Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
he he he he ukweli unauma jamani yaani mapovu yanavokutoka ndo utajua mtu unapogusa. Kwenye ukweli anavopiga mayowe.......endelea kupiga kelele kijana ila hamna kitu pale he he he he
Bila shaka ndugu mdau.
Kwa kuwa unataka kujifunza hizo lugha za kutengenezea mitandao, basi ni vema ukaanza na basics kama wajuzi walivyosema hapo juu. Kwanza, pitia W3C Schools, kuna mafunzo mazuri kabisa ya mtu anayejifunza web design. Hapo pana mambo mengi sana.
Pia, nimeambatanisha na kitabu cha kujifunzia Html, Xhtml, Css
Kila kheri
Unatumia browser gani? na ms word unatumia ya mwaka gani? unajifunza kudesign kwa ajili ya kazi zako au unataka kufanya kama kazi? nijibu nikusaidie.
Mkuu Idimi nakupongeza kwa kumpa kitabu hicho, mimi pia namuongezea kingine, hiki kitamfundisha namna ya kuandaa content nzuri siyo kwa maana ya picha tu bali kwa maana ya maneno, kinaitwa: ''Make Your Words Sell''.
Hilo nalo neno.kama unataka kuelewa vizuri sana achana na hizo dreamwever itakulemaza hutajua kitu....gonga code manualy ujue alafu ndo.uamie huko kwenye dreamwever ukiwa tayari uko vizuri.....mostly hizo tools ni kwaajili ya mapro ambao wanaelewa wanafanya nn ila kwa kujifunzia sio nzuri sana
Kama umeshajaribu dreamweaver nakushauri ujaribu pia software nyingine inaitwa ARTISTEER utakuwa na uwezo wa kudesign sites katika:
WEB DESIGN TEMPLATES/HTML
JOOMLA TEMPLATES
WORDPRESS TEMPLATES
DRUPAL THEMES
DOTNETNUKE SKINS na
BLOGGER TEMPLATES
Vyote hivyo kwa kutumia software 1.
CODE IS POETRY.
hujui n imeitoa wapi. Si unaona sasa nimekusaidia hadi umebadilisha ingawa bado kuna warning unaweza kuweka @ kwenye variable au unaweza kuweka ini_set("display_errors","off"). Ila kwakuwa we ni mzee wa tools sijui utakuwa unanielewa.
Unasema nilikuwa nauliza key za artisteer ni kweli but you need to know ilikuwa lini? Na mi ni mwanfunzi wa technology so kila kitu lazima nijifunze na nijue strength na weakness zake. Tatizo we hujanielewa unakimbilia kutukana tu kitu ambacho unadhihirisha weakness kwenye uwanja wa ict, mi sijakataa we kutumia tools but we umemshauri huyo jamaa vibaya na kazi yako hasa home | nelly's innnelly's inn siyo hasa design, sasa kwa sababu wewe umekataa basi kazi zako ni nzuri...vimba kichwa sasa na kawaambie mtaani kwenu kuwa nimesifiwa jf kuwa kazi zangu ni nzuri
mijitu mingine bwana yaani mwenzio ndo kwanza anaanza kujifunza wewe unamshauri atumia hayo ma-templates, kama kweli we ni web developer nilitarajia umshauri ajifunze ku-code html na css kwanza. Kisa wewe umesema haujui code https://www.jamiiforums.com/tech-ga...geneza-tovuti-ya-mchungaji-paulo-fadhili.html ndo unataka na yeye asijue code.
sasa kwa sababu wewe umekataa basi kazi zako ni nzuri...Vimba kichwa sasa na kawaambie mtaani kwenu kuwa nimesifiwa JF kuwa kazi zangu ni nzuri
Tufanye hivi, mimi sina kazi hata moja ya website na wewe ni Developer mzuri wa Website.Kuna cha ziada?onyesha kazi zako 2 tu Chief Lugina.
kama mnataka kuinua hii sekta yenu, you better recognize and respect each others na siyo kubishana kwa vitu vya kijinga.
Tufanye hivi, mimi sina kazi hata moja ya website na wewe ni Developer mzuri wa Website.Kuna cha ziada?
----- wewe unakurupuka tu from no where, sasa kama siyo website designer unapata wapi muda wa kudiss kazi za wengine wakati wewe hujuwi hata A kwenye website designing? mara blogger templates mara wordpress hujuwi hata unaongea nini.