web designing inaumiza kichwa

Nasikitika hata kumu-mention mtu hujuwi unaishia ku-copy link. Ngoja nikumention mimi, angalia: Chief Lugina

NAONA UMEENDELEA KUROPOKA TU KAMA KAWAIDA. NIMEKUAMBIA NIPE WEBSITE 2 ULIZOTENGENEZA WEWE.

TIMIZA KWANZA HILI KABLA SIJAJA KUJIBU UTUMBO WAKO WOTE ULIOANDIKA HAPA.

 
Last edited by a moderator:
Wewe utakuwa na mtindio wa ubongo. Hii umeipata wapi? Unaweza kuionyesha tena? Yaani mimi nije hapa kuulizia namna ya kuficha login ya wordpress wakati google ipo au unadhani mimi ndiyo wewe kila post unaomba code watu wakupe link mara unaomba key za artisteer wakati torrents zipo milioni ndiyo maana nasema wewe utakuwa na mtindio wa ubongo. Na vipi meno yako kufa ganzi yameacha?.




 
Na mbona alikuwa anaomba key za artisteer kama yeye anajuwa kucode? Hebu eleza na wewe kwanini alikuwa anaomba key za artisteer wakati anajuwa ku-code?

true, there's no other option
 
Hii thread inakuwa haina manufaa kwa muuliza swali na hata watazamaji wengine hasa pale inapotokea contributers mnarushiana maneno makali na kuoneshana mabavu, hakuna haja ya kutambiana kwa namna hii kwa maana ni kama tunapoteza mwelekeo.

Kwa ufupi, inategemea unataka kujifunza kutengeneza tovuti kwa ajili gani, wapo wanatotaka kutengeneza tovuti kwa matumizi tu madogo kama kuonyesha picha zao au taarifa zao fupi bila ya kutumia mitandao ya kijamii au kutangaza biashara ndogo, hapo hata ukikurupuka na kutumia tools bila kujua nini zinaandika then good for you kwa sababu hakuna a lot money at stake.

Kama unataka kujifunza kutengeneza tovuti ili uwe more of a professional type of a person na kufanya kazi katika projects kubwa zinazohusisha hela kubwa za watu, hapo huna jinsi zaidi ya kujifunza hizo code kiundani...sidhani kama utaeleweka pale utakapoingia katika development team hata kama ni just a web designer na ukaanza kung'ang'ania eti mimi natumiaga Tool X kudesign interfaces zangu na hutumia CMS X kuhandle yaliyobaki kwa web yangu.

At the end of the day utaangalia unataka kuwa nani, ndio maana hata kwenye sekta nyingine kwa mfano. Umeme kuna vishoka na Professional Electrical Engineers na technicians.

Most of the times Man's Ego Equals Man's Downfall.
 
Hapa tunabishana kwa hoja. kama yeye anasema website zangu si nzuri, basi ataje na yeye alizotengeneza na mimi niziseme na siyo kuponda tu changu wakati chake hakitaji na kumbuka anasema kuna project ilikuwa afanye yeye nikafanya mimi JE HII HAIWEZI KUWA NDIYO SABABU YA KUSHAMBULIA KAZI ZANGU?.

 
kinachosumbua ni uchaguzi wa code ya kutumia pamoja proper arrangement ya contents na pages ila ipatikane view nzuri.

ili upate flow nzuri jaribu kuweka mawazo ya. muonekano wa site unavotaka iwe kwenye karatasi weka layout yote kwenye karatasi then anza kuweka huo mchoro katika code zako kwa HTML na CSS mambo yatajipa vizuri
 
duh hii kitu inataka moyo xana mkuu cz mi mwenyewe nilielemewa ila nw sm hw naidea kwa mbali cz kuna jamaa angu alinipa hii software inaitwa dreamwever na hii link itakusidia icheck W3Schools Online Web Tutorials

kama unataka kuelewa vizuri sana achana na hizo dreamwever itakulemaza hutajua kitu....gonga code manualy ujue alafu ndo.uamie huko kwenye dreamwever ukiwa tayari uko vizuri.....mostly hizo tools ni kwaajili ya mapro ambao wanaelewa wanafanya nn ila kwa kujifunzia sio nzuri sana
 
Am learning web designing using html and css, it brings me headache, kuna mtu huko ana uzoefu wa hii kitu people I really need to master hii kitu.
If u can provide help please contact me niongeze ujuzi
Bila shaka ndugu mdau.
Kwa kuwa unataka kujifunza hizo lugha za kutengenezea mitandao, basi ni vema ukaanza na basics kama wajuzi walivyosema hapo juu. Kwanza, pitia W3C Schools, kuna mafunzo mazuri kabisa ya mtu anayejifunza web design. Hapo pana mambo mengi sana.
Pia, nimeambatanisha na kitabu cha kujifunzia Html, Xhtml, Css
Kila kheri
 

Attachments

Wakati nipo chuoni kati ya darasa lililokuwa linaniumiza kichwa ni wakati Dk. wa Module hiyo akiingia darasani. Kuna wakati alikuwa analeta picha ya web page kwenye hard copy halafu kila mmoja anatakiwa ku-develop code zake. Mpaka nafanikiwa ku-master eneo hilo jasho lilinitoka. Taratibu mkuu utaweza tu kikubwa usikate tamaa.
 
Mkuu Astro nilikuwa nimekuahidi kukujibu nitakapopata muda. Sasa nimeona kuendelea kubishana kwa maneno haisadii chochote ni lazima tubishane kwa vitendo ndipo tutakapoelewana. kwa kuanza nimeiweka website yangu hapa inakwenda kwa www.iyokopokomayoko.p.ht

Ipo underconstruction, nitaijaza content soon halafu nitakuja kujibu maswali yako moja baada ya lingine kwa vitendo kupitia hiyo site.

 

da mkuu nimeziangalia hizo kazi mbili ni mbovu mbovu kabisa nahisi huyu jamaa angeacha kudiss wengine acheki kazi zake kwanza maana kwanza katumia blogger templates alafu mpangilio ..muonekano na kila kitu ni ziro kabisa....nahisi angerudi kwenye basics alafu ndo arudi kudis na kudiskareji wengine aiseee.....
 
Unauhakika na unachoKINENA? Una uhakika hizo ni blogger templates? au unaongea tu kama upo chooni? hebu thibitisha kama hizo ni blogger templates na pili taja kazi zako ambazo ni nzuri usiropoke tu.

 
Unauhakika na unachoKINENA? Una uhakika hizo ni blogger templates? au unaongea tu kama upo chooni? hebu thibitisha kama hizo ni blogger templates na pili taja kazi zako ambazo ni nzuri usiropoke tu.

he he he he ukweli unauma jamani yaani mapovu yanavokutoka ndo utajua mtu unapogusa. kwenye ukweli anavopiga mayowe.......endelea kupiga kelele kijana ila hamna kitu pale he he he he
 
Unauhakika na unachoKINENA? Una uhakika hizo ni blogger templates? au unaongea tu kama upo chooni? hebu thibitisha kama hizo ni blogger templates na pili taja kazi zako ambazo ni nzuri usiropoke tu.

by the way mie sifanyi website design nadevelop applications ambazo nyingi hazipo katika public addresses so hutaziona he he he he he endelea na templates zako za wordpress kijana
 
Mbona kazi zenu hamuzionyeshi mnaishia kuropoka tu? Kama wewe unaona una kazi nzuri kuliko zangu basi usiropoke tu taja na zako tuzione.
 
----- wewe unakurupuka tu from no where, sasa kama siyo website designer unapata wapi muda wa kudiss kazi za wengine wakati wewe hujuwi hata A kwenye website designing? mara blogger templates mara wordpress hujuwi hata unaongea nini.

by the way mie sifanyi website design nadevelop applications ambazo nyingi hazipo katika public addresses so hutaziona he he he he he endelea na templates zako za wordpress kijana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…