X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,700
- 14,766
NJOO EDDYMHANDO@PLANETBONGO.COM HAPA MKUUNaona umezuia private message kuja kwako. Hebu nicheki hapa : ymollel@gmail.com
NJOO EDDYMHANDO@PLANETBONGO.COM HAPA MKUUNaona umezuia private message kuja kwako. Hebu nicheki hapa : ymollel@gmail.com
mkuu bado unahitaji site yako ifanyiwe marekebisho?au ushapataNJOO EDDYMHANDO@PLANETBONGO.COM HAPA MKUU
bado...njoo ujiunge kwanza kisha tuchat kule kule juu ya mapungufu yake kisha nikupe kazi....planetbongo.commkuu bado unahitaji site yako ifanyiwe marekebisho?au ushapata
Kuna aina mbili za Website (1). static website -hii ni website ambayo haina support ya user interraction yaani huwezi kufanya activity yoyote zaidi ya kuperuzi website pages zake. (2). Dynamic website ni website ambayo inaweza kuwa na form unajaza na kuiSubmitt hapo na ikaenda kwenye database ya website hiyo.
Blog ni aina ya website ambayo mwanzoni zilikuwa zinaandaliwa kwa Page moja tu ambayo ni refu, ila kwa sasa blog zimeboreshwa na zinaweza kuwa na page nyingi nyingi mfano wa blog ni blog ya IssaMichuzi.blogspot.com . blog ni maalum kwaajili ya kuweka matukio kwa mfumo wa POSTS.
Gharama za kutengeneza na kuMaintain website zinatofautiana kulingana na aina ya website, ukubwa na lugha iliyotumika pamoja na mahitaji ya mwenye website.
Sheria zinazoregulate operation za website ni sheria za MTANDAO- kulingana na dhumuni la website na shughuli zake, kama ni website ya biashara basi biashara yako iwe imesajiliwa, halali na ulipe kodi.
website kama JF ni Dynamic website ambayo ni Forum.
Kila language hapo ina umuhimu wake hata kama website sio dynamic.Mkuu kama nna static website ni lazima nitumie back end languages kama php??au css na html na js zinatosha??
Ni site nliyotaka kuweka contents ambazo users wata download...picha ...documents!!
2016 kuwa
2017 , basi wewe utaenda tu kwenye function ya FOOTER.PHP utaiEdit na itaReflect page zote. Pia kuEdit menu ni hivyo hivyo.ThankyuuuKwa kifupi kusajili na kurusha website hewani inagharimu takriban elfu 70 kwa mwaka kwa makampuni ya hapa tanzania.
Utahitaji kulipa hiyo gharama kila mwaka.
Ili website iwe hewani unahitaji kuitengeneza (designing) ambapo unaweza kuifanya mwenyewe kama una uwezo au unaweza kufanyiwa na mtu mwingine kwa malipo ya makubaliano.
............
Kifupi ili web iwe hewani:
1. Design your site
2. Register (sajili jina/ domain) utalipia kama elfu 20 .
3. Hosting (utalipia storage ya kuiweka web yako kwa gharama kama tsh elfu 50)
4. Upload ( kuirusha web yako) hii hailipiwi