Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
vancheu mdogo wangu. Mtu akijibu JF anajibu kwa manufaa ya muulizaji na wasomaji wengine.Kigezo cha kwanza ilikuwa ni lazima uwe umepitia Jkt na umemaliza form six 2014. Naona unahangaika sana ebu km unaifaham iyo website au una alternative basi naomba unisaidie... hayo mengne bado sijakuelewa tangu uko juu.
Nawasilisha mkuu
Nafahamu watu wengi walioomba hizo nafasi huku wakijua fika hawakupitia JKT wakidhani hawakuwa serious.
Ila kwa swali lako sifahamu website ya zimamoto ila naamini njia waliyotumia kutangazia ajira ndiyo njia watakayotumia kutangazia majina ya watakaoitwa kwenye usaili.
Hapo vipi?
Last edited by a moderator: