MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,786
- 3,128
Inawezekana alitaka kuandika "weird" maana hio picha haina u-weird wowote; labda weard ndio msamiati mpya wa mtu anaekula ice cream kwa kutumia ulimi 🙈Mkuu WEARD maana yake nini?
Inawezekana alitaka kuandika "weird" maana hio picha haina u-weird wowote; labda weard ndio msamiati mpya wa mtu anaekula ice cream kwa kutumia ulimi 🙈Mkuu WEARD maana yake nini?
Vipi asije kuwa mwanachama wa kutoa (0)Anaoneka alikua anaenjoy sana na anajua kweli kujilamba mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ungemuona mkuu usingejizuia kuwaza ushetani
Inawezekana alitaka kuandika "weird" maana hio picha haina u-weird wowote; labda weard ndio msamiati mpya wa mtu anaekula ice cream kwa kutumia ulimi [emoji85]
Mmmh, hakika wanaume tumesalia wachache,atakuwa amezoea kulamba mkunyege akiwa katika hadhila ya watu analamba ice creamSiwezi sema ni mwanachama ila kwa ulaji ule wa ice cream ulinipa mashaka
Mmmh, hakika wanaume tumesalia wachache,atakuwa amezoea kulamba mkunyege akiwa katika hadhila ya watu analamba ice cream
[emoji86] [emoji86] [emoji86]Kwakweli mtu yeyote aliyemuona wakati anaila hawezi jizuia kuwaza anafanya hivi vitu ingawa anaweza akawa hafanyi hivyo ila mhh
ha ha ha najua ulipata madharaHata me nimeona hivyo
ha ha ha unayajua mwenyewe[emoji849][emoji849]madhara tena mkuu
Ukiwa unazila kwa pozi...zinajenga tafsiri nyingine kwa wanaokutazamaDaaah... Kuna siku nilikiwa najihisi mdomo mchungu niko na jamaa yangu si nikanunua zile pipi za kijiti kubwa nyekundu. Daah aiseeh jamaa alinisakama ilinibidi niitupe tu.
Ulilamba au ulikuwa unanyonyaDaaah... Kuna siku nilikiwa najihisi mdomo mchungu niko na jamaa yangu si nikanunua zile pipi za kijiti kubwa nyekundu. Daah aiseeh jamaa alinisakama ilinibidi niitupe tu.
Ulilamba au ulikuwa unanyonya