Website ya Jeshi la Zimamoto Tanzania

Website ya Jeshi la Zimamoto Tanzania

zimamoto alwayz nawaambia zoezi lishaisha ila sema hamtaki elewa tunasubiri majibu tu huko uraiani pamekua pagumu kupata kazi kwa elimu kama yangu ya vyeti viwili . Njooni kwanza jkt mjitolee ndio mpate ajira zisizo na usumbufu . hivi unajua jkt hatutafuti kaz ila twatafutwa na watoa kazi? endeleeni kulala subirini wiki ijayo ntawapa majibu

Tuje jkt mara ngapi? Tumepitia uko tayari na icho cheo ulichonacho kwa sasa ndili nilichonacho... wenyewe walijua kwamb kuna SM ambao wapo kitaa or hata chuo na ndo maana wakaamua kututangazia na uku mkuu
 
zimamoto alwayz nawaambia zoezi lishaisha ila sema hamtaki elewa tunasubiri majibu tu huko uraiani pamekua pagumu kupata kazi kwa elimu kama yangu ya vyeti viwili . Njooni kwanza jkt mjitolee ndio mpate ajira zisizo na usumbufu . hivi unajua jkt hatutafuti kaz ila twatafutwa na watoa kazi? endeleeni kulala subirini wiki ijayo ntawapa majibu

Hivi na wale waliotaka kuandamana kwenda kwa rais kushinikiza wapatiwe ajira walikuwa wametokea wapi wale?
 
Hivi na wale waliotaka kuandamana kwenda kwa rais kushinikiza wapatiwe ajira walikuwa wametokea wapi wale?

Haaaaa haaa GREAT THINKER.. umemjibu vyema, dah eti wao kazi ndo zinawatafuta. Ishu ya ajira ni ngumu kote kote tu
 
Sio kusubiri majibu mkuu ila kusubiri kuitwa kwenye interview kama cjakosea

Duuh sasa umekosoa au umeandika jinsi ulivyoelewa?

mbona kwa tuliozoea kufanya interview hapo tunaelewa, we wapi panakuwa pagumu kwako?

kwani unapofanya application unasubiria nini kama sio majibu.

au unadhani tunajadili kuhusu mambo ya Angaza?
 
Kaka usidhani ya kuwa aulizae ni mjinga. Na mara zote pima idadi ya maswali yanayolenga hoja zako kisha tizama tena hoja zako. Kuna kitu kinaitwa call for interview then mnasubiri majibu, then after kuna kitu kinaitwa kuitwa kazini. Hii inamaanisha kwa wale waliopita kwenye interview. Nilipouliza wanasubiri majibu gani nilimaanisha kati ya kuitwa kwenye interview au ya kuitwa kazini. Interview tumeanza kufanyiwa tangu tukiwa shuleni mkuu, ni kawaida mno
 
huyo aliyexma wa tisa mwanzn watu wanaend dpo mbna 2naingia wa kumi xaiv
 
Askar waliochaguliwa jkt ni mia sita ,ila idadi imepungua kutokana na waliochaguliwa fire majina yao kusomwa na tpdf kwa ajil ya depo la msata na 2zungumzavyo watu wako msata wana wk sasa
 
Askar waliochaguliwa jkt ni mia sita ,ila idadi imepungua kutokana na waliochaguliwa fire majina yao kusomwa na tpdf kwa ajil ya depo la msata na 2zungumzavyo watu wako msata wana wk sasa

Vipi wewe wa fire bado hujachukuliwa? Au kama una taarifa zaid za uko basi tujuze mnaondoka lini?
 
Vipi wewe wa fire bado hujachukuliwa? Au kama una taarifa zaid za uko basi tujuze mnaondoka lini?

Hakuna taarifa rasmi et kwamba wataondoka lin kwan majina 2 ya watu waliochaguliwa ndio yalitolewa/yameorodheshwa
 
Umeniquote ila sikuwahi kusema kuwa wataenda depo mwezi wa tisa,ninachojua hao jamaa wanaajiri askari 1000 mwaka huu na huko makambi ya JKT wamepata kama 500,kwa hiyo wanafanya mchakato wa kuiongeza wengine wa uraiani.

mkuu niliku quote ili utupe dondoo kuhusu sintofahamu tuliyonayo!! asante sana mkuu!!!
 
Back
Top Bottom