Website ya Wizara ya Mambo ya Ndani yachakachuliwa (HACKED)

Website ya Wizara ya Mambo ya Ndani yachakachuliwa (HACKED)

josephmasamaki

Senior Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
163
Reaction score
84
Cheki mwenyewe HACKED BY Mr.Taha !

attachment.php
 

Attachments

  • hacked.jpg
    hacked.jpg
    76.1 KB · Views: 765
nyie vijana mnaojifunza hacking mnasumbua sana.i wl expose you one after another in a matter of minutes.kaeni chonjo
 
Walipue mjomba.. maana nilitaka kuangalia kitu cha msingi hapo wizarani nimekwama na hapa nipo mkoa!!!!!!!!
 
Hii inathibitisha kuwa kama web yao haiko secured then hata mambo yao yapo hivyo hivyo
 
ni mjinga tu huyo alie fanya hivo
tena atakuwa mtu wa hapo hapo wizarani
mbona kashindwa kuhack na hii
Tanzania Police Force
Lokissa ... hakuna kinchoshindikana ... sema tu labda wewe hujui unachokiongea!!

.. kwanza mbona rahisi sana tu!

Alafu huyo alie-hack hiyo ya Mambo ya ndani ... katumia bado tech za kitoto/za kizamani za sql injection!
.
 
Juz kati ilikuwa wizara ya afya!leo huku,huyu m2 atafutwe.
 
Juz kati ilikuwa wizara ya afya!leo huku,huyu m2 atafutwe.au ma IT hawalipwi?
 
waache upumbavu kabisa. kuna mambo mengine hayataki mzaa hata kidogo.
:whoo:
 
Chief Information Officer-CIO na Team yake wanafanya nini pale Wizarani?
Hawa watakuwa wameshindwa kazi ni bora wakapumzika!
 
duh, kazi ipo.
Ma admin wa website zote kaeni chonjo, hali mbaya.
 
Mkuu sijaelewa..!! yupi aache upumbavu?! Hacker!? au Systems Administrators wa Wizara!? But somehow it's a shame kwa nchi..

josephmasamaki Sasa unaposema shame kwa nchi kivipi? ... Kwani ni nchi moja tu ndio huwa inakuwa attacked! .. (HACKED)!

Huyu jamaa ame-hack za nchi nyingi tu ... hiii leo

www.salaheddineraoud.com

gentedesanfernando.com

meqg.com

www.sarlseconseil.fr

www.corpoguajira.gov.co/home/index.php

www.salaheddineraoud.com

www.monitormyservers.com


Hizo ni baadhi tu alizo-ziatack kwa leo ... ila ni zaidi ya 1,000

Tatizo ni la watu kutokuwa waangalifu kwenye Security
.
 
Tatizo mambo ya IT watu mnachukulia poa,unakuta mtu eti ni IT personnel background yake alichosoma utacheka.

So hii mi naona ni challenge na kama vipi watangaze kazi za "IT security officers".Watu wakisha ajiliwa wanarelax,there is a cyber war going on.

Vulnerability test zero,port scanning kushine, IPS, IDS hawazijui, Access control list, ndiyo nini hizi? Password zao ni default pswd. Wengi wanadhani antivirus ndiyo kila kitu, poor IT.

When it comes to security, trust no one even yourself.
 
Chief Information Officer-CIO na Team yake wanafanya nini pale Wizarani?
Hawa watakuwa wameshindwa kazi ni bora wakapumzika!

wapo likizo ulaya, upuuzi tu website zenyewe huwa dormant, IT ndo wanajifunza ndugu zake katibu mkuu wa wizara, wanaweka wasio na uwezo kufanya kazi kwa undugu
 
Back
Top Bottom