Ye anakuja kichwakichwa tuumeona eeh
ndo mzigo aliofuata huko kwenu majuzi
Ni wa Bishanga ingawa anaukataa
jaman..mm namtoaje roho ss?..sihusiki na matendo yake ya ss
lisemwalo lipo kama halipo liko pale kwenye kona zinakuja..
ha ha ha..hakuna lijalo..kuna yaliyopita tu
inaelekea ulivomwacha ulimwacha na virusi...
Vya kuharibu mfumo wake wa maisha