Mkuu ZeMarcopolo mbona ikulu yenu tukufu na kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu yenu inatumia yahoo email ina maana na wao wameshindwa kuwa na ya kwao mpaka watumie email ya yakoo
Tembelea mwenyewe!
http://www.chadema.or.tz/
cc. Kurugenzi ya Habari
Tumaini Makene
Mungi
Dr.W.Slaa
VUTA-NKUVUTE
Nakubaliana na wewe mkuu ZeMarcopolo ni yetu sote
Sijui Salva anashindwa nini mpaka atumie email ya yahoo ambayo muda wowote inaweza kuingiliwa na wajanja wa mitandao
Kujenga hoja na mtu mwenye mawazo na mitazamo kama yako ni kupoteza muda tu kwa sababu hujitambui na unachokiandika lazima kitakuwa automatic hakitambuliki kwa watu wenye upeo wa juu kifikra na kimtazamo.Mtalia sana...!!
Kila mlango mliotaka kuutumia 'kuchakachua' umefungwa.
Big up Chadema, maana jamaa wa CCM walitaka kupandikiza documents kwenye web-site yenu, wamekuta 'hola' sasa wamekasirika sana.
Pole sana Ritz na wengineo, maana siku zote hamkuwa mnatembelea web-site ya Chadema, vipi leo mnataka sana kutembelea huku...??
Alternatively, tembeleeni web-site hii hapa chini...kuna kila mnachokihitaji......
Welcome to the Frontpage!
Kujenga hoja na mtu mwenye mawazo na mitazamo kama yako ni kupoteza muda tu kwa sababu hujitambui na unachokiandika lazima kitakuwa automatic hakitambuliki kwa watu wenye upeo wa juu kifikra na kimtazamo.
"Kupandikiza documents kwenye web-site ya CHADEMA". Really!.
Big up CHADEMA.
Email address ni email address tu, tena ya yahoo ni more reliable.
Yaani email ya yahoo ni more reliable kuliko email ya :name@tanzania.go.tz ..???
Pole sana wewe, hujajua ni email gani reliable na email gani ziko wazi kushambuliwa kirahisi.
Yaani email ya yahoo ni more reliable kuliko email ya :name@tanzania.go.tz ..???
Pole sana wewe, hujajua ni email gani reliable na email gani ziko wazi kushambuliwa kirahisi.
Hacker nao hadi wakodishwe china?CCM imekodisha ma HACKER toka China kwa lengo la kuihujumu website ya Chadema, ila Chdema ni makini imeugundua mchezo huo na kuamua kuiprotect from Hackers, hivi sasa ipo ktk matengenezo kuhakikisha hackers hawawezi kuihack. Hacker wa CCM walichofanikiwa ni kuhack email account ya Dr Slaa na kuiba baadhi ya nyaraka.
...teh teh fuatilia website ya serikali kuu na ya nchi ndo utajua chadema iko mbele zaidi ya mawazo yako...
Hacker nao hadi wakodishwe china?
Mkuu ZeMarcopolo mbona ikulu yenu tukufu na kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu yenu inatumia yahoo email ina maana na wao wameshindwa kuwa na ya kwao mpaka watumie email ya yakoo
Hiki chama kimekufaaaaaaa
Mkuu,kwanini umeniorodhesha na viongozi wa CHADEMA? Unataka nihamie huko.Nami CCM sitoki. Kuhusu mada husika, nadhani wakati wa vuguvugu linaloendelea ndani ya CHADEMA,lazima kuwe na wasiwasi. Ni vyema kuhofu kila mtu na kila mtu hasa wakati kama huu.Kwa uamuzi huu na kwasasa,nawaunga mkono CHADEMA.Virusi vimo chamani mwao.'Kiongozi' yeyote asiye mwaminifu awezaq kuweka vitu vya ajabu humo halafu akakimbilia mitandaoni kuigeuka CHADEMA.Kinga ni bora kuliko tibaTembelea mwenyewe!
http://www.chadema.or.tz/
cc. Kurugenzi ya Habari
Tumaini Makene
Mungi
Dr.W.Slaa
VUTA-NKUVUTE