there is some thing beyond the situation!
.
Leleee Try try and try
HAWA mATOKEO yAO yAMETOKA jUMATATU TUU.... Staki Kuamini Kama Walio Disco Wamehusika Na Hii Kitu.... Kumbukeni Kua TIA ni moja ya Vyuo Vya Tanzania Ambavyo Matokeo Yao Yanatolewa Kwa Mfumo Wa Ku Log In :.. Yaan Kila Mwanafunzi ana Account Yake Kwenye Website Ya Chuo
Tovuti ya Chuo cha Uhasibu Tanzania imevamiwa na maharamia wa internet wanaojiita Defaced. Maharamia hao ambao hutumia njia ya kuvamiwa tovuti za nchi mbalimbali na NGOs kwa ajili ya kujitapa wameiangusha server ya chuo hicho tembelea now: Defaced
Website Under Maintenance! Please visit us
later
itarejea hewani! Tena
sasa wasipo cheki line zao! Fresh basi kuna kazi! CHMOD 7777
Sijui kwann ma admin wengi wanapenda joomla. Extension nyingi ni vulnerable...
Tovuti ya Chuo cha Uhasibu Tanzania imevamiwa na maharamia wa internet wanaojiita Defaced. Maharamia hao ambao hutumia njia ya kuvamiwa tovuti za nchi mbalimbali na NGOs kwa ajili ya kujitapa wameiangusha server ya chuo hicho tembelea now: Defaced
kaka ni bure na rahisi kutumia
Sijui kwann ma admin wengi wanapenda joomla. Extension nyingi ni vulnerable...
.
Kaka tatizo kubwa ni administrator kwenye site zetu hizi kutumia user name as Admin
.
Hata asipotumia hiyo still joomla si ya kuiamini saaana
.
Yaaani ma Vulnearbility kila mwezi yaani kaka! Jamaa hawako vizuri kwenye Extension zao
kwa mfano walipata vulnearability na other flaw kibao siku 3 zilizopita! Joomla receives patches for zero-day SQL injection vulnerability, other flaws | PCWorld
.
Sasa hiyo site wameihack juzi! Na nnahisi kama ni wao basi waliipata kwenye Google Docks! Mana eti hacker atoke zake huko afu aifuate direct site ya Tz ambayo haitambuliki saaana duniani!
.
Lakini watu still wanaamini sana jomla extension sijui kwann!