Webiste ya CHUO cha Uhasibu ime-hacked down by defaced

Tatizo Admini System wengi vyuo vya umma ni vihiyo kisa kubebana katika nafasi za kazi. Poleni sn TIA.

Sio kweli kaka...kwenye taasisi za elimu ya juu hakuna maadmin vihiyo..Huwezi kufanya kazi na wasomi kama wewe ni kihiyo..Kihiyo ni wewe hapo..

Hebu nenda hapo TIA uchunguze elimu za hao maAdmin uone kama ni vihiyo ...mbwa kasoro mkia wewe!!
 
mkuu acha na Hilo ----
 
Pole pole admin mkuu sio vizuri kutumia hiyo lugha
 
Sijui kwann ma admin wengi wanapenda joomla. Extension nyingi ni vulnerable...

Mkuu wa Tanzania wengi ni wavivu websites kama za taasisi au higher learning walipaswa kudevelop from scratch na sio kutumia already made templates maana ni rahisi mtu kuhack website kama atatumia same methods kudevelop site nyingine ambayo inaelekea na uliyotengeneza wewe
 
.
Tuache hayo kwanza mkuu mwone huyu mchoraji hapa!
attachment.php
 
Attachments

  • Tatooo fake.jpg
    Tatooo fake.jpg
    16.8 KB · Views: 1,200
Back
Top Bottom