Website mpya ya TBC ina kwikwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Website mpya ya TBC ina kwikwi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, Oct 28, 2009.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza TBC kwa kurusha hewani website yao ila inaonekana bado haijakamilika kwani link zingine hazifanyi kazi kwa mfano ukienda kwenye page hii http://www.tbc.go.tz/sports.html upande wa kulia kuna Main Menu ambapo chini yake link kama TBC FM na TBC TAIFA hazifanyi kazi. Wahusika rekebisheni hizo hitilafu
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Oct 28, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Watakuwa wamekusikia
   
Loading...