cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,939
Khaaah wee huogopiii?Kumbe nikioa kuna suala la kuacha kitu mezani asee [emoji119], Zoezi la kuoa nimelisogeza mbele miaka saba tena ili nifanye mazoezi ya kuacha mezani kwanza.