Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
CCM wamewalaghai, wamejifanya kuanzisha miradi kibao yote kwa wakati mmoja hii yote kuwachanganya Ili muone mnapendwa sana na muweze kuwapigia kura siku wakija. Hii miradi yote imekuwa inasemwa mnoo, inaimbwa sana kuliko hata uharisia wenyewe.
Kuna ujenzi wa kampasi ya UDSM, kuna ujenzi wa njia nne, kuna ujenzi wa soko, kuna ujenzi wa stand, kuna ujenzi wa ofisi ya RC sijuhi kuna ujenzi wa nini... Yaani nikitaja hapa panajaa na haitaisha, ni ujenzi, ujenzi, ujenzi.
Sasa kinachotokea, miradi yote hii imeletwa na inakwenda mwendo wa kobe, kama kawaida yake midemko anatafuta kura kwa njama zile zile za Le Profeseri wake Msoga. Delaying technique.
Mfano mzuri ni ile baabara ya njia nne ilianza kujengwa mwaka jana mwezi wa 5 na ilitakiwa kuisha mwaka huu October lakini hadi tarehe ya leo ujenzi unasuasua kupita maelezo na ndo kwanza ujenzi uko 45% maana yake muda unaisha lakini hata nusu bado.
Soko, stand na kingo viko hapo toka mwezi wa 6 lakini hadi leo kinachoendelea hakuna, hii yote ni Ili muwape kura kwanza na walijua Ili wapate kura zenu ni kuwaweka busy na utitiri wa miradi Ili muone mnapendwa sana. Uchaguzi wenyewe wako busy wanapararulana kwenye lichama lao na makundi yao ndo maana wanatumea hata akina Mwanri kutuliz hari, hari si shwari. Ilikuwa ni nafasi nzuri na nyie kupita humo humo kuwaadabisha Ili siku nyingine wakija waje kwa heshima na adabu.
Kwani nchi si wanaongoza wao, kwani Kagera si Tanzania. Kama hawataki kujenga achaneni nao maana miaka yote hiyo mbona muliishi na maisha yamefika hapa, wasije kuwatisha na tu miradi twao. Wajenge wasijenge, nchi ni ya kwao na ni wao ambao hata ipite karne watawajibika kuja kujenga miundombinu. Wanalihairisha tu Ili muumie lakini wa kujenga ni hao hao hata ipite miaka mingapi.
Jambo la maana ni nyie wapiga kura kuendelea na misimamo yenu usipige kura eti kisa wamekujazia miradi isihoisha ...shtuka, toka nduki.