Weekend mbaya, outing imenishinda

Weekend mbaya, outing imenishinda

tupe feedback ilikuwaje, maana wabongo hatuoni hasara kukopa kwa mambo ya ajabu ajabu
 
Mkuu we kaa zako home usiende kabisa. Mi yalishanikutaga hayo nikamtoa out huku mfukoni nina 14,000/= tu.
Akala freshi ila baada ya kula akaniambia tukapumzike. Basi nikaaga kwenye chooni, huko nikapiga simu kwa kila nayemjua at last mmoja kanirushia 100,000/=. Tukaenda kupumzika. Huko yalikuwa majanga tu. Nikaamini si kila unayemuona ukamtamani ndani yuko unavyodhani. Yani kesho yake nikarudi home hela sina, kuenjoy sijaenjoy na nina deni la 100,000/=.
Ushauri wangu kaa zako nyumbani....

Pole sana kaka, kweli hayo majanga.
 
Back
Top Bottom