Mkuu hao wanatumia website ya wizara ya mambo ya ndani hawana yao kama yao offical hivo wanashare na jeshi la police
Ingia jeshi la police
website ya jeshi la polisi ni tofauti kabisa na website ya wizara ya mambo ya ndani.
Kwa kukusaidia mtoa mada:
- Umepitia JKT?
kama jibu ni HAPANA, je...
- una taaluma ambayo JKT haipo?
kama jibu ni HAPANA basi usijishughulishe kutafuta website ya zimamoto!
Ni hayo tu kwa sasa!
Naomba nifafanulie hapo kwenye bluu
Mkuu hao wanatumia website ya wizara ya mambo ya ndani hawana yao kama yao offical hivo wanashare na jeshi la police
website ya jeshi la polisi ni tofauti kabisa na website ya wizara ya mambo ya ndani.
Kwa kukusaidia mtoa mada:
- Umepitia JKT?
kama jibu ni HAPANA, je...
- una taaluma ambayo JKT haipo?
kama jibu ni HAPANA basi usijishughulishe kutafuta website ya zimamoto!
Ni hayo tu kwa sasa!
Namaanisha taaluma ambayo hata wakienda kufanya usaili huko kwenye kambi za JKT hawatakuta mtu mwenye hiyo taaluma ili walazimike kuajiri mtu ambaye hakupitia JKT!
hata kama ningekuwa mimi ndio muajiri,nisingekuita ktk interview.ningetumbukiza maombi yako kwenye dustbin.Pole! Hata mimi siifahamu na nili-apply hizi poct;