Weekend is around the corner, nisaidieniii

Weekend is around the corner, nisaidieniii

Nilipewa hela ya kutosha na broo niwapeleke wanae hotel flan wakainjoy msosi, mandhari n.k.
Guess what?, nilienda kuwashndsha daraja la manzese siku nzima, ni mwendo wa juicekola, barafu, bagia na vibabu, walipgwa na jua wakawa weusi wamerud nyumb bro nusura awasahau. Ndo ukawa mwisho wangu wa kuifaham Dar, asaiv nalima makebch na tembele huku ushirombo
 
Walete hapa kwenye Darasa la Masoud Kipanya wacheze huku wanajifunza kuchora cartoon! Kiingilio elfu 10 na madaftari ya cartoon elfu 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom