Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Unam miss kwa lipi huyu fisad
Acha unafki
Acha unafki
hayo maneno yako mimi nimejisemea tu.Kwa hiyo mkuu wote tunaoota mvi tumlaumu huyu jamaa? Hahahahaha...
Ila Ngosha.....labda akijenga flyovers watanzania watasahau machungu ya maisha hata akiondoka madarakani. But anatunyoosha aiseee.
The point is the man doesn't care!

Greatest I like him...huyu ndie anethibitisha ule msemo wa"mungu hamfichi mnafiki"Ngosha the Great
Kwa hiyo mkuu wote tunaoota mvi tumlaumu huyu jamaa? Hahahahaha...
Ila Ngosha.....labda akijenga flyovers watanzania watasahau machungu ya maisha hata akiondoka madarakani. But anatunyoosha aiseee.
The point is the man doesn't care!
Huyu jamaa ndio katuachia matakataka pale karibu na soko la samaki
Mapanga shaaaaaaaaaa
Nidhamu kila kona maofisinimkuu umetishaaaa huyu jamaa Watu wakimuona....wanavurugika akili aiseee
No commentNa bado mtamkumbuka sana,Ngosha kashika mpini![]()
Masanja! Yaani pia mimi niliwaza hivyo hivyo! I hope wataishtukia ,Du yaani hako kameza ka mkulu kamechubuka kweli kweli..au ndo kubana matumizi hata Ikulu wanaogopa kusema kwamba meza ya mkubwa inahitaji replacement?
Shikamoo Magufuli!
Watanzania wachache wa JF, trust me on that!WATANZANIA WANAFIKI SANA ! JK TUTAM-MISS KWA LIPI SASA.MTU ALIIACHA NCHI INAPINDA YEYE ANAANGALIA TUU.WATU WALIKUWA WANAJIIBIA WATAKAVYO.EPA,ESCROW, n.k.ALIIFANYA HOME SHOPING CENTRE KUWA TRA MBADALA UPANDE WA CUSTOMS.AENDE ZAKE HUKO NA "BMW" YAKE. i.e.BABA,MAMA,WATOTO .WOTE KAWAWEKA KWENYE UONGOZI NA UTAJIRI...MAGUFULI NDO RAIS WA CHUMA.ANATUFAA SAANA.MUNGU AKUBARIKI RAIS WETU MAGUFULI.
Me too....hasa nikikumbuka tembo wetu walivyovunwaSpeak for yourself, I don't miss him at all.