We unaonaje?

We unaonaje?

Hivi nyuzi za maana hua zinapimwa na anayepost au na wasomaji?

Nani hua anaamua kua hii ni nyuzi ya maana kati ya anayepost au wasomaji?

Naomba kueleweshwa.
Both
Kuna nyuzi zinakuwa beyond time,
Kuna nyuzi zinakuwa irrelevant..
Pia kuna nyuzi zinakuwa misunderstood.

Anaye amua kuwa nyuzi hii ni ya maana ni yule aliye post, wengine wapo kutoa validation, opinion, na criticism.
 
Nyuzi gani hiyo ya maana tuliyoipotezea
 
Dah, hilo nalo ninaelewa kabisa! Unajisikia vibaya sana, kama vile umeongea halafu hakuna aliyesikia. Ni hisia ya kawaida kabisa.

Lakini usikate tamaa, wakati mwingine si kwamba watu hawajaona au hawajapenda, pengine tu hawana cha kuongeza kwa wakati huo, au wapo busy. Endelea tu kushare mawazo yako, sisi tupo na tunasoma! Tutachangia kadri tunavyoweza. 😊
taraji p henson una mawazo ya kujenga sana
endelea na moyo huo huo
 
Sasa hii ndo ya maana?😂
 
Sasa hii ndo ya maana?😂
Stop bullying me, kwa upeo wa mtanzania wa mbagala hakiwezi kuwa ya maana ila kwa ma genius tunaopenda kuchangamsha akili zetu ina maana kubwa sana, sasa siwezi kumruhusu kiumbe kama wewe aniambie tofauti😏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom