Websites nyingine hazina wataalam au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Websites nyingine hazina wataalam au?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Apollo, Sep 10, 2011.

1. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#1
Sep 10, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,378
Trophy Points: 280
Unakuta websites hasa zinazohusika na mambo ya kielimu au matokeo ambazo wengi wanazitegemea mfano ya TCU kila siku ukifungua ipo vilevile labda baada ya wiki au siku kadhaa ndio utakuta kitu kipya..ni wataalam hamna au? Webs nyingine za vyuo mbalimbali na taasisi za kielimu zinazembea hivi hawajui inatukera sana? Nawashauri wajitahidi kupost vitu vipya na habari mpya daily ili kuvutia wasomaji. Webs nyingine zinafunguliwa na watu wengi kipindi cha matokeo tu au kipindi cha ujazaji wa forms tu, hapo hawajui kuweka adds kwa kuweka wasomaji wengi. Kwa mtazamo wangu mimi bora hata web ya bodi ya mkopo wanajitahidi kuweka matokeo yao easy kufungua no need ya kudownload unasoma online hata kwa mobile. Mf leo wameweka kipya, na hata jana wame-update. Jamani hizi webs tuziweke katika hali ya kimataifa sio kuweka tu web ilimradi uwe nayo kama wengine, cha msingi wa-update kila siku na kuweka vionjo vizuri ili tuwe na mazoea ya kuzifungua. Natumaini wameipata.
(N.B-Kama kuna website ya TZ unayoisifia/usiyoisifia list it)

2. Perry

Perry JF-Expert Member

#2
Sep 10, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,029
Likes Received: 868
Trophy Points: 280
Sasa mkuu,we kinachokukera hasa hapo ni nin?

3. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#3
Sep 10, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,378
Trophy Points: 280
isome tena kwa makini ndugu yangu.

4. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#4
Sep 10, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,378
Trophy Points: 280
Webs zisizokuwa active daily..webs zinazofunguliwa siku maalam yenye tukio maalum tu. Hazi-update post zao daily kama web nyingine ambazo zipo active. Kila siku ukizifungua zipo vilevile nyingine zina post ya mwezi wa 6 alafu in kialama cha new*. Naona hatuna wataalamu wa webs!

5. Perry

Perry JF-Expert Member

#5
Sep 10, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,029
Likes Received: 868
Trophy Points: 280

by the way,c unajua bongo kuna kaugonjwa kanaitwa "INNEFICIENCY'' in productio so ucshangae sana,web za vyuo kama mzumbe,sua,ardhi na 2maini nimeckia zkilalamikiwa na wa2 weng sana.

6. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#6
Sep 10, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,378
Trophy Points: 280
hako kaugonjwa kabaya sana. :(

7. Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa Platinum Member

#7
Sep 11, 2011
Joined: May 25, 2011
Messages: 17,816
Likes Received: 7,152
Trophy Points: 280
dah wanchekesha wewe sasa monopoly atangaze kila siku amtangazia nani? Pale information ikitoka na ye ndo aitoa. Tcu na web za serikali zipost kila siku zipost nini? Au wataka ndo waanze leo waandike bado sku kumi matokeo kesho waandike bado sku tisa. Em think kaka

8. Wi-Fi

Wi-Fi JF-Expert Member

#8
Sep 11, 2011
Joined: Aug 30, 2011
Messages: 2,070
Likes Received: 748
Trophy Points: 280
mleta hoja yupo sawa kabisa, wewe jaribu kutembelea web sites nyingi za hapa bongo esp hizi za vyuo/taasisi za elimu utatamani kujificha, unakuta chuo kinatoa mafunzo ya IT lakini rudi kwenye web yao yan hata aijai kwenye screen akuna updates kingine cha kushangaza pale chini utakuta ni mwaka 2009! sasa cjui technology gan tuliyopo

9. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#9
Sep 11, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,451
Likes Received: 22,379
Trophy Points: 280
Unatehgemea nini mtaalam mwenyewe akiwa ni malaria sugu?

10. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#10
Sep 12, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280
Unafikiri kila siku kuna tukio jipya la kupost?.

11. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#11
Sep 12, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,378
Trophy Points: 280
ni kweli kabisa, yaana web ya kipuuzi tu. Wabongo tunapenda webs za nje, hapa bongo web zinakera.

12. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#12
Sep 12, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,378
Trophy Points: 280
hehehee. Hiyo ya malaria sugu mimi simo. :)

13. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#13
Sep 12, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,378
Trophy Points: 280
yapo mengi sana ya kupost.. Mfano habari mbalimbali za siku..hiyo sio kazi ya webs za habari tu, mpaka webs nyingine zinaweza kufanya hivyo. Au hata zitoe maelezo tofauti tofauti kuhusiana na chuo/kitengo hicho. Nchi za wenzetu hakuna haja ya ubao wa matangazo chuoni, watu wanachek kwenye web wanapata tangazo au maelekezo kiurahisi. Web zingekuwa zinafunguliwa sana, zingepata income hata kwa kuweka matangazo ya wadhamini!

14. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#14
Sep 12, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280

asilimia chache sana ya Watanzania wana acces internet.
Sidhani kama kuna uwezekano wa kupata info za kupost kila siku. Mf. tcu baada ya kutoa matokeo, watapost nini kila siku?

15. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#15
Sep 12, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,973
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280

unata web ziwe zinajaza screen?. Sijui umesoma/unasoma kozi gani so nashndwa kukujibu.

16. Wi-Fi

Wi-Fi JF-Expert Member

#16
Sep 12, 2011
Joined: Aug 30, 2011
Messages: 2,070
Likes Received: 748
Trophy Points: 280
mimi kusomea kozi gani sio swala la kujadili, inaelekea unaridhishwa na izi web zetu na inaonekana ndo nyie ambao hamtaki positive changes, tembelea web ya ardhi university au mzumbe utaelewa ninacho kuambia

Loading...