We miss you....!

We miss you....!

swaki la jiti

Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
97
Reaction score
60
6927b90ac5f4b08963a12e70ddfd802f.jpg
 
Hata Magu mtammiss tu
Nitammiss kwa haya machache tu.

1. Msiwabomolee hao ndio walinipa kura

2. Mawaziri wengine ni wapumbavu

3. Wanasema hajasoma hata kama anajua A lakini anakamata madawa ya kulevya kwangu anafaa

4. Nakupa mshahara na ulinzi halafu umtangaze Mpinzani mshidi!!?

5.........

Ngoja nivute pumzi kwanza!
 
Tatizo la bavicha 24h mpo nyuma ya keybord kwenye kupiga kula majimboni haghaa
 
Kwa kweli hali sio nzuri mtaani
nimeona tu niseme hao masela wako
sahihi kabisa
 
Nitammiss kwa haya machache tu.

1. Msiwabomolee hao ndio walinipa kura

2. Mawaziri wengine ni wapumbavu

3. Wanasema hajasoma hata kama anajua A lakini anakamata madawa ya kulevya kwangu anafaa

4. Nakupa mshahara na ulinzi halafu umtangaze Mpinzani mshidi!!?

5.........

Ngoja nivute pumzi kwanza!
......"Kafie mbele kule"....!
 
Kawaida sana. mara nyingi tunamis watu wasiokuwepo ama wako mbali na sisi.
So hata jpm akiondoka tutamis mambo mengi kutoka kwake.
 
enzi hizo `unga' ulikuwa njenje kwa nini wasimmis sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom