisho, leo tunachomoa plug! Na wanavosema ma Dr, tukichomoa basi! Nikaka kwanza chini! Nikasema No! Akasema ndo uamuzi wa familia! Atakaa hivi mpaka lini! Sisi tumeumia ila tumekubali bora tumruhusu akapumzike! Hivi anateseka sana! Nikasema Noooooo! Siwezi kukubali! Baba akatoka nje!
Namwamvia Ghost please do something! Please! Akasema siwezi! Familia imeamua, na istoshe i think ni bora umruhusu aende kama kunamaisha upande wa pili,yatakuwa bora kuliko hiki kitanda na hizo machine kila siku! Hata akirudi atakiwa ka paralalyse atateseka zaidi!
Nililia sanaa! Nikajiuliza why? Hata hakunigusia! Maana wanaojiua wanasemaga hata kidogo! But why? Kwanini? Sipata jibu la moja kwa moja! Ila kutolewa plug sikukubaliana napo! Wakasema saa 10 ndugu wote watakuwepo kushuhudia ikichomolewa! Na mimi nikatuna pale!
Walikuja watu wengi sana! Mpaka Sam! Mpaka Hans! Tulisalimiana vizuri kabisaa, akanipa mkono wa pole! Akamsalimia mpaka Ghost! Wakazungumza mda sanaa! Akaja kuniuliza mtoto anaendelejae? Nikamjibu poa! Akauliza mko wapi? Nokamwambia kwa Ghost! Akasema nataka kuja kuwa namuona mtoto wangu! Nikamwamvia karibu! Akashangaa mbona umenisamehe kirahisi kuna nini?
Nikamwambia life is too short kufanya mabeef! Si unamuona Linda pale? Akasema kweli aiseee! Alikua Mozah! Mpaka wale wa law firm walikuja! Saa 10 akaja mchungaji kumuombea! Kila neno liliniingia mwilini! Saa 10 na dakika 48 wakachomoa plug! Nilikufa ganzi! Saa kumi na moja kamili vikaanza vilio rasmi! Nilizirai!
Nastuka saa 4 usiku, niko kwenye gari la Ghost! Niliishiwa pumzi,nguvu, kila kitu! Msiba ukawa kwa baba yake Mikocheni! Ila ana mke mwingine sio mama yake! Mi ndo nililia sanaaa! Sanaa! Ghost nimemshika mkono! Chooni anaipeleka na mlango sifungi! Kiukweli katika maisha yangu sitakaa nisahau uwepo wa Ghost pamoja nami kwenye huh msiba!
Kesho yake wakawa wanazika! Mda wa kuaga nilizimia tena! She still looked so beautiful! Linda was gone forever! Basi namkumbuka jela, namkumbuka 40/40 namkumbuka Sinza! Aiseeeee!
Baada ya mazishi, akaja Hans kuniomba namba, nikamwambia sina simu naishi kwa Ghost, ukipiga kwa Ghost utanipata! Akaniambia chukua namba zangu ukipata simu nipigie! Nikazishika kichwani! Nazijua ndo zile zile za miaka yote! Jioni tukarudi kwa ghost!
Sikai peke yangu, siendi hata chooni peke yangu! Msiba uka ifanya niwaze kujiongeza kwa Ghost mara 10 zaidi maana niligundua sipo tayari kufa hata kidogo! Inabidi tu kupambana na kufosi kingi ikibidi!
Mda wa kulala nikajiwagisha chumbani kwa Ghost! Nimemlaza mwanangu nikajilaza! Akaja akasema nisingekukuta huku ningeshangaaa! Unajitia mbabebee unaogopa giza! Unaogopa misiba! Kyle you so soft! Nikasema ndio baba!
Akalala zake! Mimi usingizi haujiii! Namuamsha Ghost? Anauliza nini? Namwambia kama kuna mtu humu ndani! Ananiambia huo woga! Na woga kweli! Nikamwambia basi naomba tupige mechi! Ya kirafiki tu! Usiihesa u kama mechi ila kama panadol! Navojisikia labda mechi ndo inaqeza kunirelax!
Anasema hio itakuwa kutake advantage of you! Namwambia i am okay to be taken advantage of! Please! Naomba unifanye! Please! Akase!a hio ni turn off moja wapo! Na yeye hawezi kulala na mtu katika pressure namna hio! Nikavua nguo zote! Bado hastukiii! Linaringa hiliii!
Nikamwambia ngoja basi mi nikatafute nje mwanaume yoyote anaesimamisha anilale tu! Nashikwa uchiziii! We si hutaki kunisaidia! Sio kesi! Akasema nenda! Nikachukua taulo nikajifunga! Nikatoka nje! Nikamkuta kijana mmoja anaitwa Halfani nikamuita Alfaniii! Akaja bee dada! Nawaza namwambiaje sasa nikasikia akendelee na lindo! Ghost katoka mwenyewe! Nikarudi chumbani!
Akauliza ndo nini? Nikamwambia Ghost nakumbuka mambo mengi kwa wakati mmoja ya kutishaaa! Nitazirai tena! Nimechoka kupoteza fahamu ile ninusu ya kufa! Naogopa nikipoteza fahamu nitapitilizaa! Akase!a na mimi sina stimu Kyle! Kukulala sio kwamba nina switch najiwasha tu! Maybe lets talk first!
Who are you Kyle, what do you like in men? Nini mtazamo wako wa maisha? What do you want to do! Nikamwambia mimi i am an inocent lady, niliepoteza muelekeo, now i am stuck with a man who doesnt want me, nimeza na mtu ambae also he doesnt want me! So niko kwenye mvurugiko! Maybe i am not a good person! I am not a good person Linda was always there for me, but i was not there for her! I just hope siku Ghost ukinihitaji i will be there for you! I just hope so!
Akaniuliza do you want me Kyle? Why? Nikamwa!bia maybe i am stupid! I have always been stupid! My choice of men has always been questionable! We hata mtu nilizaa nae wa kuzaa nae mwanamke mwenye akili zake timamu? Akanikumbatia!
Nikamchomekea Who are you Ghost? Na usiniambie mambo ya kikazi! I know who are you kazini, but who is little Ghost? How did you grow up? Nikaona mtu kawa stiff! Akasema tulale! Nikamwamvbia kama hunifanyi tupige hata story! Zishaanza kuni relax! Kama hutaki hio mada, okay nihadithie basi wakati una balehe ulivokuwa unawabutua! Ghost mi sio mwanamke wako, mwenye malengo nae, useme uwe makini! Mimi ni mpuuzi mmoja, i am just wasting my life away! Siku yoyote unaweza kuja ukakuta mashetani yameniZidi nimejinywea zangu sumu! So its not that serious! Leta story hizo! Akaniambia usiseme hivo! Nikamwambia leta story! Huwezi jua story zako zinaweza kuni inspire! Leta story ya kufurahisha!
Akaanza hio story! Siku ya kwanza nalala na mwanamke haikuwa kwa hiari! Alikuwa kiranja hapo nyumbani, i grew up in an orphanage by the way! Akawa ananipa wali mwingi, wali ulikuwa deal! Ananiwekea nyama nyingi! Kila mtu akawa anasema Jane anakupenda sanaa! Siku hio ilikuwa sikukuuu! Jane akaniambia Ghost nataka kukupa zawadi jioni njoo vichakani! Nikajua hapo kama sio fuko la pipi, basi biscuit! Niliwaza vitamu tamu vingi! Jioni nimeenda namkuta peke yake! Namuuliza zawadi yangu! Anasema nataka nikufundishe mambo ya kikubwa! Nikasema hapanaaa! Mchungaji kakataza kufanya matusi dhambi! Akaanza kulia! Nikamuonea huruma! Nikamuuliza tunafanyaje! Akasema panda juu yangu! Nishike huku! Nikawa natetemeka! Hahahaahaaa! Tulicheka wote! Nikamuuliza ulishika nini? Akanifinyaaa! Namwambia badala ufinye ulichoshika, unafinya bega! Akasema ilikua mtiti! Mpaka takafanikisha! Nikajisikia vibayaaa baada ya hapo! Kurudia rudia nikawa naulizia napewa saa ngapi? Heheheeeeee!
Nikamuuliza Jane yupo wapi siku hizi? Akanyamaza na kuwa stiff upya! Akasema tu Dont die be there for your daughter! Liliniingia mpaka kwenye kucha! Nikamwambia Ghost nispokuwepo please please please naomba nilele mwanangu! Nimekukabidhi wewe! Natamaka hapa na kesho naandika kwenye karatasi na kusign! Akasema ana baba yake! Namwambia najua ana baba yake ila ni mngese mmoja tu! Ndo maana nakuomba wewe! Please please najua sina thamani kwako ila muhurumie yule malaika! Usimpe baba yake hata iweje! Hakujibu akajifanya kalala!
Nikamnongoneza Kwani Jane alikuwa mtamu kama mimi? Be honest! Akasonyaaa tu! Kyle huna akili wewe! Wewe ni mwehuuu! Nampamba Ghost kamamulifundishwa mapenzi na mdada mkubwa utakuwa fundi sanaa! Nifundishe na mimi kutiana! Nampapasa papasa! Nikataka kupeleka mkono ikulu aka u block!
Namwambia mbona unanizuia? Kufanyana hutaki hata kushikwa? Basi njoo nikunyonye usikie wewe raha peke yako? Nilikiwa namtegaa pande zote! Namkazia mimi nameza zoote na situmii meno! Pleaseeee! Anatikisa tu kichwa kusikitika! Namwambia Ghost ukiwa na mimi be free acha protoko! Nitafanya nini nishakukabidhi mwanangu! Mimi mateka wako hapo ila kujiburudiaha maater na slave zimo sanaa hizo!
Nampapasa kifua eeh kituoni nani mwingine alibahatika kuishika hii machine niliokatazwa! Nikamwambia basi kama za maloveee hutaki nisimulie ya kutishaaa na huu uoga nijikojoleee hapa hapa nyege zote ziniishe! Akauliza kweli? Namwambia ndo maanake!
Akaniaimulia hapo kituoni kuna mwalimu mtu mzima alikuwa anamtaka dada ake she wa 12! Kumstress amkubali akawa anamnyanyasa! Akamtuma dukani saa 3 usiku kununua sigara na anajua kuna mbwa wakali ile njia! Ghost ikabidi aende badala ya dada yake! Wakati anarudi akakutana na kundi la mbwa! Likamkimbizaaa mpaka kituoni! Mmoja akamrukia na kumrarua mgongo! Akafika kituoni shati limelowa damu!
Kiukweli hio story ilinihuzunisha na kunitishaa! Nikajikuta namkumbatia tu! Mda mrefuuu! Nikamwambia it is okay! Just forgive! Hata mimi niliwahi kubakwa na kaka yake Sam! Sijawahi kumwambia Sam mpaka leo! He is cool with his brother! Nimesamehe! Nimekuwa huru! Nimekaa na Sam 10 years! Nimesamehe Hans na alinipeleka gerezani! Kwa kusamehe siwasamehi wao, najisamehe mimi! Baby na wewe jisamehe! Even for this one night! Achana na mizigo yote ya roho njoo tufanyane kama wangese 2 waliokutana kimakosa tukikomoe kitandaaa!
Nikaanza kumpa mateee! Akajaaa taratibu! Nikajaribu kupeleka mkono tena ikulu aka u block! Nikamnongoneza its me! Msenge mwenzio tuliokutana kimakosa! Niaminiii! Akawa anasita sita akaniruhusu nimshike! Hana maajabu yoyote! Mikwara tu! Akaanza ku relax! Na kupandisha moriii sana n stimu zikamjia za game!
Kweli tulikikomoa kitandaaa kisawa sawa! Mpaka mtoto nusura astukeee! Ghost kukifanikiwa kumtuliza mashetani yake kama mimi nilivopenya leo kwenye saiklojia yake, ni fundi sanaa! Na he is man! Unlike Hans he is boy! Ghost anajua kummiliki mwanamke mpaka unase!a hapaa kweli nipo na mwanaumeee! Show ana control yeye! Anakuuliza baby hapo vipi! Ila ukifeli akakupanda na mashetani umekwiahaa kama nilivokwisha juzi. Ila leonime enjoy show sanaaa tu! Na yeye na uhakika ka enjoy!
Tukalala tumekumbatiana! Nikajua Ghost nishamteka kwenye himaya yangu hachomoiii hachomoiii! Hana ujanja! Asubuhi nimemuandalia chai, anatoka namsindikiza nampa na mate kabisaa! Weeeee nikingangania kupe haoni ndani, luba akasome! Muuliza Sam miaka 10!
Jioni nimempikia mwenyewe! Nikamgonja mpakaa saa 7 hajajaaa! Da Tina akaniaga anaenda kulala! Tangia mchana nampigia simu hapokei! Saa 8 akaja, kaja na mdada! Kwa muonekano tu ni baby wake! Niliumia roho sijui kwanini! Basi tu! Nikamkumbuka mpaka Linda! Nikajikaza kuwawekea Chakula! Wakiwa wanakula nikawahi kumtoa mwanangu chumbani kwa Ghost! Nilijiapiz Ghost akija kuuona uchi wangu labda anibake! Wamemaliza kula nikatoa vyombo! Nikaaga! Na niliaga kusudi nimuangalie tu Ghost usoni uso wake utavokosa haya! Na umekosa haya kweli! Ananishukuru thanks Kyle! Nikamuuliza nimuandalie mgeni chumba gani? Akase!a No atalala na mimi! Yaani siku hii ndo nilimuona Ghost zaidi ya shoga na hanithi kweli kweli! Nikamwambia sawa! Usiku mwema! Dada ashaanza kukaa kaa uchi!
Nikaneda kulala usingizi haujiii! Nikaenda kuchukua simu ya Da Tina kwa kuivizia nikaanza kumtext Hans! Mi Kyle nipigie! Akapiga! Tukasalimiana akaniambia nitumie picha ya mtoto! Nikatumamna mimi manyonyo yametokea! Akaniuliza unanitega? Nikamwambia ndo maanake!
Tuliongea mengi nikamwa!bia nipo kwa Ghost! Nilikuja mwenyewe but he is treating me nice! Hatakiii kuamini! Anasema narudi hapo kukuchukua! Namwambia usirudi! Nitatafuta namna ya kutoka na mtoto mimi ndo nije huko! Huku na huku tukaanza kukumbushia enzi zetu! Chupi yote ililowa! Nikajua namna gani nimemmiss Hans!
ITAENDELEA!