Website ya Wizara ya Mambo ya Ndani yachakachuliwa (HACKED)

Website ya Wizara ya Mambo ya Ndani yachakachuliwa (HACKED)

[h=1]Site is under Maintenance[/h]as at 16h28,tunategemea site ikinyanyuka mtoe apology ya downtime na muandae incident report.I hope mmejifunza kitu kwa haya yaliyowapata.Siku zote huwa nawaambia wanaotafuta kazi kwamba "somewhere kuna watu wanakuhitaji ila tatizo ni how to know that place".IT profesionals with security knowledge like
Firewall,ACL,vulnerability testing,mitigation plan,installation and configuration of IPS and IDS,port scanning,packet spoofing pelekeni CV wizara ya mambo ya ndani at your own risk.
 
ha! ha! ha! ... mkuu Alfred Daud Pigangoma siyo mimi! ..

Ni kwamba najua tu hizo tech na aina wanazozitumia! ... na najua namna ya ku-protect systems zisiwe hacked! ... ndio maana nikasema kufanya hiyo issue ni rahisi na wala sio ngumu kama watu wanavyofikiria ... hata wewe ukipata tools sahihi unaweza ukafanya within 2 minutes!

Sasa ukiangalia hawa walio-hack ya moha.go.tz na wale wa jana waliohack ya wizara ya afya .. mbinu wanazotumia bado ni za hali ya chini / kitoto ...

==
Ila tu kwa taarifa yako alie-hack ya MOHA ni huyu hapa chini

Contact zake hizi hapa:

x45d@hotmail.com
nna@hacker.ps &
a9h@live.com


Ila wanachotakiwa kufanya hawa MOHA (Mambo ya ndani) ... ni rahisi sana tu! ... nimeona wanatumia Joomla 1.5 ... watafute Firewall nzuri ... ambayo itakuwa inafanya autolock web kuzuia hizo Sql injections ambazo hawa jamaa wametumia ... na hiyo inaweza kufanyika ndani ya dakika 5 na wala hawatapata matatizo ya kuwa hacked hata siku moja tena! ...
.

Tafadhali wasiliana na Dr Slaa wa Chadema akupe kazi
 
Chief Information Officer-CIO na Team yake wanafanya nini pale Wizarani?
Hawa watakuwa wameshindwa kazi ni bora wakapumzika!

Hili ni matokeo ya ajira za Nepotism!!! Kichwani sifuri but God father behind you!! Hata ya kule kukubwa nina wasiwasi wataichapa siku moja maana yule aliyeko pale ni ndugu wa VD. Dadeki.
 
iko protected kaka jaribu kama utaweza
chezea polisi wewe
Lokissa ... hakuna kinchoshindikana ... sema tu labda wewe hujui unachokiongea!!

.. kwanza mbona rahisi sana tu!

Alafu huyo alie-hack hiyo ya Mambo ya ndani ... katumia bado tech za kitoto/za kizamani za sql injection!
.
 
Back
Top Bottom