Sioni picha ...
Mbona niko desktop ya mkoloni hapa?unatumia simu ya aina gani?
Mbona niko desktop ya mkoloni hapa?
Dushelele itakuwa inalinganishwa na kidole kipi sasa?
Kidole gumba cha mguu.Dushelele itakuwa inalinganishwa na kidole kipi sasa?
Nasikia hizo type zinaconnection na size ya Dushelele.