mimi kila nikiingia ktk intaneti napita ktk hizi sites
1.jamiiforums
2.soccernet
3.harusiyangu.com
4.yahoo
5.facebook
leo nimekaa kutwa nzima ktk net mpaka nimekuwa bored,nikajiuliza kwani hakuna sites zingine nzuri?tupia websites zako 5 bora hapa pengine naweza kujua nyingine nzuri kupitia kwenu!
asanteni
:focus: umeambiwa only 5.
Mbona hakuna aliyetaja porn sites? Tunajua sana mnazitembeleaga na hizo :happy:
duh! na wakaka wako kule nilikua sijui lol! haya ndio wajiitaje kuleGoal.com kupata update za football nikiwasha tu pc hata ya ofisin naanza na hii kabla sijaingia kwenye outlook kuchek e mails
2.Jamiiforums.
3. Nairaland.com hii ni jamiiforum ya kinigeria.. I real like their discusion
4.U turn kwa mange nachekaga sana nikisoma comments za wadada mule
5.Nba.com especially kipindi cha playoffs...
hii itakua matawi sana lazima
Wanaoendaga kwa kina mange, sintah na le mutuz mbona hamjitaji? charminglady njoo nikusute
Unaangalia mambo ya harusi!!
Una walakini....
1. Google
2. MtaaWaSaba.com
3. Jamiiforums
4. Twitter
5. ThePirateBay / Kat.Ph
Mbona hakuna aliyetaja porn sites? Tunajua sana mnazitembeleaga na hizo :happy:
Mbona hakuna aliyetaja porn sites? Tunajua sana mnazitembeleaga na hizo :happy:
Unaangalia mambo ya harusi!!
Una walakini....
we inaelekea unapenda sana pilau? he he...maana mawazo yote hapo huko, tupe link!!
BJ umenifurahisha sana,umemponda mwenzako weeeeeeeee mwisho umeomba link!twende pm nikupe,hapa kunakuwaga na watoto
zeutamu