tzbee
Member
- Jul 8, 2019
- 64
- 24
Naomba kufahamishwa, hivi website ikiwa Multi-language na Geolocation(mfano site ni www.mysite.com, akiifungua mtu alie burundi itafunguka katika lugha ya French na content za burundi, akifungua site hiyo hiyo mtu alie china itafunguka katika lugha ya kichina na content za china, nk.) Je, kwenye search engine itaonekanaje? na kwa lugha gani? Na je, site za namna hiyo zina shida kwenye search engines?
Shukrani.
Shukrani.