Weekend Story! All is Fair in Love and War!

Nina hio hamu ya kujua what next balaaaa... Nyodo zote zile kwa mkeo khakha Hivi na kazini ulikua unaenda kweli??? Sio kwa micare Ile!!


Cc Smart911
hahaa ile nisawa na kuonjeshwa kitu kitamu halafu ukanyimwa kula chote ..yaani jeuri yote inakwenda kunitoweka ...vacation nitakuwa nakwenda bagamoyo hakuna tena cha Sydney wala Paris ...
. uwiiiii nakwnda kumroga huyo mtoa posa ..ama zangu amazake
 
Back
Top Bottom