Mtoto wa Mkulima
JF-Expert Member
- Apr 12, 2007
- 683
- 122
Jamani nisaidieni.
Ni kwa muda mrefu najaribu kufungua website ya wizara ya viwanda ilikupata information za industrial sector kwa Tanzania.
Nasikitika siwezi kupata chochote kama kuna website nyingine ya wizara hii zaidi ya hii
http://www.mit.go.tz/
naomba anisaidie. Mimi nashangazwa kidogo maana mtu yuko hapa marekani akitaka kujua issue anaenda kwe mtandao na kubaruzi informatio wesite za bongo kuanzi ya Ikulu ziko under construction miaka nenda. Utashangaa ukikuta wizara kama ya foreign affairs haina hata website. Tuko kwa dunia gani?