reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,826
- 21,945
Mtoa mada kuna kitu unalazimisha halafu watu wengi hawapo huko mkuu...
Wangari Maathai kumbe eeeee😝😝😝😝😝
Wangari Maathai kumbe eeeee😝😝😝😝😝
Mtoa mada kuna kitu unalazimisha halafu watu wengi hawapo huko mkuu...
Wangari Maathai kumbe eeeee😝😝😝😝😝
ha ha ha si unajua kwenye utafiti...unakuwa na majibu yanayorandana ili uweze kuyathibitisha?Mtoa mada kuna kitu unalazimisha halafu watu wengi hawapo huko mkuu...
Wangari Maathai kumbe eeeee😝😝😝😝😝
Nitoke na jitu linalokunywa pepsi tena ya moto inahuuu??unatoka out na men ana laki??? Si bora kulala mkuu😉!Yaani ungejua hata usingesema hivyo. Il nitakutafuta kuku prove wrong. Japo sitaki kukurupuka, nataka nikiweka ndoan o unanasa hapo hapo.
Tutoke out madame sisy!Nikitajwa mniambie
Kwahiyo Siku nyingne huwa yesu wako hayupo isipokuwa WK end tuu
Mbona kama umekasirika mdogo wanguKwahiyo Siku nyingne huwa yesu wako hayupo isipokuwa WK end tuu
Kwanza wewe sio jimama, na mwanaume makini hawezi kutapa tapa kuwa anatembea na bei gani labda ukitaka xhibit utaonyeshwa.Nitoke na jitu linalokunywa pepsi tena ya moto inahuuu??unatoka out na men ana laki??? Si bora kulala mkuu😉!
Mimi ndo nikutake wewe sio wewe unitake mimi😌😌😌😌😌😌! Toka lini majimama yakatongozwa? Yanatongoza babu weee!😤😤😤😤😤😤😤😤
Graduate huyu aje tumuuzie.Hayo ndo mambo!
Saint Ivuga unaona huyu mwenzetu?
Nitaambatana naye popote mkuuUtakuwa naye wapi?
Siku zote,mahali popote nipo na YesuKwahiyo Siku nyingne huwa yesu wako hayupo isipokuwa WK end tuu
[emoji23][emoji23]Nipo Kilingeni Msata karibuni sana..
Jr[emoji769]
ila wapKwanza wewe sio jimama, na mwanaume makini hawezi kutapa tapa kuwa anatembea na bei gani labda ukitaka xhibit utaonyeshwa.
Na kuhusu ninachokunywa yaani hadi nkuhurumia kwa sababu mimi nacheza na nacheza na gin tu. Kwa hio Kama best umezoea kupiga zako heinkein inabidi usije ukaniiga. Na mimi sikutongozi hata siku moja ila nitakunasa tu.
Ila wewe nitakunywesha Zappa, nitafute mwenyewe.ila wap
🤣🤣🤣🤣!ila wapare mko juu aisee😋😋😋🙌🙌🙌! Umeniletea hamu ghafka ya kinywaji
Ni nzuri sanaHahaha big up mkuu mimi mwenyew nlipanga kesho niichek hii series.