Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
Khaaa! Mgonjwa kazindukaElia supu yangu ya maini iko wapi?
Khaaa! Mgonjwa kazinduka
Humu ndani naona kuna ubinafsi mwingi sana, ukikaribisha kwa kutaja majina sisi tusio namajina tunakaa kimya. Acheni ubaguzi, hata sisi tunajua outing karibisha wote, inawezekana hao uliowataja hawana mpango wala nini ila sisi tusiomo tungetokeza.
Ni mtazamo tu! take it easy
Aisee paree paree si unajua mimi odinaree halafu unajua nakumiss wikiendi hii nakuja kukutembeleaYani we acha tu..natamani kulala mpaka ntakapopona ndo niamke!Umeenda kwenye paree ya sare na wakaree?
Karibu tupate mnyama mitaa ya RAINBOW
Aisee paree paree si unajua mimi odinaree halafu unajua nakumiss wikiendi hii nakuja kukutembelea
R
Jmani nimekumiss my dia acha tu wknd njema
kapona huyu, mgonjwa huwa anadai uji, fanta na numbu sasa yeye anadai maini Mhhhh! Ila poa anani-keep busy!
Nimekuwekea nyama chomaNatamani kuwaibukieni pande hizo ili na mimi niwe mmoja wa wakaree!
Kumbe umeiona nilikuwa nanong'ona na Fidel, vipi machungwa utakula? au tukachome sindano tu.
Elia uko pande za wapi?Kumbe umeiona nilikuwa nanong'ona na Fidel, vipi machungwa utakula? au tukachome sindano tu.
Nimekuwekea nyama choma
Muda huu tuko na B hope umenielewa hapoI'm for real!Nwy leo nyama choma itashuka kweli?Labda mtori!