Website ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iko Hacked

Website ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iko Hacked

hahahah, its so funny watu hawajui kufunga milango yao na makomeo sahihi, mwaka huu zitakuwa hacked sana tu

http://mifugo.go.tz/modules/authorisation/login.php

nikishaona kitu kama hiki uwa natamani tu nijaribu kupenya
 
web ya serikali wanashindwa kuweka custom login system?
 
mkuu huku serikalini kuna wazee hawajui saaaaaaaaaaaana mambo ya komputer but ni wabishi afu hawataki waonekane hawajui, mi sometym huwa nawaaacha kitu kikiwazingua ndo wanaonyesha friendship kwa vijana tuliopo kazini
 
Ministry of Livestock and Fisheries Development - News -

Tafadhali anayemjua mhusika wa hii website ,awataarifu wafanye updates haraka,hii inachafua taswira ya nchi yetu.

cc: Invisible
C6 Amavubi MziziMkavu watu8

"Always go for first class",si lazima kila mtu awe mtaalam wa mambo ya IT.Hapo ndiyo tofauti inapoanza kuonekana.Wote tutakuwa watu wa technologia ila how we handle issues hapo ndiyotofauti inaonekana.Kuhack si lazima uwe unajua programming,kuna software kibao na info kibao za kuhack online, sasa kama hauilindi nyumba yako unategemea nini.Ukiwa unajifunza say phishing ni muhimu ufanye mazoezi,upate information kutoka kwa mtu bila kukushitukia.Waacheni wafanye mazoezi.
Waajiri security proffesionals waache kutaka cheap labor.
 
web ya serikali wanashindwa kuweka custom login system?

hizi script za bure bwana we acha tu.

yani tovuti nyingi za joomla ni hackable, coz ya 3rd party extensions.

wordpress, druple angalau angalau but

hizi custom scripts ndo uwa ndiyo rahisi kuhack since hakuna watu wengi wanaogundua loop holes
 
msiwape mzigo wa lawama sana iko nje ya taaluma yao isitoshe hiyo wizara imejaa wazee wataalamu wa mifugo so IT iko mbali sana!
 
Back
Top Bottom