Mwanamboka pale Buguruni (Im kidding). Tafuta mutu ya watu, papaaa ya muji, mutu yenye heshima hapo Asprin aka BABU aka ODM aka MKAGUZI aka ASALI YA JF tehe teh.
...penda chana mimi,ila hicho chaonekana ni Chibamia Nyani Ngabu.
Nilizoea viwanja vya jolly,ambiance, sunsiro,bilicanas na maeda clubs mlioko dar naomba mnijuze viwanja vikali kwa sasa!
mbona nyingine umeisahau ?
A.k.a Lambalamba. A.k.a Kiwavijeshi .
Chacha hyo Chikei na huyo Chibolo wakikutana chi patachimbika?
Me chimo kabicha.
Hapo Madame hujinasui !
Utakuwemo kwa one way or another!
Coz wewe si umeshadai utakuwa unajitolea kuwatafutia vyumba wadau wa hapa pindi demand ikitokeapo .
Me kazi yangu itakuwa kuwatafutia room,afu mida mida narudi ili kupiga chabo shem.
Chabo Shem utaimudu kui'view mwanzo-mwisho? Haihitaji uthibitisho ktk hilo obvious scientific inakiri , kwamba chabo inapandisha mzuka kwa mpigaji , utamuduje?
Mimi ninaimudu kwa hundred percent.
Kama huamimi weka mpambano mezani.
Najua maumivu ya kupiga chabo ila tafanyaje wafikiri?
Ni kujilipua tu shem wangu.
Mimi ninaimudu kwa hundred percent.
Kama huamimi weka mpambano mezani.
Najua maumivu ya kupiga chabo ila tafanyaje wafikiri?
Ni kujilipua tu shem wangu.
Shem binafsi yangu najua huo mziki huumudu!
Afu m'bishi Madame utafikiri una genetics za Kigoma !
Nway nafunika bilauli , mtoto asie na Baba asepe .
Hapa unajiongelesha tu! Hamna vya handiredi pasenti wala pasenti nini!