We unaweza kupenda hivi?

We unaweza kupenda hivi?

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Nina jamaa yangu ana demu wake ana mgharamia kila kitu

1. Nyumba anamlipia dola 800 kwa mwezi,

2. Kamnunulia gari fortuner,

3.Matumizi yote anagharamia chakula, mavazi ya gharama, na amtumizi yote,

Jamaa kashtukia demu anapiga kazi za nje na alimbana mdada akakubali kwani kuna siku hakulala nyumbani na alikiri kweli amelala nje na mtu fulani.

Jamaa alichuna kama siku 5 baada ya hapo akamwita demu akalia sana halafu yeye eti ndio akamwomba demu wake msamaha na anaomba waendelee na mapenzi yako. Demu kamsamehe jamaa na sasa hivi wamekwenda dubai kwa mapumziko.

Kwakweli huyu rafiki yangu mimi nimeshindwa kabisa kumuelewa akili yake.
 
Kama ela anazo kwa nini asihudumie!!!!!!!!!

we fanya yako muache rafiki yako afanye yake!!!!
 
haha uyo jamaa ako atakua anakibamia...ndo mana anamlilia uyo demu asije akamtangazia mbaya
 
Kuhusu kibamia sijui ila ni kweli kabisa jamaa alimuomba demu msamaha na kulia sana kwamba demu asije akamuacha.
 
Hivi watu kama hao wapo?? Hilo ni jinga la mwaka.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Jamáa anakibamia huyó tena cha inchi mbili ama tatu ndio maana hawezi kumuacha huyó demu anaogopa kadhia
 
ana pa kulala huyo??

kama ndivyo... basi na iwe hivyo!
 
mpk raha na mm natafuta wa hvyo...ila ndo mapenzi we unamwona km kchekesho ila km ye ana furaha bc ndo cha muhimu kapimishia maumivu alopata na atayopata akimkosa mpz wake kaona n bora kusamehe waendelee na maisha
 
Jaman wadada wanapuliza siku hizi acheni kabisa, ukiona hupuliziwi huna kitu, wanapuliza kwenye atm tu, utauza mpk nyumba za urithi, mnafkiri watu mjini wamekuja kushangaa magorofa !!
 
mpk raha na mm natafuta wa hvyo...ila ndo mapenzi we unamwona km kchekesho ila km ye ana furaha bc ndo cha muhimu kapimishia maumivu alopata na atayopata akimkosa mpz wake kaona n bora kusamehe waendelee na maisha

Wako wachache sana hao, ila ni mambo ya ajabu kabisa.
 
jamaa si kanywa mchuzi wa pweza halafu kafanya siri ya ndani salute kwake hiyo ipo....
 
Jamani mwacheni yeye ndo anajua anachokipata.
 
Jamani mwacheni yeye ndo anajua anachokipata.
kabsa,alaf hao wanaopondo utakuta ndo wamepangwa mafungu km nyanya ila wanakomaa koz c unajua kuchapiwa cri ya ndani?!! Kijana mwache aendelee anachopewa ni adimu, hawez pata pengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom