MAKUNENGO
Member
- Oct 25, 2014
- 69
- 6
- Thread starter
- #41
Yeah zimamoto ilianzishwa rasmi kama jeshi kwa sharia ya fire and rescue force act no 14 ya mwaka 2007 so sa hv fire ipo chini ya wizara ya mambo ya ndan pamoja na airport zote and soon hata bandari nao wataretwa huku na wote Hawa wanakuwa chini ya comishina jenerali wa zimamoto so changamoto ni nying lakin soon kila kitu kitakuwa sawa
Sasa fanya hivi mkuu km iyo website unayo naomba unipatie.. au km una tarifa na utaratibu wa nini naomba utujulishe humu