Idhae
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 609
- 277
Kuna binti jiran mrembo nimem-aproach takribani mwezi wa tatu sasa lakini majibu yake yalikuwa negative.
Ghafla leo kani-text akihitaji nimtoe out kwani leo ananafasi hadi saa 4-usiku.
Sasa hapa nilipo hata nauli ya daladala sina nimemtonya jamaa yangu naye hali mbaya, yaani ndege anapeperuka hivi hivi jamani? Weekend mbaya sana kwangu.